William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

Itakuwa vituko,mikataba ya wizi zaidi ya awamu ya Kikwete itsainiwa!!

Magufuli kiingereza sifuri,anajua kukariri makabila na kilometa za barabara tu,kukariri English pia kashindwa!!

Lukuvi elimu yake ndio majanga,kajittafutia kaji-certificate tu na elimu yake ya UPE!!!
 
Tumutendee haki. Lukuvi ni graduate. Ana Masters degree. Rejea web ya bunge. Tusitihumu bila ushahidi.
 
For further note, Mastets yake(Lukuvi) alimaliza mwaka 2008 Open University.Ushahid wa Elimu yake unathibitishwa na performance yake nzuri kwa kila kazi anayopangiwa na wakubwa wake.The man is smart.
 
Mnakumbuka kipindi Magufuli alipopita top 3 kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea urais CCM? William Lukuvi alikua mpambe wake kipindi Magufuli akiasalimiana na wajumbe na hakutaka kumuacha kwani walikua bega kwa bega.

Katika watu walio karibu na Magufuli na ambao Magufuli anaowakubali Lukuvi ni mmoja wapo, na kuna kila dalili JP Magufuli akishinda atamteua yeye kuwa PM.


By Abel sere from Moshi.

Yaani kuna watu wanaamini kuwa Magufuli anashinda huu uchaguzi?.... Duuh kweli binadamu tunatofautiana akili
 
Kwa wale wanaosema LUKUVI darasa la saba naomba wamtake radhi tafadhari..kwani huyo PM mtarajiwa wenu freeman mbowe ana ELIMU?
 
WAZIRI MKUU MTARAJIWA AKICHOCHEA UDINI KANISANI

 
Last edited by a moderator:
Kwani huyo LOWASSA sio mdini?mbona mnakua wepesi WA kusahau?
 
Mnakumbuka kipindi Magufuli alipopita top 3 kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea urais CCM? William Lukuvi alikua mpambe wake kipindi Magufuli akiasalimiana na wajumbe na hakutaka kumuacha kwani walikua bega kwa bega.

Katika watu walio karibu na Magufuli na ambao Magufuli anaowakubali Lukuvi ni mmoja wapo, na kuna kila dalili JP Magufuli akishinda atamteua yeye kuwa PM.


By Abel sere from Moshi.

Si mpaka ashinde!! mimi nilisikia ni "Prof. Muhongo" Hata hivyo ushindi watausikia kwenye bomba.
 
Binafsi naona Mh.Lukuvi aendelee kubaki Wizara ya Aridhi yenye mizengwe mingi,yeye ndie mwenye ubavu wa kusafisha Wizara hiyo. Tunapokuja suala la Uwaziri Mkuu basi post hiyo apewe Dogo Lameck Nchemba,Mh.Magufuli akisha weka vigingi hivyo viwili basi tutegemee uwajibikaji uliyo tukuka nchini na maendeleo makubwa katika kipindi kifupi cha Uongozi wao.
 
Tangu Lukuvi alipojichafua kwa kufanya kampeni makanisani huko Dodoma na kugundua makosa yake alianza kujisafisha kwa kuiga staili ya utendaji kazi wa JPM ili asimtupe uwaziri kama ataubahatisha urais.

Kwa vyeo vya kupeana kishkaji vya CCM anaweza kupewa u PMM
 
Hakuna mwana MAHESABU na mwana SAYANSI mwenye low thinking capacity.Wewe utakuwa wale wa Qt au form four Arts Pure,mara zote akilı zenu zınawaza NAHAU na miaka ya vifo vya machıfu.
Mkuu ni watu wachache wanao lifikiria hilo ndio maana wanazungumza lolote just 2 get even na Dk.Magufuli wanafikiri na yeye kapata shahada zake Online! Mwanasayansi/Engineer gani anapewa Shahada kupitia kwenye Internet? Kama mbogo zako hazichemki huwezi kudiriki kwenda huko utaishia kwenye ngonjera, kupika majungu na kuwaponda ponda watu ambao unawaona wamekuzidi na hiki ndicho kinaendelea humu.
 
Waziri Mkuu wa Somalia au?nani kakudanganya Kua pombe atamshinda EL ,nahisi unaota
 
Back
Top Bottom