Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Ata usipomkubali tunaomkubali ni wengi tunatosha.
Kwani unadhani sijui kama mpo wengi........tatizo linakuja........je hatawaangusha.........?.......
Ata usipomkubali tunaomkubali ni wengi tunatosha.
Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa
1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...
2: ESCROW wezi wana dunda tu
3: Walio uza twiga wako wanatanua..
4: Wauaji wa Tembo wako huru tu
5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn
6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...
7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why
8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote
9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...
10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...
11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... 😨 kwani
hajui jamani..?
12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa😨😠😠
13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII
Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?
Kwenda zako JPM siyo wa hivyo mmemzoea Jk kutoa siri zake siyo huyu mtu aloo.
Iv yule ndugu yko alie olewa kasha rudi juzi nilikuona sakina dada umenona sn kesho ntapita tena hahahahah mic u ..
Hakuna kitu........tunaowataka mbona wanakwepwa........sarakasi tu hizi na senema zisizo na mashiko........
akiniletea aliyesafirisha twiga.......na kuua tembo.......ndio nitaona kuna jipya........vinginevyo........ mvinyo ule ule chupa mpya........hatulewi ng'ooooooooooooooo............
Ndugu zangu, Rais JPM amedhamiria. Kuanzia Jumatatu, Desemba 7 Tanzania itashuhudis mtikisiko mkubwa kuanzia Bandari, TRA na Mkoa wa Arusha. Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Nishati na Madini zitafikwa na mambo mazito. Naomba wana JF muwe tayari kuyashuhudia hayo mambo. Tanzania mpya imewadia.
Tunamtaka mwanamfalme!
Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa
1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...
2: ESCROW wezi wana dunda tu
3: Walio uza twiga wako wanatanua..
4: Wauaji wa Tembo wako huru tu
5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn
6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...
7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why
8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote
9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...
10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...
11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... 😨 kwani
hajui jamani..?
12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa😨😠😠
13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII
Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?
Kamanda mbona umemsahau kinara wa Richmond,tunalipa Tshs.milioni 250 kwa siku mpaka kiama kwa ajili yake
Braza usijifanye unanijua sana hii nchi,,,kaa utulie usubiri uone hii miaka 5 atawafanyaje,,mkwere aliuza vitalu vya mbuga ndio,,,ww ukiwa raisi unadhani utapambana na matajiri wa Falme za kiarab kichwakichwa,those things are dead n gone,,,kila kitab na zama zake,,,
Iv hua mnalazimishwa kuelewa ee,,,it your choice sweethert
ndugu yangu punguza mihemuko haya unayoyadai naamini atayatolea ufumbuzi ni mipangilio yake kaanza na TRA na TPA tumpe muda japo hata mimi nilipenda aanze na capacity charge ili wananchi tupate nafuu gharama za umeme kwa unit