Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Nimepata ugeni weekend hii, ni kaka yangu anaeishi Nanjilinji amenitembelea akiwa na familia yake. Wifi yangu ametokea Nanjilinji na hajawahi kufika Dar, kila nikienda kuwatembelea ninamkaribisha sasa hivi ndiyo amepata nafasi ya kuja kunitembelea baada ya watoto kufunga shule.
Nilienda mtumbani nikanunua mashuka na kuweka mosquito wire gauze nyumba nzima nikijua ninapata wageni. Wageni wameingia tu wifi anadai anataka wakakae hotelini, hapa kwangu watakuwa wanakuja tu kusalimia.
Jamani wifi si kuwa unahamia kwangu, hizi wiki mbili tungejibana tu hapa, onea huruma pesa ya kaka yangu.