figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Pamoja na rais kuteua na kutumbua, lakini bado Wilaya 9 hazina wakuu wa Wikaya na maisha yanaenda kama kawaida.
Hii inadhihilisha kwamba Tanzania wakuu wa Wilaya hawana umuhimu wala hawasaidii chochote. Hivi ni vyeo vya kupozana kisiasa.
Hizi hapa chini ni Wilaya mbazo hazina Wakuu wa Wilaya na maisha yanaendelea tena kuzidi hata penye wakuu wa Wilaya. Maendeleo na taarifa za Wilaya zinafanyiwa kazi na Serikali kama kawaida.
Kasulu
Uyui
Manyoni
Ilelmela
Korogwe
Dodoma Mjini
Arumeru
Hai
Nanyumbu.
Jaji Warioba aliona mbali aliposema kwenye rasmu ya katiba kwamba vyeo vya wakuu wa Wilaya na Mikoa Vifutwe.
Kuna siku Polepole alisema Serikali ya Magufuli inatekeleza Mapendekezo ya tune ya Warioba. Sasa nmeamini.