Kwa hiyo Makonda kwa kuwa ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa ndio yupo juu ya sheria na ana kinga ya kutoshitakiwa kwa jinai yoyote.......!!??
What is your point.......
Ina maana wanaotuhumu....wameshindwa kulipeleka hili shauri mahakamani....!!?
Kwa sababu hiyo....!!??
Bali kuna Paul Christian Muyenge halisi wala hakuna Paul Christian Makonda halisi mwingine zaidi ya RC wa dsm. Makonda vs Muyenge in court's voice.Hakuna Paul Makonda kwa mujibu wa hii habari ukiifuatilia. Paul Makonda ni fictional Frankestein monster aliyeungwaungwa na Daudi Bashite.
Sasa mbona Meya wa Ubungo amedai atafungua mashitaka dhidi ya buana Bashiteior[emoji12]Mkuu mbona unajitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani kwa kumtuhumu mtu jinai?
Jinai zote zinaanzia polisi...
Na Police wote wa Dar wako chini ya mwenyekiti wa kamati ya mkoa ya usalama....ambae ndo boss wao
unaanzaje?
Mpwa, nadhani unataka umwagiwe omo saivi[emoji12]Lakini tusishangae hizi ngonjera za wanasiasa...kwani hazikuanza leo.....
Waliwahi kutuambua mtu fulani ni mwizi na hafai kuwa hata kiongozi wa mtaa huku wakiapa kuwa ushahidi wanao....lakini leo hii....wanakula naye na kunywa pamoja........bila aibu.......
THINK BIG
TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY
In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Wakati Trump na wale birther movement wanamtuhumu Obama kuzaliwa Kenya
nani alikuja kutoa cheti chake cha kuzaliwa?si Obama mwenyewe?
why hii iwe tofauti?
why Rc asitoe vyeti vyake huu ubishani ukaisha?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Kwa kukusaidia,ingia insta kwa kubwa la maadui utajibiwa hayo maswali yako yote.Sasa kama hivyo ndivyo ilivyo ukweli ni upi sasa?
Ukweli utajulikana vipi?
Au Kiafrika afrika watu hawajali ithibati.
Kwamba ikishadaiwa tu kwamba Paul Makonda jina lake si Paul Makonda bali ni Daudi Bashite, basi.
Mjadala unaanzia na kuishia hapo?
Oh well...
Mbona unazidi kujitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani au polisi?
unapelekeja shauri la jinai mahakamani? si lazima upitie polisi?
na unajua polisi wana option ya kulipeleka shauri lolote mahakamani au wasipeleke?
Mbona Manji hapelekwi mahakamani na police wanamshikilia?
Hujasikia ya meya wa ubungo kutumia sijui 'private prosecution' kuwa atapeleka shauri mahakamani?
Eniwei mi ni kilaza tu so sijui zaidi ya nilivyosikia hivyo.
Mbona unazidi kujitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani au polisi?
unapelekeja shauri la jinai mahakamani? si lazima upitie polisi?
na unajua polisi wana option ya kulipeleka shauri lolote mahakamani au wasipeleke?
Mbona Manji hapelekwi mahakamani na police wanamshikilia?
Ukiangalia mtiririko wa story yenyewe utakumbuka jina la cheti anachodaiwa kukitumia linasomeka mwisho muyenge, ila la makonda alikuja kulibuni mwenyewe na kuapa mahakamaniIn the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Hiyo private prosecution TZ ndo kwaanza naisikia
sidhani watu wote wanaomtuhumu wanaijua hiyo option
au ujasiri tu wa kuitumia hata kama wanaijua
tunaishi kwenye police state ....uhuru na ujasiri wa kumshtaki kiongozi sio kila mtu anaweza kuwa nao
Huyo Bashite wenu si ndo huyo amehongwa magari na hao anaowaita wauza unga???.....tena ndo anaambatana nao kila sehemu?Unahongwa na wauza madawa ya kulevya kuja kumchafua shujaa wetu wa Dar??
Kila siku makonda makonda who are you??
Mpwa, nadhani unataka umwagiwe omo saivi[emoji12]
Hiyo private prosecution TZ ndo kwaanza naisikia
sidhani watu wote wanaomtuhumu wanaijua hiyo option
au ujasiri tu wa kuitumia hata kama wanaijua
tunaishi kwenye police state ....uhuru na ujasiri wa kumshtaki kiongozi sio kila mtu anaweza kuwa nao
Gwajima atatoa vyeti katika sehemu ya nne ama ya tano ya mahubiri yake.Mimi pia nataka kuviona hivyo vyeti vya Makonda.
Kama yeye mwenyewe hataki kutuonyesha, na madhali kama Gwajima anasema yeye anavyo ofisini kwake.
Kwa nini sasa Gwajima asituonyeshe tu yeye mwenyewe kuliko kumsubiri Makonda?