LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
WanaJF nawasalimia wote!
"Siku hazifanani" ni msemo wa kiswahili uliozoeleka sana na ni waukweli.
Kwa sababu hiyo, wiki, miezi, miaka, milongo na karne nazo haifanani pia kwa sababu zinaundwa na siku.
Kwa upande wa wiki hii, nikiri kabisa kwamba haikuwa nzuri kwangu hasa katika mahusiano na baadhi ya Wanachama wezangu wa Jamii Forum. Kwa mfano, baadhi ya michango yangu iliwakera sana dada yangu mpendwa Natalia na kaka yangu chardams na wanachama wengine.
Kwa kuongezea, nimekuta "like" leo hii kwenye comment yangu ya tarehe 12/08/2011 saa 12.20 jioni kutoka Invisible nikiamini kwamba ananikumbusha kutembea kwenye komenti yangu.
Invisible liked post by LINCOLINMTZA On thread : Tanzania: The Legacy of President Jakaya Kikwete (2005-2015)
Nachukua fursa hii kwa heshima na taadhima, kwa moyo mweupe kabisa, kuwaomba msamaha wanachama wote wa JF na hasa Natalia na chardams. Naamini hii ndo njia nzuriinayoweza kuuendeleza umoja wetu wa kitanzania.
Pamoja na hayo, ningependa "kushare experiences" yenu wanachama katika wiki hii inayoisha leo ijumaa. Je, ilikuwaje kwako katika mahusiano, mapenzi, kazi, uchumi, siasa, elimu, usafiri, familia, afya, na katika nyanja mbalimbali zinazofanana na hizo.
Asenteni sana wote na
nawatakia mapumziko mema ya mwisho wa wiki.
Wenu mwanachama mtiifu wa JF,
LINCOLINMTZA
Copy Natalia, chardams na Invisible

Liked On: Today, 08:48
Yote haya yanaonyesha kwamba wiki hii haikuwa nzuri kwenye mahusiano yangu na Watanzania wezangu, na wazalendo wezangu na wanachama wezangu wa JF hayakuwa mazuri kabisa.