Wifi hurumia vipesa vya kaka yangu

Wifi hurumia vipesa vya kaka yangu

kumbe mashauzi yote haya ya jf kumbe maisha yako ya kubangaiza hivyo mwe!
Mkuu unaonyesha unachuki na kumwonea wivu huyu bidada sio bure.
Maneno gani hayo.
Ndio mana huwa tunaambiwa wanawake hatupendani.
Turudi kwenye mada.
Wifi inaonekana anataka apate vyakuhadithia akirudi nalinjilinji.
Hataki kupitwa anata kila mtu ajue alienda Dar ha!ha!
Ila kuna wanawake akili zao wanazijua wenyewe.
 
Lakini wanaweza kuondoka muda wowote pale cash itakapo kata. Halafu kwani tumeambiwa hiyo bajeti yao ya safari?
Kwani ni lazima kusubiri mpaka cash ikate??cash ikikata waanze kukopa nauli ya kurudia?
 
Kwani ni lazima kusubiri mpaka cash ikate??cash ikikata waanze kukopa nauli ya kurudia?

cash ya accommodation. Lazima watakuwa na bajeti, na kwenye bajeti kuna items tofauti mojawapo ikiwa accommodation. Ile ya nauli inabaki palepale.

Halafu yawezekana jamaa ana fedha kwenye akaunti yake ya benki hivyo kwa mtindo wa ATM atakwenda kuchukua. Pia yawezekana [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] amem-judge kaka yake from the cover.
 
Yawezekana,na yasipowezekana?
 
kumbe mashauzi yote haya ya jf kumbe maisha yako ya kubangaiza hivyo mwe!

Naweka margin of error kubwa kwenye kubashiri kwangu jinsi [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] anavyoweza kuonekana live (sio physique bali kimtazamo na uwezo wa kifedha), ila confidence level ni kati ya 95 na 99%.

Tazama video clip hii

Haaa,huyo wifi hakutaki unavyokwenda kukaa kwake kila ukienda najilinji. Ameamua kukuambia kwa lugha ya picha.
 
Hata mi kama uwezo upo ningekaa hotelin tu,,maisha ya hotel ni mazuri unarefresh mind na kuepuka kero za kuosha vyombo,kupika,kudeki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mi kama uwezo upo ningekaa hotelin tu,,maisha ya hotel ni mazuri unarefresh mind na kuepuka kero za kuosha vyombo,kupika,kudeki[emoji23][emoji23][emoji23]
Afu penzi linakua moto moto kama ndo mmeonana
 
Nimepata ugeni weekend hii, ni kaka yangu anaeishi Nanjilinji amenitembelea akiwa na familia yake. Wifi yangu ametokea Nanjilinji na hajawahi kufika Dar, kila nikienda kuwatembelea ninamkaribisha sasa hivi ndiyo amepata nafasi ya kuja kunitembelea baada ya watoto kufunga shule.

Nilienda mtumbani nikanunua mashuka na kuweka mosquito wire gauze nyumba nzima nikijua ninapata wageni. Wageni wameingia tu wifi anadai anataka wakakae hotelini, hapa kwangu watakuwa wanakuja tu kusalimia.

Jamani wifi si kuwa unahamia kwangu, hizi wiki mbili tungejibana tu hapa, onea huruma pesa ya kaka yangu.
Tatizo kaka yako aliingia na gia ya kwamba yeye Pedejee.

Mtoto wa watu anajua kwake mambo ya kawaida tu.

Halafu labda kuna mambo yao wanataka kujinafasi kwako hapo itakuwa sio staha.
 
Kwani ni lazima kusubiri mpaka cash ikate??cash ikikata waanze kukopa nauli ya kurudia?
Umenikumbusha enzi hizo....
Mi na mbebs tulikua ka wehu, tunalala Lodge hadi tunaishiwa tunakopa nauli ili nirudi chuo ikitumwa hela siondoki tu naongeza siku ha ha ha tulikua wehu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom