William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

Nina uhakika mkuu hufuatilii kinacho endelea field, hata Magufuli mwenyewe anajua hatashinda, c kwa bao la mkono wala goli/bao halali. Watu wameisha anza kutuma application UKAWA we unqzungumzia u PM? JK mwenyewe kajikatia tamaa hata kaamua kwenda zake kula bata USA. Magufuli kaongea hadharani sehemu 2 tofauti, Shinyanga na Muleba kwamba wapo watu wana muunga mkono mchana lakini usiki wapo UKAWA, sasa we unadhani kaona nin hapo?

hata dodoma kakazia tena
 
Akili ndogo inapotaka kuongoza akili kubwa ndio unayaona haya
 
Ni sawa lakini hiyo serikali itakuwa too local ingawa ni jambo Jema lakini kwa namna fulani inaweza kuinyima nchi fursa kwenye nyanja za kimataifa, Pinda pamoja na udhaifu wake katika baadhi ya maeneo kama binadamu wengine ana Uwezo mkubwa wa kuimudu lugha ya kingereza na ndio maana aliweza kumwakilisha rais katika mijadala mingi ya kimataifa sina hakika na uliyemtaja mleta mada Ila kuna hatari ya serikali ijayo kuliaibisha taifa katika nyanja ya kimataifa.

Muhongo, Prof. anafit zaidi...
 
Mnakumbuka kipindi Magufuli alipopita top 3 kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea urais CCM? William Lukuvi alikua mpambe wake kipindi Magufuli akiasalimiana na wajumbe na hakutaka kumuacha kwani walikua bega kwa bega.

Katika watu walio karibu na Magufuli na ambao Magufuli anaowakubali Lukuvi ni mmoja wapo, na kuna kila dalili JP Magufuli akishinda atamteua yeye kuwa PM.


By Abel sere from Moshi.

William Lukuvi ana sifa zipi za kumfanya awe PM? Wakati umefika wa kuacha kutoa vyeo kiushikaji kama alivyofanya Kikwete na hatimaye kuwa na serikali ya wababaishaji na mafisadi.
 
Wadau kwani Ilimu ya Lukuvi imegomea wapi hebu tujuzeni? kwani nijuavyo waziri mkuu angalao 1st degree.kwani hana?
 
Lukuvi ndo next PM hlo hata mm nlishaliona muda tu
 

William Lukuvi ana sifa zipi za kumfanya awe PM? Wakati umefika wa kuacha kutoa vyeo kiushikaji kama alivyofanya Kikwete na hatimaye kuwa na serikali ya wababaishaji na mafisadi.
Lukuvi hawezi nafasi hiyo. Shule yake haijafikia huko msitake kutuaibisha
 
Kama Magufuli akishinda Lukuvi kuwa Waziri Mkuu ni sawa tu kama ilivyokwa Mbatia Lowasa akishinda
 
Back
Top Bottom