Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Status
Not open for further replies.
Kumbe kununuliwa nguo nayo ni rushwa? Angalia mazingira ya kununuliwa hizo nguo..hata wewe mwenyewe ukikutana na waziri akiwa shopping unaweza ukampa offer.
Vitu vingine ni immaterial jamani!
Na habari za wikileaks siyo zote ni za kuaminika!
Nikikutana na Waziri nikampa offer halafu hakuna kinachoendelea sio rushwa! Hapa tunazungumzia JK kupewa offer kisha inafuatia jengo la Mahakama ya Rufaa kubomolewa ili kujenga sehemu za kupaki magari deal ambayo ina maswali mengi kuliko majibu! Katika mazingira hayo, hiyo ni rushwa! By the way, Waziri mzima kununuliwa suti badala ya yeye kuwanunulia wao inatia aibu sana!
 
Kumbe kununuliwa nguo nayo ni rushwa? Angalia mazingira ya kununuliwa hizo nguo..hata wewe mwenyewe ukikutana na waziri akiwa shopping unaweza ukampa offer.

Vitu vingine ni immaterial jamani!
Na habari za wikileaks siyo zote ni za kuaminika!

Obsession at its best!
 
Mimi nawashangaa wale wote wanaoshangaa. Hakuna muujiza hapo, labda kama hamjui siasa zinaendeshwa vipi katika nchi masikini.

In summary, hakuna mwanasiasa yeyote (upinzani au CCM) ambaye anaweza kufanikiwa katika chaguzi za ndani ya chama na za dola bila kuwa na financiers. Sasa, kwa kutumia akili kidogo tu, hawa "financiers" hawawezi kuwa friends and family(FF) peke yao. Sasa hao wengine wote out of FF ni watu wenye interests zao a.k.a special interest groups.

Mkijiruhusu kushangaa haya mambo just because yameandikwa na wikileaks basi mnajiandaa kuwa wapokeaji wa mishangao kila siku. Kwa kifupi wewe jua tu kuwa every successful politician has some "special interest" behind him/her.
 
Justifying the unjustifiable!!!!!!!!!
 
Isome vizuri habari, na huyo Mwaarabu aliwapa CCM, cha ajabu nini? na vyama vyote vinapokea misaada? au nongwa kwa CCM tu?

Bi Mkubwa FF,
Please, kaa kimia maana vijana hawana adabu wanaweza kukuvuta gagulo yako ikaanguka na shanga na watu kuona utunda, na hapa tuna vijana wadogo, pleaseee, tunza hishima ya mwanamke wa kiafrika
 
Simply said, the President is an official elected by the public, his duty is to his people, his country not to his "benefactors or financiers". Does anyone even know what this looks like to a normal person reading these cables, it looks like the President of Tanzania is bought and paid for by his so called "financiers" so how can he even protect the national interest of this country, let alone protect the interests of his people.

The business contracts he signs are in his best interest and of course his benefactors. NOT the best interest of the Tanzanian people. No wonder 80 percent of TZ people are living in poverty.

Shameful! & Utterly Disgraceful!

As a President, his priorities are not Rule of Law, Good governance, fighting corruption even though he ran on an anti-corruption platform, or promoting the interests of his public like education, hospitals, etc. Be warned when contracts are signed concerning natural resources of this country, its the TZ public who will lose because of the priorities of this govt. (No wonder the TZ gvt. is ready to demolish the COA building for a parking lot for a LUX hotel)

His priorities are himself first, his own self interest, then his benefactors' self interest:
1)Flying first class on an all expense paid trip to London to shop for his already paid for wardrobe
2)Having one of his events in the guest rooms.
 
Lazima tuwe wakweli kwa nafsi zetu at some point. Hivi mtu anayefanya kampeni za urais au hata ubunge akipata hotel fulani ikajitolea kumfanyia ukarimu wa kuhost mikutano yake for free atakataa. je, sheria ya nchi inakataza hilo? Tatizo letu tunatumia sheria za nchi nyingine kujadili masuala ya Tanzania.

Hivi mnafikiri hayo mahelkopta mnayosikia yanaruka angani wakati wa kampeni yanalipiwa na pesa za ruzuku? Au tunangoja mpaka wikileaks waje kutuambia kuwa yalilipiwa na mfanyabiashhara fulani ndio tuanze kushangaa? kwa kifupi, kampeni ni gharama na kama sheria ya nchi haikatazi kupokei mchango sio dhambi.

Itamake sense kujadili rushwa hapa iwapo tutakuwa na kidhibiti cha favor ambayo rais amewafanyia hao kempinski kutokana na fadhili waliyompa.

