MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Labda nikuulize mdau, Kwa nini watu wengi humu JF wanaonekana kuwa upinzani na hasa CHADEMA?
Mkuu sababu zaweza kuwa nyingi na zina vary from person to person. Njia nzuri ya kujibu swali lako ingekua kuconduct survey ya wanaJF na kuwauliza hilo swali but I doubt wengi wao wata kupa jibu la ukweli. Mimi kama mimi naweza kuguess tu sababu ni zipi na naona ni hizi hapa
a)Kuna wale ambo ni kweli wana uchungu na taifa na wana amini Chadema ndiyo chama mbadala
b)Kuna wale ambao ni die hard fans wa Chadema ambao wao hawa angalii maslahi ya taifa bali chama chao kuwa madarakani
c)Kuna wae wafuata upepo tu.
d)Wengi wapo nje. Kwa hiyo the only way they can feel they can make any difference ni kupitia mitandao. Wengi wao ni watu ambao wata kuambia wapo nje kwa sababu ya mfumo mbovu nyumbani.
Pia jiulize. Katika members wote wa JF wangapi ni registered voters ambao wata weza kupiga kura mwezi ujao? Mimi napenda mabadiliko but I don't take serious opinions za wanaJF linapo kuja swala la uchaguzi kwa sababu najua wengi wao hawata piga kura anyway. Sija wahi kuona sehemu yoyote duniani ambapo opinion poll ya uchaguzi ina husisha watu ambao si wapiga kura na wengine labda si hata Watanzania tena kwa uraia. Uki taka kusoma upepo wa uchaguzi soma known voters.