William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

Hakuna mwana MAHESABU na mwana SAYANSI mwenye low thinking capacity.Wewe utakuwa wale wa Qt au form four Arts Pure,mara zote akilı zenu zınawaza NAHAU na miaka ya vifo vya machıfu.

Hahahaaa we jamaa umenikumbusha kipindi tuko form two tunaenda form three....wale waliofeli-ART walio angalau-BIASHARA, greatest-Science
 
Hakuna mwana MAHESABU na mwana SAYANSI mwenye low thinking capacity.Wewe utakuwa wale wa Qt au form four Arts Pure,mara zote akilı zenu zınawaza NAHAU na miaka ya vifo vya machıfu.

Umenena vyema
 
Atateuliwa Viti maalum? kwa maana jimbo la isimani Patrick ole sosopi anasubiri kuapishwa tu vijana wana kazi moja tu ni kutafuna fweza ya lukuvi kwa kwenda mbele.
 
Nchi hii kuna vituko mweeee!!! Lukuvi akiwa PM, au Mwakalebela akiwa mbunge wa Iringa mjini, nahama nchi
 
Kigezo in kuwa nae karibu huko Dodoma? Ndio maana nchi haiendelei viongozi wanapatikana kienyeji enyeji bila vigezo kama Kenya
 
Mnakumbuka kipindi Magufuli alipopita top 3 kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea urais CCM? William Lukuvi alikua mpambe wake kipindi Magufuli akiasalimiana na wajumbe na hakutaka kumuacha kwani walikua bega kwa bega.

Katika watu walio karibu na Magufuli na ambao Magufuli anaowakubali Lukuvi ni mmoja wapo, na kuna kila dalili JP Magufuli akishinda atamteua yeye kuwa PM.

By Abel sere from Moshi.

Lukuvi hawezi hata kushinda ubunge wa Isimani mwaka huu na PM lazima awe mbunge wa jimbo. Lukuvi alizoea kununua wagombea wa upinzani mwaka huu Patrick Olesosopi hanunuliki hivyo hataweza kushinda hata kwa dawa.
 
Mnakumbuka kipindi Magufuli alipopita top 3 kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea urais CCM? William Lukuvi alikua mpambe wake kipindi Magufuli akiasalimiana na wajumbe na hakutaka kumuacha kwani walikua bega kwa bega.

Katika watu walio karibu na Magufuli na ambao Magufuli anaowakubali Lukuvi ni mmoja wapo, na kuna kila dalili JP Magufuli akishinda atamteua yeye kuwa PM.

By Abel sere from Moshi.

Sasa si mpaka ashinde?
 
atakuwa Rais wa nchi gani kama siyo unaota ndoto za mchana umekula maharage ya mbeya!
 
Tumutendee haki. Lukuvi ni graduate. Ana Masters degree. Rejea web ya bunge. Tusitihumu bila ushahidi.
yupo kwenye orodha ya mafisadi wa elimu kwenye kitabu cha msema kweli.
 
Magufuli hawezi kushinda na ... isitoshe, Lukuvi ni mdini sana jambo ambalo Waislam hawatakubaliana nalo asilani ... mmesahau kauli yake aliyoitoa Kanisani kule Dodoma ya Kuuponda Uislam? Hafai ...
 
Mnakumbuka kipindi Magufuli alipopita top 3 kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea urais CCM? William Lukuvi alikua mpambe wake kipindi Magufuli akiasalimiana na wajumbe na hakutaka kumuacha kwani walikua bega kwa bega.

Katika watu walio karibu na Magufuli na ambao Magufuli anaowakubali Lukuvi ni mmoja wapo, na kuna kila dalili JP Magufuli akishinda atamteua yeye kuwa PM.

By Abel sere from Moshi.

Naomba chanzo cha habari tafadhari au Ubashiri tuu!!?
 
Back
Top Bottom