Hillary Clinton alipokuwa senator on New York alikuwa anapokea USD 150,000 kila mwaka toka kwa "special interests" na kampeni zake zilikuwa sponsored na special interests pia. Cha msingi ni kutokutoka nje ya mipaka ya sheria ya nchi tu.
 
Halafu kumbukeni pia sheria ya gharama za uchaguzi Tanzania imeletwa na kikwete na kwa mara ya kwanza imeanza kutumia mwaka 2010 kwenye uchaguzi mkuu. Tanzania utawala bora wetu ulikuwa ni wa kutaja mali za kiongozi na si pesa anazotumia kwenye shughuli zake mbalimbali pamoja na kampeni.

Kwa mfano SUGU wakati anagombea ubunge aliweka account details zake na m-pesa etc kwa ajili ya contribution, je Kempinski wangemchangia angerudisha? Mbona hakuna anayechangisha na kusema wafanya biashara wasinichangie?!!!
 
zemakopolo

michango ya uchaguzi ni kitu kimoja, na braibs za suti kupata feva ni kitu kingine.
 
Kila kitu hapo kimejieleza..sioni element yoyote ya rushwa hapo!

" I suspect giving free clothes and the campaign donation is just the way these people do business".

Hiyo sentence hapo imesummarize kila kitu

Mkuu unapindisha mpaka summary? Ukiona thread ngumu kupinga just jump to the next one.
 
Ndugu zangu yapo makubwa niliyoyabaini yanayoigusa IKULU moja kwa moja ambayo ni hatari kupita maelezo!!
Utawala huu ukifika 2015 nyerere ataamka!!!
Mkuu mwaga habari zaidi kuhusu huo ufisadi wa Ikulu.
 
Labda in summary tu, kuna mtu anaweza kutuambia Kikwete kama waziri wamambo ya nje aliwapa favor gani Kempinski hotel au Kikwete kama Rais amewapa favour gani Kempinski hotel? Kama hilo litashindikana basi mtu atueleze ni sheria gani inayomkataza waziri kupewa zawadi?

Halafu jamani pamoja na wivu mnaomuonea Kikwete jaribu kucontrol nafsi zenu, hivi waziri wa mambo ya nje anaweza kuhongwa suti? hivi pesa ambazo Kikwete amekuwa anasaidia watu mbalimbali zingeweza kununua suti ngapi?
 
Kila kitu hapo kimejieleza..sioni element yoyote ya rushwa hapo!

"I suspect giving free clothes and the campaign donation is just the way these people do business"

Hiyo sentence hapo imesummarize kila kitu
Baba yako kaachwa nunuliwa nguo na mzee wake mwaka gani?

Wewe mwenyewe mara ya mwisho kununuliwa nguo na mzee wako ni lini?

Then pima raisi wako kufanyiwa ivo na mtu wa uarabuni.
Me nadhan huna hekima.usiwe kipofu ushindwaye hata kupapasa.
 
Mnapoulamu kikwete na uchumi eleweni kuwa uchumi sio kipaumbele chake.


 

Hii cable imenikumbusha mbali sana!
 
TANZANIA'S ENERGY CRISIS: INCREASING POWER CUTS

Wawekezaji wali serious s wanaKuja na Tanesco zao . Matatizo ya umeme hawayajui sababu wanajua serikali ni logolongo


Soma maneno ya watendaji wetuwaliozoea kufanya kazi kwa mazoea.


Kumbuka hiyo ni mwaka 2006 na leo ni 2011

habari zaidi soma zaidi Cable Viewer
 
Hizi habari za mkulu zinaumiza sana kichwa! sijui hii Tz ni nchi ya watu wa aina gani! i think i am about to turn into a proper evil!!
 

Hii cable inatukumbusha Nape alivyokuwa akijishauashaua kuhusu uchaguzi wa Igunga. Dogo inabidi afahamishwe kwamba mamabo haya kumbukumbu zake zipo
 
Kiwete a regular customer? what kind of events is this bigshot having in these guest rooms? making babies is the most probable event. We have the president!!!!!!!!!!!!!!!
Ni kweli he is a frequent visitor, juzu juzi wakati huu huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, nilikuwa na kaji assignment hapo Kempinski, nikamaliza around saa 3: usiku, hivyo nikamwita dereva aliyenileta, alete gari pale mbele, dereva akanipigia simu kuwa magari yamezuliwa kupita pale mbele, Mkulu anasubiriwa kuingia!, nikajiuliza tuu at that time?!, nikajijibu, labda anakuja kula daku!. Ikanibidi kupita nyuma na kutokea geti la nyuma ule upande wa lile hekalu la freemason.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…