Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,188
- 114,810
Maisha yenyewe haya stress tupu, ujiongezee tena unnecessary stress teh....there ur my dear !kuna mama mmoja aliwah niambia niwe naongozana na mume akienda bar niwe naye !nilimsikiliza weee nikamwacha pale !yaan mie mitiyaza haitakaa nitokee nikaanze mpeleleza mume wangu hta siku 1! yaan nashindwa kujipa raha nianze kulia lia kisa limwanaume !pyeee
Achepuke, akalale huko atajua mwenyewe