William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

Vipi ile mada ya mwanakijiji ya Kasungura ka Lowasa!

Hahaha, Popote alipo mzee Mwanakijiji una heshima yako kubwa barazani hapa, ulikuwa unatisha kwa mada nzito.

Pia tusimsahau Pasco, baadae akareveal identity yake kuwa ndiye Pascal Mayala
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah umenikumbusha kweli, eti kasungura kadogo na bado mnakafakamia wenyewe tu bila haya.Mzee Mwanakijiji siku hizi amepowa sana.
 
Kuna mwana alikua anaitwa Lizaboni sijui nae alipotelea wapi
Alikuwa yeye, Kada Mpinzani na Mkaruka nawakumbuka wakiwa ni upande wa CCM,walikuwa wanakwenda bampa to bampa na kina MM wakiwa upande wa upinzani.Ilikuwa raha sana moto wa hoja ukianza kuwashwa hapa.Watu walikuwa wanamkoma nyani giladi mchana kweupe nakumbuka huu msemo muasisi wake hapa Jamvini alikuwa Nyani Ngambu kama sikosei.
 
Daaah Field Marshall ES, Sauti ya Umeme. Dahhh Mimi ndiyo tulikuwa tinabishana Sana miaka ya 2008. Jambo Forum na JF Ile ya zamani hoja zilikuwa nzito. Tulipambana kwa hoja na evidence. Mambo mazito yalijadliwa yaani ya jikoni kabisa. Baadaye Lemutuz alitofautiana na founders wa JF ndiyo akasepa zake na kuendelea na mambo yake mpaka alipofungua blog yake. Pumzika kwa Amani William.
Alianza kuzingua sana hasa baada ya kubadili ID yake kutoka FMES na kutumia jina lake alivyokuwa akielemewa na hoja anakasirika mpaka anatishia kuwa yeye ni mmojawapo wa wamiliki wa Jambo Forum,nadhani kina Melo waliona isiwe tabu.
 
Wakati najiunga JF nilikuta miamba inakata ishu si mchezo, alikuwepo Kichuguu, Mkandara, Mwafrika wa Kike, Mzee Mwanakijiji, Fundi Mchundo, Nyani Ngabu(sijui yuko wapi huyu mwamba), Bubu ataka kusema(BAK), Kuhani, njabu the dude, Phillemon Mikael, JMushi, Kiranga, Field Marshall ES (Sauti ya Umeme), Gamba la Nyoka na wengineo wengi. Wakati huo JK tukimuita Muungwana, na msemo Maarufu ukiwa "Kumkoma Nyani Giladi".

Na zile story kuwa Ze Utamu Halisi aliyemsumbuaaa sana Jakaya alikua ni Le Mutu kwa hasira za Baba yake Kukatwa
Utamu ilikuja kuisha nguvu baada ya LeMutuz kurudi bongo
Na sijui kama aliwahi Kukiri kuwa Utamu
Utamu ilikua kama Kigogo fulani
 
Leo Max alikua msibani tufanye mpango dodoma tupeleke shada la JAMII FORUM
wakati Mutu akiwa Jamii alikua anaogopwa na kuheshimika sana kama mzeee wa kukata issues
Huko kwenye social media ni kama aliamua kujitoa ufahamu
Enzi hizo JF ni kama FBI au CIA hadi Jakaya alikua anaingia na jina bandia
 
Nilidhani Ze Utamu walimdaka

Kuhusu Mwafrika wa kike naye alimsumbua sana Jakaya humu JF, lakini akatokomea, sijui alirudi na ID gani.

JF ina mchango mkubwa sana kushape siasa na administration za nchi hii kwa miaka takriban 17 iliyopita!
 
Umemsahau
Wakati najiunga JF nilikuta miamba inakata ishu si mchezo, alikuwepo Kichuguu, Mkandara, Mwafrika wa Kike, Mzee Mwanakijiji, Fundi Mchundo, Nyani Ngabu(sijui yuko wapi huyu mwamba), Bubu ataka kusema(BAK), Kuhani, njabu the dude, Phillemon Mikael, JMushi, Kiranga, Field Marshall ES (Sauti ya Umeme), Gamba la Nyoka na wengineo wengi. Wakati huo JK tukimuita Muungwana, na msemo Maarufu ukiwa "Kumkoma Nyani Giladi".
Rev Kishoka, Waberoya etc
 
Leo Max alikua msibani tufanye mpango dodoma tupeleke shada la JAMII FORUM
wakati Mutu akiwa Jamii alikua anaogopwa na kuheshimika sana kama mzeee wa kukata issues
Huko kwenye social media ni kama aliamua kujitoa ufahamu
Enzi hizo JF ni kama FBI au CIA hadi Jakaya alikua anaingia na jina bandia
Mkuu Philemon Mikael nimefurahi Sana kusikia kwako. So long. Ulipotelea wapi? Nimesafiri nje ya DSM hivyo msibani sitaweza. Ukweli Sisi wazee wa JF tulitakiwa tumuenzi William. Alikuwa na mchango mkubwa mno kipindi kile JF dare talking openly issues na evidence kabisa. Rest in Peace William Field Marshall ES
 
Alianza kuzingua sana hasa baada ya kubadili ID yake kutoka FMES na kutumia jina lake alivyokuwa akielemewa na hoja anakasirika mpaka anatishia kuwa yeye ni mmojawapo wa wamiliki wa Jambo Forum,nadhani kina Melo waliona isiwe tabu.
Nyamizi so long na wewe umepotea jamvini. Anyway wa long time naona hatuko active Sana tumeachia vijana. Kweli mzozo ulikuwa mkubwa sana haukufurahisha. Ni vema yalimalizika akashika hamsini zake akafungua Lemutuz online TV na blog. But we missed him.
 
Back
Top Bottom