William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

Wakati najiunga JF nilikuta miamba inakata ishu si mchezo, alikuwepo Kichuguu, Mkandara, Mwafrika wa Kike, Mzee Mwanakijiji, Fundi Mchundo, Nyani Ngabu(sijui yuko wapi huyu mwamba), Bubu ataka kusema(BAK), Kuhani, njabu the dude, Phillemon Mikael, JMushi, Kiranga, Field Marshall ES (Sauti ya Umeme), Gamba la Nyoka na wengineo wengi. Wakati huo JK tukimuita Muungwana, na msemo Maarufu ukiwa "Kumkoma Nyani Giladi".
Duh umetaja legends wengi sana ukiongezea na kina Mseza mkulu, malcom Lumumba, palantir, Jmali, izzo ilikua si mchezo. Sijui lini tutapata vichwa kama vile Tena.
 
Wakati najiunga JF nilikuta miamba inakata ishu si mchezo, alikuwepo Kichuguu, Mkandara, Mwafrika wa Kike, Mzee Mwanakijiji, Fundi Mchundo, Nyani Ngabu(sijui yuko wapi huyu mwamba), Bubu ataka kusema(BAK), Kuhani, njabu the dude, Phillemon Mikael, JMushi, Kiranga, Field Marshall ES (Sauti ya Umeme), Gamba la Nyoka na wengineo wengi. Wakati huo JK tukimuita Muungwana, na msemo Maarufu ukiwa "Kumkoma Nyani Giladi".
Ndo nimeelewa, kumbe BAK (Bubu Ataka Kusema).
 
Vipi ile mada ya mwanakijiji ya Kasungura ka Lowasa!

Hahaha, Popote alipo mzee Mwanakijiji una heshima yako kubwa barazani hapa, ulikuwa unatisha kwa mada nzito.

Pia tusimsahau Pasco, baadae akareveal identity yake kuwa ndiye Pascal Mayala
Mkuu ulikuwa ukitumia jina gani? Or was you just a guest. Una kumbukumbu nzuri sana!👍🏽🙏🏾
 
R.I.P FMES (Sauti ya Umeme) wewe ulikuwa mmoja wa wanachama wa mwanzo hapa JF ulitufundisha jinsi ya kufanya mijadala.Na pia ulikuwa source ya uhakika kuleta data toka jikoni (Ikulu & CCM)
Dunia tunapita
 
Wakati najiunga JF nilikuta miamba inakata ishu si mchezo, alikuwepo Kichuguu, Mkandara, Mwafrika wa Kike, Mzee Mwanakijiji, Fundi Mchundo, Nyani Ngabu(sijui yuko wapi huyu mwamba), Bubu ataka kusema(BAK), Kuhani, njabu the dude, Phillemon Mikael, JMushi, Kiranga, Field Marshall ES (Sauti ya Umeme), Gamba la Nyoka na wengineo wengi. Wakati huo JK tukimuita Muungwana, na msemo Maarufu ukiwa "Kumkoma Nyani Giladi".
Aina hii ya wanachama wa jamii forums haitatokea tea kwa nyakati hizi.
Kipindi kile tunajiunga na jf 2012 tulivutwa sana na hoja za watu hawa.
Sijui ingekuaje kama kipindi hicho kungekuwa na wanachama kama wa leo, sidhani kama jf ingefika hapa ilipo.

Walikua ni wanachama wanaoshusha hoja za nguvu, na hoja inajadiliwa kwa mjadala mpana bila ya tusi wala kashfa kwa mleta hoja na wanajadili hoja.


Yote ya yote apumzike kwa amani ndugu William, tunamshukuru sana Mungu kwa maisha yake, na kile alichoja jaliwa na kutushirikisha kikawa kwetu chenye faida na jamii kwa ujumla.
 
..kwa taarifa yenu discussion forum ya kwanza kwa Watanzania ilianzishwa mwaka 1999 na jamaa anaitwa Majaliwa Nyenzi na ilijulikana kama nyenzi.com.

..ulikuwa mtandao wa kijamii serious kuliko yote iliyofuatia. Na Bwana Nyenzi kama moderator alikuwa haruhusu mambo ya kijinga au utoto-utoto ktk forum yake.

..kulikuwa na members wa kutisha kama Mtukwao, Chiku, MbongoFasta, Konichiwa, ChumviMtembezi, Fatso, ...

Cc Kibunango
 
Back
Top Bottom