Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7

Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa

1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...

2: ESCROW wezi wana dunda tu

3: Walio uza twiga wako wanatanua..

4: Wauaji wa Tembo wako huru tu

5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn

6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...

7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why

8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote

9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...

10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...

11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... 😨 kwani
hajui jamani..?

12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa😨😠😠

13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII

Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?
Hivi unategemea haya yote ayafanye na kuyatatua ndani ya mwezi mmoja aliokuwa madarakani? Kama ulisikiliza inaugural speech yake, alitoa tamko kuhusu yote hayo kwa ujumla! Labda ubongo wako uliutega kutaka kusikia majina hivyo ukamiss!
 
11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... ?-?? kwani
hajui jamani..?

12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa?-???-???-?-???-

sawa mkuu. lakini sasa ulitaka kwa mwezi huu mmoja afanye yote hayo uliyotaja? mi naona kwakua umeweza kuyaainisha, jitahidi orodha hii imfikie na kumwomba ahakikishe kitumbulio chake kinapita huko. si busara kubeza juhudi anazofanya JPM. kuna haja ya kumpongeza na kumpa support ya kutosha ili afanye kadili ya kiu ya Watanzania.
nkuru
 
Hivi unategemea haya yote ayafanye na kuyatatua ndani ya mwezi mmoja aliokuwa madarakani? Kama ulisikiliza inaugural speech yake, alitoa tamko kuhusu yote hayo kwa ujumla! Labda ubongo wako uliutega kutaka kusikia majina hivyo ukamiss!

Am insisting on him... sio kwamba afanye ghafla... we have to remind him... na sio kwamba simwamini...
Namwamini alot Mh. Magufuli... ila ajue TIME is a very dangerous thing in life... sie BEST MATHEMATICIAN like him, tunajua nini maana ya muda.... pia kuna issues ziko wazi kabisa like UMEME esp. IPTL Capacity Charges... linatuumiza kila siku... ule ni uwizi ingetakiwa aanze nao hawa pia... ASAP...

All in all, CCM Mungu alimbakiza MAGUFULI TU... wengine wote walikuwa kama ww, vichwa vimeoza dead head... only body is walking...!!
Do you really know what is INAGURAL SPEECH...!!? 🐗🐗 wee

Na Magufuli anafanya kweli... like mpinzani vile... umesikia mpinzani yeyote akimlaumu..? Sbb anafanya vema... but aongeze speed... aende kote kote...!!😨
 
Kweli hulewi unaitwa pre eta unataka akupe nini only month one tilion sana acha mahaba ya siasa wewe au unandugu yako kigogo wa ufisadi unajihofu
Anataka huyo kigogo wa ufisadi wa tembo na twiga afichuliwe maana wanamjua...sidhani kama anaogopa kitu hapa.
 
mbona hajagusa ile ICD ya shauri moyo ya mnene wa ccm?
 
Hata mtume hawezi timiza yote hayo ndani ya mwezi..
Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa

1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...

2: ESCROW wezi wana dunda tu

3: Walio uza twiga wako wanatanua..

4: Wauaji wa Tembo wako huru tu

5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn

6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...

7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why

8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote

9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...

10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...

11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... ?-?? kwani
hajui jamani..?

12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa?-???-???-?-???-

13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII

Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?
 
Upeo wa kufikiri wa mtanzania unastaajabisha sana.
 
Siwezi kutikiswa na kishindo cha kuvamia taasisi zake bila taarifa. Naam, amini amini nawaambieni nitatikiswa pale atakapowakamata BWM & JMK na viongozi wengine wakubwa walioliingiza taifa katika hasara kubwa. Otherwise, aendelee tu na safari yake.
 
Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............
Kila mtu ana vipaumbele vyake. Let him work on his priorities.
 
Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............
Preta hizo ni hasira za mkizi,hayo aliyoyafanya hadi sasa Magufuli ,Lowassa asingefanya hata kwa miaka 10.Wengi wenu hasa watu wa Lowassa kwa sababu zenu binafsi hamuoni kazi anayoifanya Magufuli,poleni raisi ni Magufuli na sote tumuunge mkono,treni ndio ishaondoka hivyoo.
 
Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa

1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...

2: ESCROW wezi wana dunda tu

3: Walio uza twiga wako wanatanua..

4: Wauaji wa Tembo wako huru tu

5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn

6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...

7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why

8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote

9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...

10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...

11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... 😨 kwani
hajui jamani..?

12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa😨😠😠

13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII

Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?
It took more than 10yrs to cause this damage, you guys need a one-month-fix...! Nchi imejaa mbatata wengi sana hii..
 
Magufuli naye ni mtu. Hawezi kufanya vitu vyote hivyo kwa wakati mmoja. Ni hatua baada ya hatua
 
Siwezi kutikiswa na kishindo cha kuvamia taasisi zake bila taarifa. Naam, amini amini nawaambieni nitatikiswa pale atakapowakamata BWM & JMK na viongozi wengine wakubwa walioliingiza taifa katika hasara kubwa. Otherwise, aendelee tu na safari yake.
Katiba ya nchi yako unaijua, umewahi kuisoma au umeamua kujiandikia ili mradi tu?
 
Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............

Habari za moshi,ushaenda kuhesabiwa?
 
Preta hizo ni hasira za mkizi,hayo aliyoyafanya hadi sasa Magufuli ,Lowassa asingefanya hata kwa miaka 10.Wengi wenu hasa watu wa Lowassa kwa sababu zenu binafsi hamuoni kazi anayoifanya Magufuli,poleni raisi ni Magufuli na sote tumuunge mkono,treni ndio ishaondoka hivyoo.

Nitakujibu Feb 2016............nadhani siku 100 zitatimia mwezi huo.........kwa sasa akili haitaki kuona chochote............

kila nikiwaza twiga......ngozi za chui na tembo........pumzi yangu ina stop..........ghafla bin vuuuuuuuuuuuuu.........
 
Back
Top Bottom