Wifi hurumia vipesa vya kaka yangu

Wifi hurumia vipesa vya kaka yangu

Sky sio mbaya Wifi akipata wasaa wa kuzitumia za Kaka yako,ni vyema wakabadilisha mfumo wa maisha maana wakikaa hapo itakua hawana tofauti na walikotoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mgeni wa kiafrika kutaka kwenda hotel ni either nyumba yako ni ndogo sana haina uhuru pia hataweza kujinafasi na familia.
Or mazingira kaona hatayaweza ni bora muda mwingi autumie hotel hizo wiki mbili ziwahi kuisha!!
 
WIFI YAKO ANA AKILI Sky Eclat inawezekana PIA HAJAZOEA KUJIBANA, AMEKUJA MJINI ILI AJITANUE.. UJUE WATU WA MIKOANI HAWAJAZOEA KUJIBANA BANA UKUTANI..

KWA KUWA HELA NI ZAO NA WAMETAFUTA KWA NGUVU ZAO WACHA WATUMIE

PIA INAWEZEKANA WALIPLAN NA BRO WAKO WAFIKIE HOTEL HVYO KAMTUMIA MKEWE AJE KULETA HOJA

PIA, WIFI YAKO INAWEZEKANA ANAKIMBIA MANENO.. ANATAKA UHURU.. WASIKUBUDHI HASA WAWAPO FARAGHA
 
WIFI YAKO ANA AKILI Sky Eclat inawezekana PIA HAJAZOEA KUJIBANA, AMEKUJA MJINI ILI AJITANUE.. UJUE WATU WA MIKOANI HAWAJAZOEA KUJIBANA BANA UKUTANI..

KWA KUWA HELA NI ZAO NA WAMETAFUTA KWA NGUVU ZAO WACHA WATUMIE

PIA INAWEZEKANA WALIPLAN NA BRO WAKO WAFIKIE HOTEL HVYO KAMTUMIA MKEWE AJE KULETA HOJA

PIA, WIFI YAKO INAWEZEKANA ANAKIMBIA MANENO.. ANATAKA UHURU.. WASIKUBUDHI HASA WAWAPO FARAGHA
Wamenizibia chance ya kula mboga saba, nilishapiga hesabu mgeni njoo mwenyeji apone.
 
Kuna wanawake hawana huruma sasa hiyo pesa ya kwenda kulipia hotel si wangeitumia kufanyia jambo jingine.

Hivyo kaka kasemaje naye kakubali kwenda huko hotelini?
Usiangalie upande mmoja. Hivi ulishawah kutoka na mumeo nje ya mkoa ukaona inavyokuwa taha kupata faragha?

Ulale kwa mtu na mumeo wiki mbili Adi kumuogesha ushindwe kisa bajet?

Afu umesahau kwamba wanawake 2 nyumba moja wiki mbili sio jambo wepesi. Huyu wifi anajiepusha na mambo mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndivyo dunia inapoelekea Sky Eclat, hizi ni tamaduni za huko magharibi, naona wifi yako ameshakuwa na "ustaarabu wa magharibi".

Siku hizi watu hawapendi kuwa mizigo kwa ndugu zao, lakini pia privacy yao na yako ni muhimu, especially kama nyumba yako ipo so confined, ni heri wakaenda huko.

Lakini pia, hizo sio pesa za kaka yako, ni za familia yao, wewe hata huhusiki nazo.
 
Watu wengi wenye miji huwa wanapenda sana wagen.

Kwa utamaduni wetu ukitembelewa na ugeni kama huo kaka na wifi utapenda sana wakae kwako yaan uwe mwenyej nk.

Sasa kabla ya yote ulitakiwa ujue haya

1. Kaka yako kuja Kila kwako kwa wiki mbili yy na mkewe ni jambo ambalo kaka na wifi wanaona mzigo. Yaan wakijitathmini kwamba wakae kwako kuoga mapaka apewe maji ama laa ndala aombe nk hii kwa wengi haiko sawa

2. Unaweza kuona wifi anatumia hela ya kaka yako vibaya na tena halahala kama hujayasambaza kwa ndg wengine. Lakin umesahau kwamba Kila mama hupenda kuwa huru na mumewe. Wifi yako akikaa hapo kama anataka garagha na mumewe mchana hawez pata. Hata akitaka kula shingo ya kuku Bado ataonekana mchoyo

Hebu ww wifi mtu, wape uhuru wawili hawa. Kunabali kwamba kaka yako ameoa na anahitaj uhuru japo awe na faragha na mkewe.

Kubali wanapokuja kukusalimia kimtindo

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante dada gfsonwin.
Lakini pia, kwa nini Sky Eclat aziite "pesa za kaka yake"? Hizo ni pesa za familia ya kaka yake, she's got nothing to do with the money.

Yeye amefanya vizuri kutaka kuwa host, wao wameona ni vema kwenda hoteli, awaache kwa vile budget yao hata haijui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom