Duh!
EAC umekata sana lakini si eneo langu
haya tufahamishe kuhusu hili la yeye kusema lazima JKT irudishiwe ili kuwafunz wa tu uzalendo?
Tangu lini uzalendo ukalazimishwa kwa watu?
pia naomba utufahamishe kuhusu maneno yake kuwa kuna middle class wengi Tanzania kwa sababu ya serikali ya awamu ya 4...kivipi?
na nyingine hiyo ya kutetea mfumo uliopo bila ku challenge mambo inatisha na hasa kwa mwana JF ambaye ilitegemewaangekuwa na mawazo mbadala....
Nimesikiliza interview yake aliyoifanya ambayo imepostiwa michuzi blog. Inaonekana huyu yuko out of touch na maendeleo ya dunia
In short huyu bwana amenitisha sana. Nilitaka new ideas zake kama mtu aliyetoka nje na msomi ambaye amekuwa exposed
sasa nashangaa kwa nini anasema kuwa EAC process iwe slow.
Tatizo ni kuwa wenzetu hawatusubiri na si makosa yao kama sisi wananchi hawapewi elimu juu ya hii deferation
Naogopa sana ninapomsikia kijana anapokuwa hana mawazo mbadala na hawa wazee (dinosaurs) waliotufikisha hapa.
William kwa taarifa yako ni kuwa 70% ya watanzanai ni under 30 na wanajua yanayoendelea duniani na pia wako sharp minded....sasa hii akili ya go slow sijui umeipata wapi.
William kama mawazo yako ni hayo then I give up!
Kli hio ndio kauli ya ccmWillium anajua kuwa anachokiongea ni Total political play. Nina imani kabisa kuwa he knows for sure that wanaokosoa serikali si CDM bali ni wapenda maendeleo ila kwa kusema ukweli atakuwa anajitafutia kifo cha kisiasa hasa katika chama anachojipambanua nacho.
Mimi aliponifanya nikaacha kuendelea kumsikiliza ni pale alikuwa anaongelea demokrasia ya Tanzania na kusema kuwa sisi bado wachanga kwani US wao wana miaka 300 ya demokrasia sisi tunamiaka 50 tu hivyo tuna gap ya miaka 250!. Kwa kweli alinifanya nione kuendelea kumsikiliza ni kupoteza muda kwani mahojiano yale aliyakenga kwa watu wanaopiga kura za ubunge wa EA na si great thinkers.
Anashindwa kujua kuwa kuna nchi kama Israel imeendelea sana katika demokrasia kwa kipindi kidogo tu?. Lets cut William some slack
sad day to tz intelligence
jamaa kawekwa na watu hapo... He is another lusinde