Wifi hurumia vipesa vya kaka yangu

Wifi hurumia vipesa vya kaka yangu

Watu wengi wenye miji huwa wanapenda sana wagen.

Kwa utamaduni wetu ukitembelewa na ugeni kama huo kaka na wifi utapenda sana wakae kwako yaan uwe mwenyej nk.

Sasa kabla ya yote ulitakiwa ujue haya

1. Kaka yako kuja Kila kwako kwa wiki mbili yy na mkewe ni jambo ambalo kaka na wifi wanaona mzigo. Yaan wakijitathmini kwamba wakae kwako kuoga mapaka apewe maji ama laa ndala aombe nk hii kwa wengi haiko sawa

2. Unaweza kuona wifi anatumia hela ya kaka yako vibaya na tena halahala kama hujayasambaza kwa ndg wengine. Lakin umesahau kwamba Kila mama hupenda kuwa huru na mumewe. Wifi yako akikaa hapo kama anataka garagha na mumewe mchana hawez pata. Hata akitaka kula shingo ya kuku Bado ataonekana mchoyo

Hebu ww wifi mtu, wape uhuru wawili hawa. Kunabali kwamba kaka yako ameoa na anahitaj uhuru japo awe na faragha na mkewe.

Kubali wanapokuja kukusalimia kimtindo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanawake hawana huruma sasa hiyo pesa ya kwenda kulipia hotel si wangeitumia kufanyia jambo jingine.

Hivyo kaka kasemaje naye kakubali kwenda huko hotelini?
 
Jamani wifi si kuwa unahamia kwangu, hizi wiki mbili tungejibana tu hapa, onea huruma pesa ya kaka yangu.

Acha wakake Guest tu. Huenda kaka yako ndo kaamua hivyo ila kaona soo kukwambia na anamtumia my wife wake. Two weeks nyingi sana kubanana hapo kwako
 
Watu wengi wenye miji huwa wanapenda sana wagen.

Kwa utamaduni wetu ukitembelewa na ugeni kama huo kaka na wifi utapenda sana wakae kwako yaan uwe mwenyej nk.

Sasa kabla ya yote ulitakiwa ujue haya

1. Kaka yako kuja Kila kwako kwa wiki mbili yy na mkewe ni jambo ambalo kaka na wifi wanaona mzigo. Yaan wakijitathmini kwamba wakae kwako kuoga mapaka apewe maji ama laa ndala aombe nk hii kwa wengi haiko sawa

2. Unaweza kuona wifi anatumia hela ya kaka yako vibaya na tena halahala kama hujayasambaza kwa ndg wengine. Lakin umesahau kwamba Kila mama hupenda kuwa huru na mumewe. Wifi yako akikaa hapo kama anataka garagha na mumewe mchana hawez pata. Hata akitaka kula shingo ya kuku Bado ataonekana mchoyo

Hebu ww wifi mtu, wape uhuru wawili hawa. Kunabali kwamba kaka yako ameoa na anahitaj uhuru japo awe na faragha na mkewe.

Kubali wanapokuja kukusalimia kimtindo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachosikitika ni kuwa mimi huwa ninakwenda kwao ili niwe karibu na watoto wao na wifi ananikarimu sana. Hajanitendea haki ya nafasi yangu kulipa ukarimu wake. Ninajiuliza na mimi nikiwa Nanjilinji nitafute Guest House?
 
Inawezekana natafuta nafasi ya picha za Instagram.
Ni rahisi sana kumuwazia haya ila jivike viatu vyako mnaenda mkoani afu unaambiwa tutashukia kwa wifi for two wks utuambie ukweli je utaafiki hilo?

Hivi umeshawah kujiuliza unaenda ugenini kusalimia wiki mbili kwa mtu tena wifi afu uko na mumeo. Wanawake ni desturi yao kukaa muda mrefu Pamoja ni shida sana.

Tena kunguru.mwoga hukimbiza bawa lake. Akija hapo maneno jaman yataanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata ugeni weekend hii, ni kaka yangu anaeishi Nanjilinji amenitembelea akiwa na familia yake. Wifi yangu ametokea Nanjilinji na hajawahi kufika Dar, kila nikienda kuwatembelea ninamkaribisha sasa hivi ndiyo amepata nafasi ya kuja kunitembelea baada ya watoto kufunga shule.

Nilienda mtumbani nikanunua mashuka na kuweka mosquito wire gauze nyumba nzima nikijua ninapata wageni. Wageni wameingia tu wifi anadai anataka wakakae hotelini, hapa kwangu watakuwa wanakuja tu kusalimia.

Jamani wifi si kuwa unahamia kwangu, hizi wiki mbili tungejibana tu hapa, onea huruma pesa ya kaka yangu.

Kumbe shule zimefungwa... no wonder kuna vithread vya kitoto vinaanzishwa kila uchao

Asante kwa kunifumbua macho babe...

BTW we na wifi yako zinaiva? Kama vipi hamia kwangu uwaachie nyumba hiyo shem wangu asave cost bhana
 
Kuna wanawake hawana huruma sasa hiyo pesa ya kwenda kulipia hotel si wangeitumia kufanyia jambo jingine.

Hivyo kaka kasemaje naye kakubali kwenda huko hotelini?

Nyinyi wanawake ua wanafiki, kuna uwezekano mkubwa ata wewe ungeenda kwa asilimia 99.9% uko hotelini ,apa tunaosha vyombo tu,...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom