William Malecela: Dissaster waiting to happen

Wewe mawazo yako ni mgando ama una maslahi binafsi na nchi ya Kibaki; unataka watz wawe vibarua katika vijiji vyao. Maandalizi ni muhimu hivyo SLOW BUT SURE ni safi
 
316444_2385989848381_1209820481_32959751_2885080_n.jpg

Nimesikiliza interview yake aliyoifanya ambayo imepostiwa michuzi blog. Inaonekana huyu yuko out of touch na maendeleo ya dunia

In short huyu bwana amenitisha sana. Nilitaka new ideas zake kama mtu aliyetoka nje na msomi ambaye amekuwa exposed

sasa nashangaa kwa nini anasema kuwa EAC process iwe slow.

Tatizo ni kuwa wenzetu hawatusubiri na si makosa yao kama sisi wananchi hawapewi elimu juu ya hii deferation

Naogopa sana ninapomsikia kijana anapokuwa hana mawazo mbadala na hawa wazee (dinosaurs) waliotufikisha hapa.

William kwa taarifa yako ni kuwa 70% ya watanzanai ni under 30 na wanajua yanayoendelea duniani na pia wako sharp minded....sasa hii akili ya go slow sijui umeipata wapi.

William kama mawazo yako ni hayo then I give up!

Unaelewa maana ya FEDERATION?
 
Kwa hili naungana na KIBONGE WILIAM, mchakato inabidi uweslow kwa uhakika na kwa manufaa kwa watanzania. Haraka haraka zisizo na msingi zaweza tuingiza mkenge! Watanzania tupo slow sana!
 
....In short huyu bwana amenitisha sana. Nilitaka new ideas zake kama mtu aliyetoka nje na msomi ambaye amekuwa exposed

sasa nashangaa kwa nini anasema kuwa EAC process iwe slow.

Tatizo ni kuwa wenzetu hawatusubiri na si makosa yao kama sisi wananchi hawapewi elimu juu ya hii deferation

Naogopa sana ninapomsikia kijana anapokuwa hana mawazo mbadala na hawa wazee (dinosaurs) waliotufikisha hapa.

William kwa taarifa yako ni kuwa 70% ya watanzanai ni under 30 na wanajua yanayoendelea duniani na pia wako sharp minded....sasa hii akili ya go slow sijui umeipata wapi.

William kama mawazo yako ni hayo then I give up!

Du mkuu una ID nzuri kweli tinker taylor [TT] kama kuna mdau yuko well informed na nyumbani kwao basi kweli Willy yuko well informed kuliko wewe ambae inawezekana huko hapa nyumbani lakini ujui lolote kuhusu kwenu yani we upo upo tu TT.

Kauli ya Willy ya kuwa process iwe slow yani kama ningekuwa nikumpigia kura kwenye jamii forum za ubunge wa EA Willy angechukua zangu kama mia hivi.Tunataka watu ambao wako well informed na wanajua mpaka ngazi ya chini inataka nini yani ndio kusema kwa ujumla wake Willy alishajua kuwa kumbe Mtanzania mtu wa kijijini au mijini wanataka wajiunge kwenye EA kwa hatua zipi au kwa kasi ipi?Wewe TT ndio kusema Wilyy anajua wanakijiji wa machochwe [Mara] au ishinabulandi au Isung'ang'wanda [Shinyanga] au Kimanzichana [Pwani] wanataka nini japo hajafika huko.

Hakika ni kweli 70% ya watanzanai ni under 30 na wanajua yanayoendelea lakini hawajaandaliwa na mfumo kukabiliana na hali ya hicho wanachokiona kwenye Luninga zao huko mijini na vijijini.Kunatokana na Historia ya Taifa letu Watanzania walilelewa kuwa viumbe tofautu sana hakika ni dunia nzima,walipewa kitu kinaitwa ujamaa wa Kiafarika.tafuta dunia nzima kama kuna Taifa lina aina hiyo ya mfumo wa kijamii wa kuishi.Hivyo kwa mazingira hayo watu wake wamekuwa na mazingira ya ustaarabu wa hali fulani ambayo kwa mataifa mengine yanayotuzunguka tunaonekana wavivu,waoga na sio aggressive kama wao linapofika swala la kusaka maisha.

Tuliundwa kutokuwa na kimbelembele tukiamini wakubwa wanawapangia wadogo aina gani ya maisha ya kuishi,na ndio maana mfumo wetu ulikuwa mtoto ni mali ya jamii nzima,unaiba au unaonekana mtoto mtukutu mtaa mzima una deal na wewe kama as if wewe ni mtoto wa mtaa mzima.Wakati kwa wenzetu hawana cha kujuana bila sababu ya msingi,ili iweje? kwani una ukoo nao au ni kabila moja nawe.

Watanzania walijengwa chini ya kivuli cha UMOJA NI NGUVU,na ndio maana hata nembo yetu ni ya binadamu mwanamke na mwanaume wanaoshirikiana.Ebu nitafutie duniani hii Nchi yenye nembo ya Taifa yenye picha ya Bibi na Bwana.Tafuta ujue usikulupuke mkuu manke ni kusema wakati wenzetu tuliwahitaji miaka hiyo ya nyuma wao walitukataa iweje miaka ishirini na tano baadae wao ndio wanakuja sana kwa kasi kuomba ushirika ambao wakati ule wao waliukataa tena kwa nyodo chafu.

Ukiona hivyo jiulize sana tafsiri yake kama tumemtuma Willy atakuwa makini sana kujua ni style gani ya kukubaliana na maombi ya wengine hao na ndio maana kwa kuwa yuko well informed na matukio mazima ya EA na ndio maana akatoa mawazo sahihi ya Kitanzania kuwa swala la EA Community watanzania wanasema twende nalo polepole [IWE SLOW] mpaka pale watu wetu vijijini nao wafanane ufahamu nao wengine kuwa tumebadilika sana kwa kuwa Dunia imetushinikiza kwa kiwango fulani kubadilika,lakini pamoja na hayo yote kwa ujumla wetu tumeelimishana haya yafuatayo na tumekubalian haya yafuatayo.

Saaaaaaaaaaafi sana Willy nimekubali kwa style hiyo!!!!!!!!kumbe sio wale waliokuwa exposed basi wao nao wanaona sawa wanaofikilia kuwa kesho tu EA Community hiyo je wana Kiwangwa Bagamoyo au Kibakwe au Mtera wametayarishwa vipi kufanya biashara na kuishi na wanyarwanda, warundi,waluya,wakikuyu,wachori,watusi na wengineo wengi kutoka mataifa hayo ya Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda.

Hivi kuna Msukuma au Mnyamwezi Tanzania hii anaeweza kufundishwa jinsi ya kuishi na kufanya biashara au kazi na kabila kama mgogo, mmakua,mdigo, mpare, mchaga, mkwele,mzaramo,mkurya,mnyiramba name all the rest of the tribe Tanzania and vice versa is true.Hakika hakuna kabila Tanzainia ambayo inashindwa kuishi na kabila lolote lile lililohesabiwa kuwa ni kabila halali ndani ya Taifa la Tanzania yetu.Imeshajengwa kiasi sisi watoto wengine tumezaliwa ndnai ya mchanganyiko wa kimakabila likazaliwa kabila linaitwa Waswahili,kwa kuwa kama mtoto Mama Mchaga baba Mkurya huyu mtoto lugha yake ya kwanza ya mawasiliano na wenzie ni Kiswahili.

Lakini ujio wa wanataifa wa mataifa mengine ambayo yanawakilisha makabila tofauti ndani ya mataifa yao kuna namna ya kuishi na kufanya shughuli za kiuchumi kwa mujibu wa malezi na ufahamu wa jamii husika.Hivyo sio swala la kukuupuka bali ni swala la kujianda kwa njia sahihi. Kwa kuwa wakati njia ile ya mwanzo ilipoandaliwa ya Mgogo kumuoa Msukuma au Msukuma kuolewa na Mkurya au kuoa Mchaga ndio hiyo hiyo ingetumkia kuwajenga Watanzania kwa ukabila wao kuwaoa Waganda,Waganda kwa makabila yao kuowa Watanzania na Warundi kwa makabila yao kuwao Wanyarwanda.Sio swala lahisi tulikopita mpaka leo Mchaga anamilki duka kwenye vijiji vya Wanamtera,au msukuma anashamba na ameoa mkwele wa Bagamoyo na anaishi Bagamoyo.

TT wewe ndie mwenye ufahamu mdogo sana tena sana pamoja na kuwa na takwimu sahihi!!!!jielimishe ujue watanzania wanasita sana kujiunga na EA,na ndio hivyo wanavyotaka kwanza watakapokuwa tayari hivyo let it be slow as what Willy said slow but sure.Ukiongeza na kale kamsemo ka kizembe ka waafrika there is no hurry in Africa,japo kana chefua lakini sometimes kwa watu aina ya Wakenya na Waganda wanastahiki wapewe msemo huo kwa kuwa walialikwa miaka hiyo wakajitoa leo wameona mataifa yao hayana ardhi na uchumi toshelezi kwa umma wao huku wanaambiwa kuwa Tanzania kalibia 64% ya Ardhi ya Tanzania ni Virgin Land,yani kwa lugha ambayo watanzania uogopa kuitumia kusema yana Ardhi ya Watanzania asilimia 64% ni bikra,yani aijaguswa toka Mungu alipo umba ulimwengu huu.Ni nchi chache sana zina aina hiyo ya uumbaji kama sio mbili tu Africa nazo ni Tanzania na Congo.Hivyo jicho kwenu urafiki wa kung'ang'anizwa lazima uwe na mashaka nao!!.Ndio huo Willy kajifunza nae kuwa na mashaka nao!!!!
 
sikiliza jamaa anataka kurudisha JKT

analalamikia CHADEMA kuwa imeshamiri kwa watu wa disapora ambao kwa mtazamo wake sio patriotic

anasema kuwa kuna middle class Tanzania wengi sana...mie hata siwaoni

mengine nikimaliza kumsikiliza lakini kaniangusha sana. He sounded kama wazee wa CCM waliopo madarakani now
 
alinishangaza sana aliposema kwa miaka yote aliokaa USA mafanikio makubwa aliyoyafanyani ni kuandaa sherehe za kumkaribisha migiro UN na kuanzisha tawi la CCM New York ? nakubaliana nawe the guy is out of touch what do those two things have to do with common tanzanians ?
 
halafu anasema matatizo ya Uchumi greece yanatokana na wao kujiunga na Euro

nilitegemea uchambuzi yakinifu juu ya hili

lakini nadhani mwenyewe atakuja kujitetea
 
alinishangaza sana aliposema kwa miaka yote aliokaa USA mafanikio makubwa aliyoyafanyani kuandaa sherehe za kumkaribisha migiro UN na kuanzisha tawi la CCM New York ? nakubaliana nawe the guy is out of touch

hata mimi nimeona hiyo

nadhani strategically bora asingefanya hiyo interview kabisa

in short huyu kama kweli ni FIELD MARSHALL then hafai kuongoza vita

hakujiandaa vya kutoa na kazungumza bila ya kuwa na facts za kutosha

halafu anasema anaunga mkono system iliopo...pamoja na ukweli kuwa its broken and its not working
na nadhani bado ana mentality ya kuwanyoosha watu
 
Du mkuu una ID nzuri kweli tinker taylor [TT] kama kuna mdau yuko well informed na nyumbani kwao basi kweli Willy yuko well informed kuliko wewe ambae inawezekana huko hapa nyumbani lakini ujui lolote kuhusu kwenu yani we upo upo tu TT.

Kauli ya Willy ya kuwa process iwe slow yani kama ningekuwa nikumpigia kura kwenye jamii forum za ubunge wa EA Willy angechukua zangu kama mia hivi.Tunataka watu ambao wako well informed na wanajua mpaka ngazi ya chini inataka nini yani ndio kusema kwa ujumla wake Willy alishajua kuwa kumbe Mtanzania mtu wa kijijini au mijini wanataka wajiunge kwenye EA kwa hatua zipi au kwa kasi ipi?Wewe TT ndio kusema Wilyy anajua wanakijiji wa machochwe [Mara] au ishinabulandi au Isung'ang'wanda [Shinyanga] au Kimanzichana [Pwani] wanataka nini japo hajafika huko.

Hakika ni kweli 70% ya watanzanai ni under 30 na wanajua yanayoendelea lakini hawajaandaliwa na mfumo kukabiliana na hali ya hicho wanachokiona kwenye Luninga zao huko mijini na vijijini.Kunatokana na Historia ya Taifa letu Watanzania walilelewa kuwa viumbe tofautu sana hakika ni dunia nzima,walipewa kitu kinaitwa ujamaa wa Kiafarika.tafuta dunia nzima kama kuna Taifa lina aina hiyo ya mfumo wa kijamii wa kuishi.Hivyo kwa mazingira hayo watu wake wamekuwa na mazingira ya ustaarabu wa hali fulani ambayo kwa mataifa mengine yanayotuzunguka tunaonekana wavivu,waoga na sio aggressive kama wao linapofika swala la kusaka maisha.

Tuliundwa kutokuwa na kimbelembele tukiamini wakubwa wanawapangia wadogo aina gani ya maisha ya kuishi,na ndio maana mfumo wetu ulikuwa mtoto ni mali ya jamii nzima,unaiba au unaonekana mtoto mtukutu mtaa mzima una deal na wewe kama as if wewe ni mtoto wa mtaa mzima.Wakati kwa wenzetu hawana cha kujuana bila sababu ya msingi,ili iweje? kwani una ukoo nao au ni kabila moja nawe.

Watanzania walijengwa chini ya kivuli cha UMOJA NI NGUVU,na ndio maana hata nembo yetu ni ya binadamu mwanamke na mwanaume wanaoshirikiana.Ebu nitafutie duniani hii Nchi yenye nembo ya Taifa yenye picha ya Bibi na Bwana.Tafuta ujue usikulupuke mkuu manke ni kusema wakati wenzetu tuliwahitaji miaka hiyo ya nyuma wao walitukataa iweje miaka ishirini na tano baadae wao ndio wanakuja sana kwa kasi kuomba ushirika ambao wakati ule wao waliukataa tena kwa nyodo chafu.

Ukiona hivyo jiulize sana tafsiri yake kama tumemtuma Willy atakuwa makini sana kujua ni style gani ya kukubaliana na maombi ya wengine hao na ndio maana kwa kuwa yuko well informed na matukio mazima ya EA na ndio maana akatoa mawazo sahihi ya Kitanzania kuwa swala la EA Community watanzania wanasema twende nalo polepole [IWE SLOW] mpaka pale watu wetu vijijini nao wafanane ufahamu nao wengine kuwa tumebadilika sana kwa kuwa Dunia imetushinikiza kwa kiwango fulani kubadilika,lakini pamoja na hayo yote kwa ujumla wetu tumeelimishana haya yafuatayo na tumekubalian haya yafuatayo.

Saaaaaaaaaaafi sana Willy nimekubali kwa style hiyo!!!!!!!!kumbe sio wale waliokuwa exposed basi wao nao wanaona sawa wanaofikilia kuwa kesho tu EA Community hiyo je wana Kiwangwa Bagamoyo au Kibakwe au Mtera wametayarishwa vipi kufanya biashara na kuishi na wanyarwanda, warundi,waluya,wakikuyu,wachori,watusi na wengineo wengi kutoka mataifa hayo ya Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda.

Hivi kuna Msukuma au Mnyamwezi Tanzania hii anaeweza kufundishwa jinsi ya kuishi na kufanya biashara au kazi na kabila kama mgogo, mmakua,mdigo, mpare, mchaga, mkwele,mzaramo,mkurya,mnyiramba name all the rest of the tribe Tanzania and vice versa is true.Hakika hakuna kabila Tanzainia ambayo inashindwa kuishi na kabila lolote lile lililohesabiwa kuwa ni kabila halali ndani ya Taifa la Tanzania yetu.Imeshajengwa kiasi sisi watoto wengine tumezaliwa ndnai ya mchanganyiko wa kimakabila likazaliwa kabila linaitwa Waswahili,kwa kuwa kama mtoto Mama Mchaga baba Mkurya huyu mtoto lugha yake ya kwanza ya mawasiliano na wenzie ni Kiswahili.

Lakini ujio wa wanataifa wa mataifa mengine ambayo yanawakilisha makabila tofauti ndani ya mataifa yao kuna namna ya kuishi na kufanya shughuli za kiuchumi kwa mujibu wa malezi na ufahamu wa jamii husika.Hivyo sio swala la kukuupuka bali ni swala la kujianda kwa njia sahihi. Kwa kuwa wakati njia ile ya mwanzo ilipoandaliwa ya Mgogo kumuoa Msukuma au Msukuma kuolewa na Mkurya au kuoa Mchaga ndio hiyo hiyo ingetumkia kuwajenga Watanzania kwa ukabila wao kuwaoa Waganda,Waganda kwa makabila yao kuowa Watanzania na Warundi kwa makabila yao kuwao Wanyarwanda.Sio swala lahisi tulikopita mpaka leo Mchaga anamilki duka kwenye vijiji vya Wanamtera,au msukuma anashamba na ameoa mkwele wa Bagamoyo na anaishi Bagamoyo.

TT wewe ndie mwenye ufahamu mdogo sana tena sana pamoja na kuwa na takwimu sahihi!!!!jielimishe ujue watanzania wanasita sana kujiunga na EA,na ndio hivyo wanavyotaka kwanza watakapokuwa tayari hivyo let it be slow as what Willy said slow but sure.Ukiongeza na kale kamsemo ka kizembe ka waafrika there is no hurry in Africa,japo kana chefua lakini sometimes kwa watu aina ya Wakenya na Waganda wanastahiki wapewe msemo huo kwa kuwa walialikwa miaka hiyo wakajitoa leo wameona mataifa yao hayana ardhi na uchumi toshelezi kwa umma wao huku wanaambiwa kuwa Tanzania kalibia 64% ya Ardhi ya Tanzania ni Virgin Land,yani kwa lugha ambayo watanzania uogopa kuitumia kusema yana Ardhi ya Watanzania asilimia 64% ni bikra,yani aijaguswa toka Mungu alipo umba ulimwengu huu.Ni nchi chache sana zina aina hiyo ya uumbaji kama sio mbili tu Africa nazo ni Tanzania na Congo.Hivyo jicho kwenu urafiki wa kung'ang'anizwa lazima uwe na mashaka nao!!.Ndio huo Willy kajifunza nae kuwa na mashaka nao!!!!

Duh!

EAC umekata sana lakini si eneo langu

haya tufahamishe kuhusu hili la yeye kusema lazima JKT irudishiwe ili kuwafunz wa tu uzalendo?

Tangu lini uzalendo ukalazimishwa kwa watu?

pia naomba utufahamishe kuhusu maneno yake kuwa kuna middle class wengi Tanzania kwa sababu ya serikali ya awamu ya 4...kivipi?

na nyingine hiyo ya kutetea mfumo uliopo bila ku challenge mambo inatisha na hasa kwa mwana JF ambaye ilitegemewaangekuwa na mawazo mbadala....
 
316444_2385989848381_1209820481_32959751_2885080_n.jpg

Nimesikiliza interview yake aliyoifanya ambayo imepostiwa michuzi blog. Inaonekana huyu yuko out of touch na maendeleo ya dunia

In short huyu bwana amenitisha sana. Nilitaka new ideas zake kama mtu aliyetoka nje na msomi ambaye amekuwa exposed

sasa nashangaa kwa nini anasema kuwa EAC process iwe slow.

Tatizo ni kuwa wenzetu hawatusubiri na si makosa yao kama sisi wananchi hawapewi elimu juu ya hii deferation

Naogopa sana ninapomsikia kijana anapokuwa hana mawazo mbadala na hawa wazee (dinosaurs) waliotufikisha hapa.

