William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

Wakati najiunga JF nilikuta miamba inakata ishu si mchezo, alikuwepo Kichuguu, Mkandara, Mwafrika wa Kike, Mzee Mwanakijiji, Fundi Mchundo, Nyani Ngabu(sijui yuko wapi huyu mwamba), Bubu ataka kusema(BAK), Kuhani, njabu the dude, Phillemon Mikael, JMushi, Kiranga, Field Marshall ES (Sauti ya Umeme), Gamba la Nyoka na wengineo wengi. Wakati huo JK tukimuita Muungwana, na msemo Maarufu ukiwa "Kumkoma Nyani Giladi".
Pana kina Rev Masanilo,Rev Kishoka,Sikonge,Bubu ataka kusema (BAK),Gender Sensitivity (Regia Mtema RIP),Kada Mpinzani,Kiranga,Msanii,Kuhani Mkuu na wengine wengi.Jambo Forum enzi hizo ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Topic pekee naikumbuka ni ilikuwa ya Mzee Mwanakijiji kwa Lowassa akiwa PM mpaka Lowassa uzalendo ukamshinda akamnanga Mzee Mwanakijiji Bungeni .Mzee Mwanakijiji akarudisha makombora hapa hapa akikejeli Uchumi kupaa,Mwafrika wa kike akaweka mchoro wa Ndege inapaa (uchumi) kisha ikadondoka ikitanguliza pua.Wapi Mwafrika wa Kike,ulinifanya nijiunge JF 2006 kabla ya kurudi tena 2009.
 
Vipi ile mada ya mwanakijiji ya Kasungura ka Lowasa!

Hahaha, Popote alipo mzee Mwanakijiji una heshima yako kubwa barazani hapa, ulikuwa unatisha kwa mada nzito.

Pia tusimsahau Pasco, baadae akareveal identity yake kuwa ndiye Pascal Mayala
 
Pana kina Rev Masanilo,Rev Kishoka,Sikonge,Bubu ataka kusema (BAK),Gender Sensitivity (Regia Mtema RIP),Kada Mpinzani,Kiranga,Msanii,Kuhani Mkuu na wengine wengi.Jambo Forum enzi hizo ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Topic pekee naikumbuka ni ilikuwa ya Mzee Mwanakijiji kwa Lowassa akiwa PM mpaka Lowassa uzalendo ukamshinda akamnanga Mzee Mwanakijiji Bungeni .Mzee Mwanakijiji akarudisha makombora hapa hapa akikejeli Uchumi kupaa,Mwafrika wa kike akaweka mchoro wa Ndege inapaa (uchumi) kisha ikadondoka ikitanguliza pua.Wapi Mwafrika wa Kike,ulinifanya nijiunge JF 2006 kabla ya kurudi tena 2009.
Kuna mwana alikua anaitwa Lizaboni sijui nae alipotelea wapi
 
Daaah Field Marshall ES, Sauti ya Umeme. Dahhh Mimi ndiyo tulikuwa tinabishana Sana miaka ya 2008. Jambo Forum na JF Ile ya zamani hoja zilikuwa nzito. Tulipambana kwa hoja na evidence. Mambo mazito yalijadliwa yaani ya jikoni kabisa. Baadaye Lemutuz alitofautiana na founders wa JF ndiyo akasepa zake na kuendelea na mambo yake mpaka alipofungua blog yake. Pumzika kwa Amani William.
 
Nasikia FMES naye alikuwa founder wa JF. Vipi akina Melo walimzunguuka nini?😀😀
 
Wakati najiunga JF nilikuta miamba inakata ishu si mchezo, alikuwepo Kichuguu, Mkandara, Mwafrika wa Kike, Mzee Mwanakijiji, Fundi Mchundo, Nyani Ngabu(sijui yuko wapi huyu mwamba), Bubu ataka kusema(BAK), Kuhani, njabu the dude, Phillemon Mikael, JMushi, Kiranga, Field Marshall ES (Sauti ya Umeme), Gamba la Nyoka na wengineo wengi. Wakati huo JK tukimuita Muungwana, na msemo Maarufu ukiwa "Kumkoma Nyani Giladi".
kweli duniani tunapita. Apumzike salama ndugu yetu.
 
Back
Top Bottom