Wiki moja baada ya white party

akenajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
1,634
Reaction score
613
Je tuweke picha za mambo yalivyokuwa?maoni tafadhali
 
Nani amekuomba? ??au ni kiherehere tu!"
 
ni kiherehere tu na ni kweli ushamba hauna mwenyewe ,mna jipya ?
 
Mkuu picha za Non-Verified users huwa ni mwiko kuonekana hapa jamvini, unless mtu binafsi kaweka kwa ridhaa yake. Na kwa kumbukumbu zangu hakukuwa na Verified User(s) pale.
Ila picha za mandhari unaweza kuweka kama unazo.

Nawakilisha....
 
muache.......ana hamu ya kwenda Lupango........
 
Aisee watu wakali....

Ndio sheria zilivyo na ndio namna ya kuvifuata...picha zipigwazo ni kwa kumbukumbu ya mhusika binafsi ndio maana hata PM huwezi tuma picha itokayo kwenye camera au computer.
 
yaani nilikuwa nawapa pressure baadhi ya mafala hata camera yenyewe sina na sijawahi kumiliki camera ha ha ha
 
yaani nilikuwa nawapa pressure baadhi ya mafala hata camera yenyewe sina na sijawahi kumiliki camera ha ha ha

Ninakuomba uwataje kwa majina...
Eti wajameni hiki ni kijiwe cha baadhi ya "mafala"?
 
Hahaha...mkuu hapa mpaka kieleweke ndio maana kule kwenye maoni ya Katiba ya Chitchat, nikaomba bomba la gesi lipite hapa...ngoja nikaisake ile comment kule nikutupie hapa...

Kapotea njia huyo, alidhani yuko kwa 'mafala' wenzie, msameheni kwa jero tu
Nina ombi moja tu kwa Katiba mpya...
Bomba la Gesi la N'twara litupitie na sisi hapa Chitchat

...yaani bomba likipitishwa hapa, namzamisha nalo mtu mdomoni, halafu utambi nausokomeza masikioni...mwishoni namlipua lipuuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…