Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 5,973
- 6,606
Wazawa wa Makete wakiwa nje ya Makete wanajitambulisha kuwa wote ni Wakinga.
Ukweli ni kwamba kuna makabila manne ambayo ni Kinga,Wanji,Magoma na Mahanji.
Wakinga ndio wengi kuliko makabila mengine salamu yao ni Mapembelo vavene,wakati upande wa makabila mengine hakuna hii salaam pia lugha hazifanani
Sio kweli kuwa kila mzawa wa Makete ni Mkinga