Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7

Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7

Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............
Huelewi wewe tu zero brain, sisi tumesharudi nyumbani, Tanzania kwanza, Magufuli nahodha wetu ni mchakamchaka tu...
#HapaKaziTu!
 
Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa

1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...

2: ESCROW wezi wana dunda tu

3: Walio uza twiga wako wanatanua..

4: Wauaji wa Tembo wako huru tu

5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn

6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...

7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why

8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote

9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...

10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...

11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... 😨 kwani
hajui jamani..?

12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa😨😠😠

13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII

Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?

Urojo? Porojo?
Wewe unafikiri mambo yote yatatekelezwa siku unayotaka wewe?? Vuta subra Magufuli for Changes...
Watanyooka tu...
Viva Magufuli, viva Tz.....
#HapaKaziTu!
 
Kamanda mbona umemsahau kinara wa Richmond,tunalipa Tshs.milioni 250 kwa siku mpaka kiama kwa ajili yake

Unamjua kinara wa richmond lakini au unaropokwa na kutokwa povu ovyo😎
 
Nimekukubali,nimeshackia kupitia kwa pm mkm wamefanya mambo.cjui na kesho wanapiga wapi kolabo.watanyooka tu.
 
Back
Top Bottom