Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Lowasa alikutembelea au hata tu kukupigia simu? Na ni viongozi wepi hao wa chadema waliokutembelea kwa maana mama Tiba umemtaja kwa jina ila wale wa chadema umegoma kuwataja, kwa nini?
Hata hivyo ugua pole huu ndiyo wkt wa kumjua rafiki na chama cha kiutu, nina uhakika watu wanaopenda kiki za media wa chama chako kama Domo kaya hakuja kukuona kwa maana kulikuwa hakuna tv wala magazeti!