William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

For further note, Mastets yake(Lukuvi) alimaliza mwaka 2008 Open University.Ushahid wa Elimu yake unathibitishwa na performance yake nzuri kwa kila kazi anayopangiwa na wakubwa wake.The man is smart.
Oh yes is MEGASMART upstairs.
 
Hakuna mwana MAHESABU na mwana SAYANSI mwenye low thinking capacity.Wewe utakuwa wale wa Qt au form four Arts Pure,mara zote akilı zenu zınawaza NAHAU na miaka ya vifo vya machıfu.

Umemaliza yote sina la kuongeza mkuu
 
Hujakosea uko sahihi. una akili sana wewe! ulizaliwa cku ya jumatatu nini? Lukuvi hiyo nafasi inamfaa sana yimkini unabii wako ukatimia soon
 
Hakuna mwana MAHESABU na mwana SAYANSI mwenye low thinking capacity.Wewe utakuwa wale wa Qt au form four Arts Pure,mara zote akilı zenu zınawaza NAHAU na miaka ya vifo vya machıfu.

Naona unaweweseka na dharau zako za kizembe hao ndo wanakuongoza kuanzia bungeni mpaka nyumbani kwako tena wamekalia akili yako hata huongei!
 
Kama kuna watu wanaojua kujikomba,Lukuvi ni mmoja wao bwana.Nilimuona akiwa beneti na Magufuli kwenye kujieleza kwa tatu bora.Ila sidhani kama anafaa sana kuwa waziri mkuu.He is too tainted by CCM.Ningekuwa mimi ningechagua sura mpya kabisa.Watu wazuri CCM wachapa kazi,wenye maono mazuri ya kuwaendeleza watanzania,wasio wala rushwa wapo.Ni swala la kudhamiria tu kuwatafuta.Kwa nini hao hao siku zote.Akifanikiwa kupita,akaanza kuingiza kwenye baraza lake la mawaziri faces za zamani,we know he is not serious,it is business as usual.
Mnakumbuka kipindi Magufuli alipopita top 3 kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea urais CCM? William Lukuvi alikua mpambe wake kipindi Magufuli akiasalimiana na wajumbe na hakutaka kumuacha kwani walikua bega kwa bega.

Katika watu walio karibu na Magufuli na ambao Magufuli anaowakubali Lukuvi ni mmoja wapo, na kuna kila dalili JP Magufuli akishinda atamteua yeye kuwa PM.

By Abel sere from Moshi.
 
Nchi hii wasomi wengi sasa.. Tofauti na kipindi cha nyuma ko hatuwezi ongozwa na kilaza kama uyo
 
Mimi sijui elimu yake. Waziri mkuu lazima uwe msomi kumzidi hata Rais. Hebu someni CV yake kwenye tovuti ya Bunge.
 
Wakitaka nchi iende na tujue kama kweli wanataka mabadiliko wamuweke mwakyembe kuwa waziri mkuu. Vinginevyo sijawaelewa
 
Lukuvi ni tapeli wa ki siasa siku zote za uchaguzi wa awali huwa haonyeshi yuko na nani ni mviziaji mzuri sana. Pamoja na kuwa na kasoro kwenye elimu yake anafaa kuwa PM.
 
Umesema magufuli awe waziri mkuu! kwa serikali ya nani!
 
Mnakumbuka kipindi Magufuli alipopita top 3 kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea urais CCM? William Lukuvi alikua mpambe wake kipindi Magufuli akiasalimiana na wajumbe na hakutaka kumuacha kwani walikua bega kwa bega.

Katika watu walio karibu na Magufuli na ambao Magufuli anaowakubali Lukuvi ni mmoja wapo, na kuna kila dalili JP Magufuli akishinda atamteua yeye kuwa PM.

By Abel sere from Moshi.

Labda Lukuvi akamrithi Mizengo jimbo la mpanda
 
Back
Top Bottom