Kuna uwezekano mkubwa JWTZ kuongoza vikosi vya kuwafukuza hao waasi.
Wakiamua kuingia Tz hatuna jeshi la kuwazuia. Mali waliyopora Kongo kwa miongo kadhaa sasa imetumika kuliwezesha jeshi lao kuwa la kisasa logistically.
Hakuna sababu ya kupeleka vijana wetu Congo.
Kuna sababu za kutosha kupeleka majeshi congo,mambo mengi ya congo ukijumlisha ya kisiasa,kijeshi na kibiashara yanategemee tanzania ukiacha hilo congo ikichukuliwa na na hao wahuni nguvu ya Tanzania katika ukanda wa afrika mashariki na kati itapungua sana japo imeshaaza kupungua kutoka na ushawishi wa kihuni wa kagame na museven katika ukanda huu.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
just a protect ur fellow Tutsi and not Rwandesse we all knw hw FDNL will make u suffer
its better u knw that.....!
I was about to write something nasty on the strength of the army chasing your mother daily, but for fear of receiving the first ban ever I have withdrawn the idea. That could be the strongest in Africa though. Sounds sweet?Ni kweli sisi hatuna jeshi kabisa wanaweza kuingia tu! ila Rwanda unao waabudu ndiyo wanajeshi lenye nguvu sana tena africa nzima siyo east africa tusi unajua watusi nyinyi mna akili nyingi siyo binadamu wa kawaida hahahahahahahaha!
Uliza wakubwa watakuambia, si unakumbuka kipindi kile sisi ndo tulikuwa tumetoka kuwasaidia FRERIMO?
...(Mlima Kilimanjaro na ubabaishaji wa Kenya ktk anga za kimataifa kuwa Eneo la mlima ni lao halafu wakajiongeza hadi Mamtukuna, pale kwenye shule ya ufundi kinyemela, Mkuu Rombo nadhani upo maeneo hayo. .
Mkuu Morinyo mimi sijui una cheo gani jeshini, but I presume you're not the retired Lt Gen Shimbo. Hivi, do you honestly believe that TPDF can fight a war with Uganda's forces if it were to happen today?Hivi tulivyoenda Comoro tulikua tunatokea wapi?
There you are. Wanajeshi wetu si wajinga, wanajua fedha zao zinavyoibiwa na kina Shimbo na manunuzi ya vifaa vya jeshi visivyokidhi viwango. Juzijuzi askari wa cheo cha chini ametoa mapendekezo kwenye tume ya katiba mbele ya maofisa wake kuwa askari anayepatikana na hatia ya ufisadi auwawe kwa kupigwa risasi hadharani. Wanaopigana vita ni hawa askari wa chini ambao wako frustrated, their morale is at a record low, ni vita gani tunayoweza kupigana leo? Let's try to be honest.Swala ni vifaa, ari na utiifu kwa amiri jeshi mkuu. Sasa jeshi la congo na ukubwa wake wote linakosa hivi vitu kwa hiyo lazima lipigwe.
Mkuu Morinyo mimi sijui una cheo gani jeshini, but I presume you're not the retired Lt Gen Shimbo. Hivi, do you honestly believe that TPDF can fight a war with Uganda's forces if it were to happen today?
Mkuu Morinyo mimi sijui una cheo gani jeshini, but I presume you're not the retired Lt Gen Shimbo. Hivi, do you honestly believe that TPDF can fight a war with Uganda's forces if it were to happen today?
Nakushauri usiingilie mambo usiyoyajua..., museven kila mwaka analeta maofsa wake monduli kwa training.., ushawahi kuskia tz tunapeleka cadets uganda?? pili, kuna wakufunzi wetu wa kijeshi wanafundisha uganda up to this minute..,
Tatu, museven anapitisha silaha zake tz na zinasindikizwa na jeshi letu na watu wa militari intel hadi kyaka,, kwhyo tunajua ana nini na alichonacho kina uwezo gani..., kama ulikua hujui museven alipata mafunzo ya uofsa monduli na hadi sasa PSU yake ndio hua anaileta for training tanzania kwa sababu anaogopa assasination.., kama unabisha kwa lolote hapa ni-pm, ntakupa ushahidi afu rudi hapa jf ukiri kwamba umepata ushahidi
Unlike many threads, hii naona hata majibu ni ya kistaarabu sana tofauti na nyingine nyingi ambazo tunarushiwa matusi tunapokuwa na mawazo tofauti kama alivyojaribu kufanya hapa mpuuzi anayejiita Kajembe. Asante sana Morinyo na Moshe Dayan.Mkuu Gagnija: Trust me, jeshi letu siyo legelege kama mnavyoamini mtaani.
Unlike many threads, hii naona hata majibu ni ya kistaarabu sana tofauti na nyingine nyingi ambazo tunarushiwa matusi tunapokuwa na mawazo tofauti kama alivyojaribu kufanya hapa mpuuzi anayejiita Kajembe. Asante sana Morinyo na Moshe Dayan.