Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,496
- 3,168
Nashangaa jitu linadai et anamashauziKweli kabisa katika madada nilionao humu jf huyu da Sky namkubali na anajitambua vibaya mno.
Hajataka kumsoma akamuelewa.
Nashangaa jitu linadai et anamashauziKweli kabisa katika madada nilionao humu jf huyu da Sky namkubali na anajitambua vibaya mno.
Hajataka kumsoma akamuelewa.
Sweet home [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nanjilinji townHuyu ni m-Nanjilini wa 1st class
Hilo ni swali zuri sana. Manake anMmilikisha kaka yake kama kwamba huyo wifi yy ni kabat ama kochi la sebulen
Hata mimi namshangaa, yaani sky eclat ni moja ya wana JF ninaowakubali ambao hawana makuu.Maneno yako hayana chembe ya ustaarabu waki tz. Ww unanini mpaka kusema hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat embu vaa viatu vya wifi yako uone kama vitakutosha,Nimepata ugeni weekend hii, ni kaka yangu anaeishi Nanjilinji amenitembelea akiwa na familia yake. Wifi yangu ametokea Nanjilinji na hajawahi kufika Dar, kila nikienda kuwatembelea ninamkaribisha sasa hivi ndiyo amepata nafasi ya kuja kunitembelea baada ya watoto kufunga shule.
Nilienda mtumbani nikanunua mashuka na kuweka mosquito wire gauze nyumba nzima nikijua ninapata wageni. Wageni wameingia tu wifi anadai anataka wakakae hotelini, hapa kwangu watakuwa wanakuja tu kusalimia.
Jamani wifi si kuwa unahamia kwangu, hizi wiki mbili tungejibana tu hapa, onea huruma pesa ya kaka yangu.
[emoji1][emoji1][emoji1]Wamenizibia chance ya kula mboga saba, nilishapiga hesabu mgeni njoo mwenyeji apone.
Huyu Mdada huwa ni Muongo Muda Fulani si useme tu Upo huko Ulaya Jamani nani atakuomba hizo dola.,. Shule Gani Tanzania zimefunga kipindi hiki Ebu kuwa mkweli Bwana sometime unaboaNimepata ugeni weekend hii, ni kaka yangu anaeishi Nanjilinji amenitembelea akiwa na familia yake. Wifi yangu ametokea Nanjilinji na hajawahi kufika Dar, kila nikienda kuwatembelea ninamkaribisha sasa hivi ndiyo amepata nafasi ya kuja kunitembelea baada ya watoto kufunga shule.
Nilienda mtumbani nikanunua mashuka na kuweka mosquito wire gauze nyumba nzima nikijua ninapata wageni. Wageni wameingia tu wifi anadai anataka wakakae hotelini, hapa kwangu watakuwa wanakuja tu kusalimia.
Jamani wifi si kuwa unahamia kwangu, hizi wiki mbili tungejibana tu hapa, onea huruma pesa ya kaka yangu.
Mkuu ni lini mimi nilisema niko Ulaya? Mimi si ninasema niko kwetu Kwamtogole jamani, kuna wanao hisi hivyo sasa uongo wangu uko wapi? hujui umri wa watoto na kama wanasoma English schools ambazo muda huu ni summer holiday?Huyu Mdada huwa ni Muongo Muda Fulani si useme tu Upo huko Ulaya Jamani nani atakuomba hizo dola.,. Shule Gani Tanzania zimefunga kipindi hiki Ebu kuwa mkweli Bwana sometime unaboa
Umesahau kuwa ulisema upo kuongeza elimu huko majuu?Mkuu ni lini mimi nilisema niko Ulaya? Mimi si ninasema niko kwetu Kwamtogole jamani, kuna wanao hisi hivyo sasa uongo wangu uko wapi? hujui umri wa watoto na kama wanasoma English schools ambazo muda huu ni summer holiday?
Mh mkuu mimi ni wa Kwamtogole, huko hata nikienda si ninapewa miezi sita ninarudiUmesahau kuwa ulisema upo kuongeza elimu huko majuu?
Anyway, hizo pesa usizionee huruma coz sio za kaka yako, ni za familia ya kaka yako na wala hutakiwi kujua matumizi ya hizo pesa.
Mkuu Summer Holiday Tanzania Kweli acha kutuuza Bwana wewe ni Mtu mzima Nursey kama siyo Dr wa Magonjwa ya Binadamu mwenye uelewa Mzuri tu.... Ila usiwakejeli watu kwa kutaja kwa mtogole ilihali Mungu anakuona ila kama ndiko unakokuombea kuwa sawa kwa kuwa Maneno yanaumbaMkuu ni lini mimi nilisema niko Ulaya? Mimi si ninasema niko kwetu Kwamtogole jamani, kuna wanao hisi hivyo sasa uongo wangu uko wapi? hujui umri wa watoto na kama wanasoma English schools ambazo muda huu ni summer holiday?
Afadhali Umekumbuka na kuna uzi mwingine alikuwa anasifia kazi ya uuguzi ya Huko Majuu kuwa inalipa sana.. Sasa hapa anatunywesha chai bila sukariUmesahau kuwa ulisema upo kuongeza elimu huko majuu?
Anyway, hizo pesa usizionee huruma coz sio za kaka yako, ni za familia ya kaka yako na wala hutakiwi kujua matumizi ya hizo pesa.
Mkuu kwa heshima yako mjadala uishe.Mkuu Summer Holiday Tanzania Kweli acha kutuuza Bwana wewe ni Mtu mzima Nursey kama siyo Dr wa Magonjwa ya Binadamu mwenye uelewa Mzuri tu.... Ila usiwakejeli watu kwa kutaja kwa mtogole ilihali Mungu anakuona ila kama ndiko unakokuombea kuwa sawa kwa kuwa Maneno yanaumba
Watu wana memory savers kubwa sana, whatever is written haifutiki kirahisi sky, ila usiwakejeli wale wa Kwamtogole buana..Mkuu kwa heshima yako mjadala uishe.