Wilaya 9 hazina Wakuu wa Wilaya: Hawana Umuhimu Tanzania?

Hapo wamkumbuke jero mia na Le kubwas,hao ni kada watiifu wako imara hata kipindi cha misukosuko kukitetea chama.
 
No, hizo zitawahusu makada wa CCM haswaaaa - hususani waliofika kura za maoni, waliomaliza muda wao kwenye chama na jumuiya zake na watumishi wa engineering
 
New-Doc-2017-10-29_13.jpg


Ndugu zangu wana Lumumba maisha yameshakuwa magumu, ukiweza kujitowa akili na kumsifu mtukufu na kuwatukana Chadema waweza kulamba hili shavu la Udc.

Tuongeze juhudi za kusifu na kuwatukana Chadema huwezi juwa waweza kuwa mteule.
 
Back
Top Bottom