William Malecela: ''Jonas Savimbi was a hero''

William Malecela: ''Jonas Savimbi was a hero''

Don Draper

Senior Member
Joined
May 30, 2012
Posts
176
Reaction score
87
Haya ndio maneno ya bwana William Malecela

Hivi huyu anadai kasoma Tanzania na kaenda National Service utadhani kuwa angeweza kujua jinsi gani mtu kama Jonasa Savimbi na waasi wake wa UNITA walivyo ua watu wengi INCLUDING comrades wetu toka hapa Tanzania ambao walienda kusaida wenzetu wa Angola

This is a basic primary school history text book kama kweli alisoma kwenye shule zetu na kujua mchango wetu kama taifa kwa Angola na watu wetu waliopoteza maisha

Kweli William Malecela tunakutegemea kuwa unawakilisha GREAT THINKERS wa JAMII FORUM lakini kama unafikia stage ya kumwona JONAS SAVIMBI as a hero then nashindwa kuelewa what exactly he stands for.

Is it arrogance au ndio maisha ya kuishi kwenye Ivory tower na kuwa detached from the real world out there?

thread hii hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/270008-mwenyekiti-wa-ukombozi-na-ufahari.html


attachment.php
 

Attachments

  • Malecela Savimbi.PNG
    Malecela Savimbi.PNG
    49.9 KB · Views: 3,200
Nakumbuka tuko Primary tunafunzwa jinsi gani Tanzania ilivyokuwa ina sacrifice lives in Angola among others leo hii huyu mtoto wa Malecela ungetegemea kuwa walau alikuwa anajua zaidi jinis taifa lilivyokuwa lina sacrifice vijana (kaka zetu,baba zetu, dada zetu, wajomba wetu, ndugu zetu) kwa ajili ya ukombozi wa ile nchi toka wa akina SAVIMBI ambao leo hii William anajua onlice kuwasifia

Hivi huyu kweli ana interest na hii nchi au bas tuu? One would have thought kuwa William alipata elimu nzuri na hata anaposema savimbi wa his hero does this mean kuwa William Malaecela ana sadistic tendencies za kua watu kama alivyokuwa Savimbi?
 
talking of a son being 'an embarrassment to his father'
this is it....

Mzee Malecela akisoma hii sijui atasemaje

sasa naanza kuamini hawa watoto wa Kishua wengi wako out of touch na watu wa kawaida

na sasa naona hii resentment ya watu kwao ina kila sababu

I bet he doesn't even know who Sekou Toure was let alone Thomas Sankara
 
Huyo ni wa kumuacha kama alivyo.Najua Wengi wenu mnafahamu mzee Job Lusinde na John Malecela ni ndugu.Hivyobasi Livingstone na William nao ni ndugu. Kinachowatofautisha ni kuwa Willy kasoma na kutembea ila Kibajaji hana shule na hajatembea.
 
" Ha! ha! ha! ha! huwa sisikilizi maushauri ya kunitaka niwe muoga muoga kama fisi, sikuogopa bahari bro miaka sita baharini, nimevuka Bermuda Triangle mara 3, mahali ambapo mabaharia huacha kazi wakisikia meli itaenda kupita hapo!" haya ndio majigambo ya Hilo baloon angepigana vita Kama mageneral wa kimarekani mbona tungemkoma nyani?
 
Back
Top Bottom