Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7

Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa

1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...

2: ESCROW wezi wana dunda tu

3: Walio uza twiga wako wanatanua..

4: Wauaji wa Tembo wako huru tu

5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn

6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...

7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why

8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote

9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...

10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...

11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... 😨 kwani
hajui jamani..?

12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa😨😠😠

13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII

Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?

Jay One nimekuelewa Mkuu!
 
Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............
Mmmh ina maana hujaona chochote cha maana kilichofanyika
 
Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa

1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...

2: ESCROW wezi wana dunda tu

3: Walio uza twiga wako wanatanua..

4: Wauaji wa Tembo wako huru tu

5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn

6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...

7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why

8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote

9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...

10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...

11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa...  kwani
hajui jamani..?

12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa

13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII

Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?

Mfupa huu ni mgumu sana, Magufuli hauwezi. Yetu macho.
 
Nilisema jana, na leo kishindo kimeanza. Subirini, bado makubwa yanakuja.
 
Ndugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.

Yetu macho. Asisahau kufika mamlaka ya Ngorongoro ili kujiridhisha kama adhabu zilizotolewa na bodi zinalingana na ukubwa wa makosa ya kifisadi.

loading....
 
Ndugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.
Ulivyotoa Uzi ulipingwa Sana..sasa wameona
 
tupo tayari kuyasikiliza na kuyashuhudia mafisadi wote wanyongwe na kufiisiwa bila huruma
 
Ndugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.

Kishindo tumekiona mkuu...kimeanza leo hapo Bandarini
 
Ndugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.

Ulipingwa sana huu uzi hakika hata cku haijaikiwa nusu tayari huko bandarin watu wanakimbizana
 
Jamni tumpe muda Rais wetu Hata siku 100 hajafikisha,safari moja huanzisha nyengine.
Nalog off
 
Ndugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.
Wengi wapo kwa Sangoma na wale Waganga wa kienyeji walioletwa na Membe na January kwa ajili ya kampeni bado wapo Tanzania hawajarejea Nchini kwao Gambia, Mongolia nk , January sasa kawageuza Mladi mkubwa anapiga pesa kupitia wao, wapo viongozi wengi wanamimika huko kwa ajili ya kwenda kutuliza mizuka ya Magufuli na kusaka Uwaziri , Ukuu wa mikoa, wilaya na balozi nje ya Nchi.
 
Hey guys let's be fair to our President, cause he knows all those he will be dealing with one after another. even if it's you would you have resolved all? Tumpe muda then after tutamuhukumu.
 
Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............
Hauna akili wewe..Lowest IQ kabisa..
 
Back
Top Bottom