Wifi hurumia vipesa vya kaka yangu

Wifi hurumia vipesa vya kaka yangu

Baadh ya wanawake capacity ya akili zao haizidi 0.2kb

young kilimanjaro
 
Nyinyi wanawake ua wanafiki, kuna uwezekano mkubwa ata wewe ungeenda kwa asilimia 99.9% uko hotelini ,apa tunaosha vyombo tu,...
Uzuri wa jf kila mtu ana uhuru wa kuwaza anachofikiria kukiwaza. Hivyo usijali mkuu huenda ingekuwa hivyo.

Siku njema mkuu.
 
Ninachosikitika ni kuwa mimi huwa ninakwenda kwao ili niwe karibu na watoto wao na wifi ananikarimu sana. Hajanitendea haki ya nafasi yangu kulipa ukarimu wake. Ninajiuliza na mimi nikiwa Nanjilinji nitafute Guest House?
Ww ukienda peke yako ni sawa ukifikia kwao. Lkn yy na kaka yako kufikia kwako haija kaa vzr. Hebu niambie jinsi inavyonoga kusafiri na mpenzi wako af mkapata faragha

Hata wifi angekuwa peke yake Angelina kulala kwa ko.

Af ukaribu na watt utakuwepo. Mda wanapokuja kukuona hapo nyumban atawazoea. Manake umesema anataka kulala hotel apo home awe anakuja kuwasalimia tuu which is fair

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache wakale laha! Cku moja moja c mbaya. Huwezi endekeza dhiki tangu January mpaka January.
 
Nimepata ugeni weekend hii, ni kaka yangu anaeishi Nanjilinji amenitembelea akiwa na familia yake. Wifi yangu ametokea Nanjilinji na hajawahi kufika Dar, kila nikienda kuwatembelea ninamkaribisha sasa hivi ndiyo amepata nafasi ya kuja kunitembelea baada ya watoto kufunga shule.

Nilienda mtumbani nikanunua mashuka na kuweka mosquito wire gauze nyumba nzima nikijua ninapata wageni. Wageni wameingia tu wifi anadai anataka wakakae hotelini, hapa kwangu watakuwa wanakuja tu kusalimia.

Jamani wifi si kuwa unahamia kwangu, hizi wiki mbili tungejibana tu hapa, onea huruma pesa ya kaka yangu.

Ningependa kufahamu uhusiano kati ya 1. kununua mashuka ya mitumba na kukarabati au kuendelea na ujenzi wa madirisha ya nyumba yako kwa dharula, 2. kutaka kaka yako abane matumizi.

Endapo ulimwelezea wifi yako hayo maandalizi, ni lazima amshauri mumewe wakakae hotelini kwani inaonesha ugeni wao ni mzigo kwako.

Halafu, ulikuwa unaishi vipi kwenye nyumba haina wavu wa mbu kwenye madirisha wakati ukizingatia wewe ni mtaalam wa afya ya binadamu (kwa mujibu wa member mmoja kwenye moja ya posts zako) na pia umebeba maboski kwa Queen Elizabeth II? Au umepeleka wageni kwenye nyumba yako ambayo haijaisha kule Mbweni?

Mumeo anasemaje juu ya hilo?

Siku ukienda Nanjilinji, tafadhari fikia hotelini na sio kwa wifi yako ili kutoa somo.

Namalizia kwa methali hii, ''akunyimae mbaazi, kakupunguzia ....''
 
Hotel wiki mbili!!dar!!! ya sh ngapi???mmmh!!!kaka ako nae ahajajiongeza??
 
Wifi Anaijua shuhuli ya Kaka yako usiku ndio maana kaepusha aibu za asubuh.

Ni kweli kabisa, kama hiyo nyuma haikuwa na wavu wa mbu kwenye madirisha, kuna uwezekano mkubwa hakuna ceiling board.

[HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] kama nyumba yako haina ceiling board au vioo kwenye vent za milango, tafadhari wape uhuru, wala isikupe shida. Na ndio maana wifi yako amependekeza kuwepo kwako karibu siku zote ila ni mchana tu.
 
Hotel wiki mbili!!dar!!! ya sh ngapi???mmmh!!!kaka ako nae ahajajiongeza??

Lakini wanaweza kuondoka muda wowote pale cash itakapo kata. Halafu kwani tumeambiwa hiyo bajeti yao ya safari?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom