Wiki moja kabla ya Machozi... Zitto???

Ukweli silijui lipi sahihi na hilo sijilaumu na laumu mfumo wa elimu,shule ya msingi kiswahili, secondari english,bachalor polish,master kijerumani ,kazi kiswidish mara kinorway mara kibelarusi hapo unadhani nini kitatokeo?

....kwi kwi kwi kwi kwi..........haya "bana" nimekubali.....kwi kwi kwi......
 
Ukweli silijui lipi sahihi na hilo sijilaumu na laumu mfumo wa elimu,shule ya msingi kiswahili, secondari english,bachalor polish,master kijerumani ,kazi kiswidish mara kinorway mara kibelarusi hapo unadhani nini kitatokeo?

right on... mlaumu mtu mwingine yeyote isipokuwa wewe mwenyewe.
 
wiki Moja Kabla Ya Kifo Cha Wangwe Habari Ziliingia Kwa Njia Ya Sms Zikiwa Na Ujumbe Uliokuwa Unamaudhui Yafuatayo "tumempoteza Mpambanaji Mwenzetu Zitto"! Ujumbe Huo Ulikuwa Ni Kutaarifu Juu Ya Kifo Cha Zitto Aliyekuwa Safarini Kenya Wakati Huo.

"ka Nzi" Ka Klhn Ambako Hakatii Kanuni Ya Muda Kameweza Kurudi Nyuma Hadi Masaa Machache Baada Ya Zitto Kupanda Ndege Kwenda Kenya; Watu Watatu Walikuwa Wanamfuata. Aligundua Anafuatwa Walipofika Kenya Kwani Watu Hao Walionekana Airport Na Baadaye Hotelini. Na Hata Siku Ya Sms Alipokuwa Mombasa Watu Hao Walionekana Tena. Zitto Aliamini Kuwa Ni Watu Wa Usalama Wa Taifa Letu (siyo Kitu Kigeni Kufuatwa Kama Ulinzi). Hakuna Na Shaka.

Hadi Pale Sms Ilipotumwa Ikiwa Na Taarif Hiyo Na Kwa Hakika Habari Zilikuwa Ziendane Na Ajali. Bahati Nzuri (mbaya Kwao) Ujumbe Ulitumwa Kabla Ya Tukio Na Hivyo Alipopigiwa Simu Kuulizwa Kama Ni Mzima Alishangaa Kuulizwa Kwani Alikuwa Ni Mzima Kabisa. Ndipo Ika "click". Imetonywa Toka Vyanzo Ndani Ya Wana Usalama Kuwa Zitto Alipiga Simu Kuulizia Kama Kuna "tail" Ya Uwt Na Akaambiwa La Hasha Hakukuwa Na Mtu/watu Waliotumwa Na Taasisi Hiyo Kumpatia Ulinzi Au Kumfuatilia.

Mara Moja Mipango Ya Kurudi Tanzania Haraka Ikafanywa Na Kubadilisha Itenerary Yake Kwa Kutumia Kile Ambacho Kinaitwa Kama "diversion Measures" Na Kuweza Kumrudisha Zitto Tanzania Salama Na Kuevade Potential Threat. Mtu Mmoja Aliyeshiriki Katika Kuhahakisha Zitto Anarudi Salama Na Kupewa Ulinzi Alitamka Kwa Uhakika Sana "hawa Jamaa Wanataka Kuua Mtu, Hatujui Ni Nani".

Taarifa Hizi Zilipelekwa Kwa Igp Na Rashid Othman (refer Barua Ya Mnyika). Kiongozi Ambaye Inaonekana Alikuwa The Most Vulnerable. Ni Sawa Na Ndege Aliyepweke Ndiye Mwenye Kupigwa Na Manati! Na Kama Mbugani Ni Mnyama Dhaifu Na Anayeenda Peke Ni Rahisi Kutafunwa Na Simba.

Vyanzo Hivyo Vinanong'oneza Kuwa Ya Zitto Ingekuwa Ni Ajali Iliyotokea Nje Ya Nchi Na Hivyo Almost Impossible To Associate Na Foul Play. Na Kwa Maoni Ya Vyanzo Hivyo Isije Kushangazwa Kuwa Jambo Kama Hilo Linatokea Nje Ya Nchi (hasa Nchi Za Majirani) Na Hivyo Kufanya Uharamia Huo Kwenda Nje Ya Mipaka Yetu.

Nilikuwa Na Maswali Mengine Mengi, Na Ka Nzi Kamepeperuka! And I'm Out!


Mkjj

Ningependa Kuamini Kuwa Haya Yalitokea, Lakini Nashindwa Na Sitaki Kuamini Kuwa Baada Ya Haya Kutokea Chadema Walishindwa Kuweka Ulinzi Sahihi Kwa Japo Wabunge Wao Waliopo Bungeni Kwa Kipindi Cha Japo Mwezi Mmoja.

Ina Maana Baada Ya Haya Kutokea Bado Wabunge (akiwamo Marehemu) Alikuwa Anaweza Kuendesha Toyota Corrola Kutoka Dodoma Kuelekea Morogoro Usiku Akiwa Na Si Mlinzi Wake Binafsi Au Msaidizi Wake Au Dereva Wake Aliyepewa Na Chadema Bali Kijana Wa Miaka 27 Ambaye Hakuwa Na Leseni, Asiyekuwa Na Kazi Rasmi, Asiyejulikana Na Familia, Asiyejulikana Na Chadema (kama Chama), Asiyejulikana Na Kiongozi Yoyote Ndani Ya Chadema Na Pia Asiyejulikana Vizuri Na Marehemu (walifahamiana Kipindi Kifupi). Haya Mkjj Nashindwa Kuamini.

Ninachoweza Kuamini Ni Kuwa Chadema Si Chama Kikamilifu; Hawakuwa Tayari Hata Kulinda Wabunge Wake Wachache Sembuse Tuwape Madaraka Ya Kuongoza Nchi Yetu..!!! Inanisikitisha Sana.
 
Na sijui kama huyu anaweza kusimama kama mtetezi wa wadanganyika,he's simply not credible.

Wakuu sijui huu mjadala unapotoka na unakokwenda, lakini please haya sio maneno ya kum-describe mbunge shujaa wa taifa letu na member pia wa hii forum, Mheshimiwa Zitto,

Unajua kuna wananchi wengi haa forum ambao kwa michango yao tu na ustaarabu wa maneno yao, unaona kuwa elimu imewasaidia sana katika maisha yao, lakini kuna wengine wetu sijui ni ulimbukeni wa internet I mean kiongozi aliyesababisha mkataba wa Buzwagi kuwekwa wazi na kwa mara ya kwanza katika historia ya uhuru wa taifa letu, wananchi tukajionea kwa macho yetu uhuni wa viongozi wetu, leo unaweza kumrushia maneno ya choooni kama haya?

Hivi mkuu tatizo lako humo kichwani ni nini hasa usaidiwe? Maana tunajaribu wee kukusaidia hapa JF, lakini huelewi tu, dakika moja unaoneakan umeelewa and then the next minute kama vile tulikuwa tunafundisha ukuta vipi?

Kwa taarifa yako mkuu wewe huwezi kuwa hata mtandika kitanda wa Zitto, licha hata ya wewe kutokuwa credible enough kumhumkumu shujaa kama Mheshimiwa Zitto, eti wewe mkuu kweli unaweza kuongelea credibility za bin-adam wengine? Kuwa na heshima kidogo na viongozi wakuu wa taifa.

Masikini ya Mungu!
 
Thanks a lot FMES. I really appreciate your contribution to defend our beloved MP Zitto.
 
Ka Inzi hako wasije wakakimwagia dawa ya Expel kikafa kipatie expel proof MKJJ

Pole Mh. ZK

Nzi huyu ni Bionics.

Core yake ni ya living Organism lakini Outercrust yake ni Non living organism.

Hakawii kupozi kama punje ya jiwe gumu na sekunde chache zijazo anafungua mbawa zake na kuruka kama nzi wengine.

Yeye haishi siku 7 kama nzi wa kawaida anaishi siku 7X777.

Huu ni mpambano kati ya HighTech yetu vijana na yao Mashaibu kutoka Bagamoyo kwenye Madogoli na Hirizi za kupumua.
 

Hivi Mkuu Tatizo Lako Humo Kichwani Ni Nini Hasa Usaidiwe? Maana Tunajaribu Wee Kukusaidia Hapa Jf, Lakini Huelewi Tu, Dakika Moja Unaoneakan Umeelewa And Then The Next Minute Kama Vile Tulikuwa Tunafundisha Ukuta Vipi?


Mkuu Fmes, Hii Paragraph Imenivunja Mbavu...lol
 
.....MMKJJ,

1. kutokana na maelezo yako.......ambayo nahisi kwa kiwangi kikubwa kuwa ka-inzi hako ni Zitto mwenyewe......ni kuwa kulikuwa na watu wako targeted......na target moja ikapatikana....moja ika-miss....na zingine sijui ni zipi.......

2......kwa mtu aliye makini.....hakuna kitu kinaitwa Coincidence!!....especially ukiwa ktk system fulani

3. Kwa nini Zitto apige simu UwT kuulizia kama kuna watu wa UwT wanam-tail.....yaani Zitto anafikiri UwT watamjibu ni kweli bwana..........wanaku-tail?.......hii simu imekaa kiajabu ajabu.....no wonder Mkamap anasema anayoyasema

4....huyo mtu anayedaiwa kuhakikisha usalama wa Zitto....sijui na wengine.......mmhhh........inabidi ka-inzi katuelezee zaidi

Read my lips No Read between the line.

Usalama wa Taifa umejaa watu wa kila namna kwa hiyo kupiga simu huko UwT kunaweza kuwa na ya maana kuulizia kwenye source zake ndani ya UwT.

Zitto hawezi kuwa nzi.
Kwa sababu Nzi ni nzi kama jina lake lilivyo.
Nzi si mtu wala mtu si nzi.

Hiyo sentensi ya mwisho mbona inapinga ile ya kwanza?
Kama Zitto ndo nzi mwenyewe iweje mwisho aulizwe tena ili atoe maelezo zaidi?

Nafurahi kwamba hata wewe mwenyewe unakubali kwa dhati kwamba Zitto na Ka-nzi ni dunia mbili tofauti.
 
Kwa hali hii ya kuanza kuvizia kuua viongozi mi naona Tanzania tupo mbioni kuingia vutani...! Majirani zetu Rwanda walianza hivi hivi....!

War, start by unlawful killing of one person, followed by revenge of killing another person causing anger then killing tens, provoking infuriation then killing hundreds, ending up with Genocide, the act of errasing a particular sect.
 



Mkjj

Ningependa Kuamini Kuwa Haya Yalitokea, Lakini Nashindwa Na Sitaki Kuamini Kuwa Baada Ya Haya Kutokea Chadema Walishindwa Kuweka Ulinzi Sahihi Kwa Japo Wabunge Wao Waliopo Bungeni Kwa Kipindi Cha Japo Mwezi Mmoja.........


Ukisikua upupu ndio huu. Kwa taarifa yako:

!. Mbunge ni wa wananchi wote na si CHADEMA peke yao. Hii dhana ndio imefanya wabunga wa CCM kutetea maslahi ya chama kuliko Taifa.

2. Wananchi wote wana haki ya kulindwa hata wasio wabunge na hili ni jukumu la kila anayekabidhiwa madaraka ya kutawala.

3. Serikali inao watu wa Usalama wanaolipwa mishahara inayotokana na kodi za wananchi na hivyo hii kazi haiwezi ikaachiwa CHADEMA.

4. Watu wenye akili kama wewe ndio hasa hamjui majukumu ya serikali hata pale mnapowakabidhi hiyo dola na ndiyo maana tumefikia hapa.

Sio lazima mtu ukaandika na kama huna kaa kimya kuliko kuonyesha uzuzu kama huu.
 
ukisikua Upupu Ndio Huu. Kwa Taarifa Yako:

!. Mbunge Ni Wa Wananchi Wote Na Si Chadema Peke Yao. Hii Dhana Ndio Imefanya Wabunga Wa Ccm Kutetea Maslahi Ya Chama Kuliko Taifa.

2. Wananchi Wote Wana Haki Ya Kulindwa Hata Wasio Wabunge Na Hili Ni Jukumu La Kila Anayekabidhiwa Madaraka Ya Kutawala.

3. Serikali Inao Watu Wa Usalama Wanaolipwa Mishahara Inayotokana Na Kodi Za Wananchi Na Hivyo Hii Kazi Haiwezi Ikaachiwa Chadema.

4. Watu Wenye Akili Kama Wewe Ndio Hasa Hamjui Majukumu Ya Serikali Hata Pale Mnapowakabidhi Hiyo Dola Na Ndiyo Maana Tumefikia Hapa.

Sio Lazima Mtu Ukaandika Na Kama Huna Kaa Kimya Kuliko Kuonyesha Uzuzu Kama Huu.


Mag3

ungekuwa Na Busara Japo Kidogo Ungeniuliza Kwa Nini Nimeona Chadema Walikuwa Na Jukumu Na Bado Wana Jukumu La Kulinda Japo Wabunge Wao. Lakini Nitakusamehe Maana Inaonyesha Uwezo Wako Wa Kufuatilia Mjadala Ni Mdogo.

Nitakuelimisha; Chadema Walishaomba Ulinzi Kwa Igp Sio Mara Moja Na Wala Sio Mara Mbili, Sijawahi Sijawahi Kusikia Chadema Wakishukuru Kwa Kupatiwa Ulinzi; Hii Inaonyesha Kwamba Labda Hawakupewa Au Walikubaliana Na Utaratibu Mwingine Kufuatia Ombi Lao. Vyovyote Kati Ya Hayo Ni Jukumu La Chadema Kuhakikisha Wabunge Wao Wako Salama Iwapo Watalindwa Na Dola Kwa Mujibu Wa Katiba Au Sungusungu Kwa Mujibu Wa Jadi.!! Siasa Ni Mchezo Mchafu; Chadema Inajua Hilo Lakini Wamefeli Mtihani.

Wewe Unailaumu Serikali Kwa Lipi Hapa Je Kwa Marehemu Ambaye Ni Mbunge Kupanga Safari Na Kijana Asiyemjua, Asiye Na Leseni, Aliyeendesha Kasi Au Unalaumu Serikali Kwa Sababu Mapenzi Yako Kwa Chadema Yanakufanya Uwe Mvivu Wa Kufikiri. Majukumu Ya Chadema Ni Yapi Kwenye Usalama Wa Chama Na Viongozi Wake...???

NIMESEMA SIASA NI MCHEZO MCHAFU...CHADEMA HAWATAKI KUJIFUNZA LILE JIMBO KWA SASA NDIO KUSEMA LIMESHARUDI KWA CCM. SASA NANI NI ZUZU HAPO CCM AU CHADEMA?? RUDI DARASANI UKAELIMIKE.
 
Kuuliza si ujinga?

Hivi kazi ya usalama wa taifa ni kulinda watu?

Iweje Rais walinzi wake officially ni vijana JWTZ na usalama wa Taifa wanaenda wakinusanusa huko na huko pembeni mwa msafara?
 
Thanks a lot FMES. I really appreciate your contribution to defend our beloved MP Zitto.

Mkuu heshima ikurudie, tunasema hivi hii sio forum ya wendawazimu hapana sisi ni watu wazima tena tuna akili timamu sana na hata viongozi na wananchi wengi wa Tanzania, wanalikubali hilo na tunayo mifano mingi sana kuthibitisha hilo,

Hapa forum hakuna aliyekwenda Tarime, kwenye mazishi wote tuna speculate sasa unamhukumu vipi kiongozi aliyekuwepo kule Tarime bila ya kuwa na facts zaidi ya alizozitoa? Hapa unatakiwa useme kwamba jamani mimi nilkuwepo kule Tarime, kilichotokea ni one, two, three, as opposed na maneno ya mbunge Zitto, damn it hapa una haki zote za kumshusha hadhi as much as you want, lakini not otherwise, ndio inabidi tukuulize je wewe unayo hiyo credibilty unayoi-question kwa mbunge na shujaa wa taifa Mheshimiwa Zitto?

I mean, unaposema kuwa Mheshimiwa Zitto, hana credibility kwa watu wenye akili timamu wanaangalia ni viongozi gani wengine wasiokuwa na credibility katika taifa letu, wanakuta kina Mtikila, Rostam, Lowassa, Karamagi, Msabaha, Mkapa, Yona, Serukamba, Chenge, sasa unajaribu kumuweka Mheshimiwa Zitto kwenye hiyo list kama alivyodai huyu ndugu ya viongozi waliooza na wasiokuwa a credibility hata chembe moja kwa jamii yetu,

Sasa naomba niulize does this hoja ya credibility makes any sense at all? Halafu unajiuliza huyu aliyeiota hii hoja nia na madhumuni yake hasa ni nini? I mean nimsema mara nyingi sana kuwa viongozi waadilifu wa taifa letu tunawajua sana na tutawatetea by anymeans necessary,

Mkuu Invisible, it is about time sasa ukaanza kupunguza majina ya members hapa JF, maana huu sasa ni utoto wabaki na majina mawili au matatu kama ni lazima lakini haya ya majina 40 mtu mmoja nina wasi wasi kuwa kuna someone who is out there kuivuruga hii forum!

Ahsante Wakuu!
 
Ukisikua upupu ndio huu. Kwa taarifa yako:

!. Mbunge ni wa wananchi wote na si CHADEMA peke yao. Hii dhana ndio imefanya wabunga wa CCM kutetea maslahi ya chama kuliko Taifa.

2. Wananchi wote wana haki ya kulindwa hata wasio wabunge na hili ni jukumu la kila anayekabidhiwa madaraka ya kutawala.

3. Serikali inao watu wa Usalama wanaolipwa mishahara inayotokana na kodi za wananchi na hivyo hii kazi haiwezi ikaachiwa CHADEMA.

4. Watu wenye akili kama wewe ndio hasa hamjui majukumu ya serikali hata pale mnapowakabidhi hiyo dola na ndiyo maana tumefikia hapa.

Sio lazima mtu ukaandika na kama huna kaa kimya kuliko kuonyesha uzuzu kama huu.

Kwa ufahamisho ni kuwa mimi hata hiyo Chadema najua tu kuwa ni mojawapo ya vyama pinzani na katika miaka yangu zaidi ya makumi sita sijawahi kuwa mwanasiasa wala sitarajii kuwa mwanachama wa chama chochote kile.

Kinachonisukuma ni uchungu tu wa kuona mambo yanavyokwenda na kwa kuipenda nchi yangu, period.
 
Read my lips No Read between the line.

Usalama wa Taifa umejaa watu wa kila namna kwa hiyo kupiga simu huko UwT kunaweza kuwa na ya maana kuulizia kwenye source zake ndani ya UwT.

Zitto hawezi kuwa nzi.
Kwa sababu Nzi ni nzi kama jina lake lilivyo.
Nzi si mtu wala mtu si nzi.

Hiyo sentensi ya mwisho mbona inapinga ile ya kwanza?
Kama Zitto ndo nzi mwenyewe iweje mwisho aulizwe tena ili atoe maelezo zaidi?

Nafurahi kwamba hata wewe mwenyewe unakubali kwa dhati kwamba Zitto na Ka-nzi ni dunia mbili tofauti.

....Madela nini tatizo?.....mbona MMKJJ alishatoa ufafanuzi kuhusu vipengele nilivyoandika!!.........
 
Halafu Mods naomba kama munaweza mulifuatile tatizo ambalo naona ni la kiufundi ama sijui ni vipi.
Kwasababu ukijaribu kum quote mtu unakuta ni kama ume ji qoute mwenyewe..Mfano ni hapo juu kwa Mag3...Na mimi pia ilikuwa ikinitokea jana...Especially nilipokuwa nikijaribu kum quote huyo Yebo Yebo.
 
Halafu Mods naomba kama munaweza mulifuatile tatizo ambalo naona ni la kiufundi ama sijui ni vipi.
Kwasababu ukijaribu kum quote mtu unakuta ni kama ume ji qoute mwenyewe..Mfano ni hapo juu kwa Mag3...Na mimi pia ilikuwa ikinitokea jana...Especially nilipokuwa nikijaribu kum quote huyo Yebo Yebo.


Hata mimi nimeshangaa kweli kweli - kulikoni ?
 
Tanzania yangu ,niionavyo naona kama kila kitu ni siasa tu hakuna hata proffessional...mfano,IGP,Mwanasheria Mkuu,PCCB wote nawaona kama wana interest kwenye siasa ndio maaana hata watendaji wengine nawaona kama nao wanapata ugonjwa huu,Hakuna majibu hakuna creativities kwa watendaji wetu hasa Police naona kabisa inaendeshwa kisiasa zaidi...hakuna clear channel na clear answers kwa majibu mengi sana jamani mbona siioni mwanga mbele yetu?naona tuu kuna watu wachache wanafanya watakalo...ina maana kweli nchi haina mwenyewe?kila kitu hakina majibu mambo yanatokea hakuna wa kukemea wala....wapo wapo tu...mi naumi sana kwa yote haya...
 
Maoni yangu ni kwamba Mh. Zitto anakubalika vizuri tu ndani ya CCM na Serikalini pengine kuliko hata huko CHADEMA kwenyewe! Aliupigia kelele mkataba wa Buzwagi, bado upo na unatekelezwa kama ulivyosainiwa kule London. Saana ulimpa nafasi kufaidi posho kwenye tume ya Bomani.
 
Back
Top Bottom