Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,467
- 283,812
Kamanda hivi mpaka leo hujui kwamba ccm imejengwa kwa misingi ya uongo , uzandiki na unafiki ? Sisi tunakufahamu wala hatuna wasiwasi , hao ni kuachana nao tu .
Halafu hawajifunzi tu , wale waliosema lowassa atakufa wamepukutika karibu wote , wamebaki watatu tu na mmoja anapumulia mashine .cc Shakubimbi Lizaboni &co
Toa UNAFIKI wako hapa...!Ugua Pole Kamanda...!
Kwa kiasi kikubwa au asilimia kubwa aliyosema Lizaboni ni sahihi
Kwamba ni kweli umeumwa na kulazwa.
Kwamba Ukiondoa mama Tibaijuka hakuna kiongozi mwingine aliyekuja kukufariji kiasi cha kumtaja kwa jina.
Nadhani la msingi hapa ni wewe kuwa mwenye afya njema haya mengine ni siasa lakini zenye umuhimu wake wa kipekee.
Bado hatujaclear doubt ya kama anayepost humu ni wewe au kijana wako.
Pole sana Lwaks
Toa UNAFIKI wako hapa...!
Umenena mkuuUgua Pole Kamanda...!
Kwa kiasi kikubwa au asilimia kubwa aliyosema Lizaboni ni sahihi
Kwamba ni kweli umeumwa na kulazwa.
Kwamba Ukiondoa mama Tibaijuka hakuna kiongozi mwingine aliyekuja kukufariji kiasi cha kumtaja kwa jina.
Nadhani la msingi hapa ni wewe kuwa mwenye afya njema haya mengine ni siasa lakini zenye umuhimu wake wa kipekee.
Bado hatujaclear doubt ya kama anayepost humu ni wewe au kijana wako.
Pole sana Lwaks
Mkuu lizaboni ndiyo kaleta uzi hapa asubuhiMungu akulinde daima mkuu, nchi yetu imejaa kizazi chenye siasa za hovyo za hadi kuchuriana mabaya baada ya kushindwa kwa hoja, Ni suala la muda tu, wananchi wengi wataelewa tofauti na rangi zao halisi.....wish you soon recovery brother
Kulikuwa na haja gani kuandika hili ...Wewe ndiye mnafiki usiyetaka kujadili kwa ukweli...hoja hujibiwa kwa hoja sio vihoja
Kwa kweli siasa kama ndiyo hizi za maji taka basi zinatupeleka kubaya sanaKulikuwa na haja gani kuandika hili ...
Nakunukuu, "Bado hatujaclear doubt ya kama anayepost humu ni wewe au kijana wako."
Wewe jamaa ni mjinga sana.
Msimlaumu sana mtu anaeleta habari zisizo za kweli bali muombeeni,na yeye labda alipotoshwa,watu walimuona YESU na miujiza yake lakini walimpa mangumi mpaka wakamsulubisha msalabani,leo ndugu yetu mheshimiwa?pole Mh.Lwakatare..samehe kibinadamu na songa mbelePole sana kamanda Lwakatare,Mwenyenzi Mungu akupe tahfif.
Kuna shoga kaleta thread asubuhi sijui anafaidika nini na watu kuumwa
Kuna siku yatamfika
Wewe ndiye mnafiki usiyetaka kujadili kwa ukweli...hoja hujibiwa kwa hoja sio vihoja
Kweli mtu akipenda chongo huliita kengeza. Post imetumwa kwa verified user ID na bado aliyetuma akaambatanisha picha yake ya leoleo. Lakini bado 'Genius wetu' unahoji kuwa siye?!Bado hatujaclear doubt ya kama anayepost humu ni wewe au kijana wako.