William kwa taarifa yako ni kuwa 70% ya watanzanai ni under 30 na wanajua yanayoendelea duniani na pia wako sharp minded....sasa hii akili ya go slow sijui umeipata wapi.

William kama mawazo yako ni hayo then I give up!

This thread lacks objectivity

Haya mawazo unayotoa sana sana ni character assasination na si mawazo ya kujenga.
Sijasikia hiyo interview ya William lakini kama mtoa mada unajua lolote juu ya EA Intergration basi you are ill informed.

Ni juzi tu amkuja mshauri aliyebobea katika masuala ya Economic Intergration na ameonya kuwa this process MUST TAKE TIME.

Wewe mtoa mada unaconfuse issues hapa ,na fuatilia suala la Euro, mchakato wake na utaelimika na si kushusha lawama ambazo hazina msingi.
 
namshauri asubiri 2015 akagombee mtera ili

kuondoa ile bwana matusi huyu atakua tingatinga ndogo
 
316444_2385989848381_1209820481_32959751_2885080_n.jpg

Nimesikiliza interview yake aliyoifanya ambayo imepostiwa michuzi blog. Inaonekana huyu yuko out of touch na maendeleo ya dunia

In short huyu bwana amenitisha sana. Nilitaka new ideas zake kama mtu aliyetoka nje na msomi ambaye amekuwa exposed

sasa nashangaa kwa nini anasema kuwa EAC process iwe slow.

Tatizo ni kuwa wenzetu hawatusubiri na si makosa yao kama sisi wananchi hawapewi elimu juu ya hii deferation

Naogopa sana ninapomsikia kijana anapokuwa hana mawazo mbadala na hawa wazee (dinosaurs) waliotufikisha hapa.

William kwa taarifa yako ni kuwa 70% ya watanzanai ni under 30 na wanajua yanayoendelea duniani na pia wako sharp minded....sasa hii akili ya go slow sijui umeipata wapi.

William kama mawazo yako ni hayo then I give up!

Kweli naona haukumwelewa alivyosema slow process for Tanzania on EA Community especially on financial intergration which is supposed to happen this year.

I think he was right on this he first talk about our inflation and comparing with other member nations and he said if so is for us to go slow and not let what happened in Greece to happen to us on currency intergration matters.

And, also he was right on going back to EA history established 1967 offically breakup 1977 and the sore looser was Tanzania we did not get anything from the Community, we were not ready to find employment and pay arrears for the returning home EA employees from Tanzania. So going slow will enable us to dictate and choose the best a vailable resources which will be able to support our employees.

He also did mention our Education System being not of International Standards and National Building as it was then or the youth Educated now they don't have the heart to love their country as during our days because after attaining some stage of education in TZ you will need to attend JKT; in JKT there is no class between students i mean who's who of Tanzania we were all the same... that fold us together and at the end we left with a MOTTO; Our beloved nation TZ;
 
Tukiingia EAC tukiwa chini ya serikali ya CCM hii iliyoshidwa Arumeru mashariki ambayo haionyeshi nia ya kukabiliana na udhaufu wake unaooneka kwa sasa. Na kuhakikishiine watanzania kuna hatari ya kuanza hata "kulipia hewa tunayovuta ili tuishi". Vinginevyo CCM ibadilike kwa vitendo kuwa sasa inasikiliza na kutekeleza matakwa ya wananchi wa Tanzania.

Kwa hiyo, si busara kuingia EAC kwa sasa hivi.
 
Hii kazi ya ku-recycle watu wale wale hawatatufikisha popote. Kama muda wote tuliowapa wameshindwa wana miujiza gani wanayoweza kufanya sasa ili watu wakawaida waone faida ya kuwa kwenye nchi yenye uhuru kwa miaka 50? Ni kupoteza kuda kuwapa tena nafasi watu wa type ya kina William na kutegemea majibu tofauti.
 
anasema waliopo nje ya nchi karibuni wote ni CHADEMA kwa sababu wanakosoa serikali

pia anasema JKT irudishwe ili iwafunze vijana uzalendo...hivi kuna uzalendo ndani ya haya makashfa ya Richmond na mengineyo?
 
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom