Katashekadm
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 718
- 759
Aseme nini wakati Mbowe alimuuzia Lowasa Chama!Nikasirike Slaa kuwa chadema? hujaelewa kinachozungumzwa,Slaa aliondoka chadema Kwa mbwembwe na Press conference,Leo anarudi kimya kimya Kwa mgongo wa maslahi ya TAIFA,wakati yupo na mwendazake huku chadema wakiozea jela na wengine kukimbia Nchi why alikuwa hasemi chochote?
Hii chadema hujajua imefikaje hapa, kuna jasho la Dr Slaa