William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

Pumzika kwa Amani Willium
Kumkoa Nyani Giladi
Mzee wa Sauti ya Umeme
FMES
Kweli tumetoka naye mbali. Enzi za BCS na akina Mwanakijiji, Nyani Ngabu, Mkandara, Game Theory..... Nakumbuka jinsi alivyo kuwa anatuletea za ndani ndani 2005 kwenye uteuzi wa mgombea Urais ndani ya CCM. Matokeo yalifika BCS kabla ya kutangazwa.

Rest in peace Field Marshall ES (FMES), Sauti ya Umeme.
 
Kweli tumetoka naye mbali. Enzi za BCS na akina Mwana kijiji, Mkandara. Nakumbuka jinsi alivyo kuwa anatuletea za ndani ndani 2005 kwenye uteuzi wa mgombea Urais ndani ya CCM. Matokeo yalifika BCS kabla ya kutangazwa.

Rest in peace Field Marshall ES (FMES), Sauti ya Umeme.
Nakumbuka alipenda kutumia maneno haya " ze dataz za kinachoendelea Chimwaga....".Akishasem tu hivyo tunakusanyana kwa thread yake kusubiri amwage vitu kutoka Chimwaga.RIEP Field Marshall ES (Emergency System)
 
Wakati najiunga JF nilikuta miamba inakata ishu si mchezo, alikuwepo Kichuguu, Mkandara, Mwafrika wa Kike, Mzee Mwanakijiji, Fundi Mchundo, Nyani Ngabu(sijui yuko wapi huyu mwamba), Bubu ataka kusema(BAK), Kuhani, njabu the dude, Phillemon Mikael, JMushi, Kiranga, Field Marshall ES (Sauti ya Umeme), Gamba la Nyoka na wengineo wengi. Wakati huo JK tukimuita Muungwana, na msemo Maarufu ukiwa "Kumkoma Nyani Giladi".
 
Back
Top Bottom