babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,092
- 15,987
niko bar hapa na mshkaji wangu,kapita kijana wale wa mitaaani kutengeneza kucha,wife wa jamaa yangu kamuita kwa shangwe wee njoo
dogo akaanza mambo yake,mara mguu wa wife wa jamaa aunyanyue aweke begani,mara amtanue mapaja,mara yaani visa tu
huyu kidume ye karelax tu na ndovu yake wakati wife wake anaugulia kwa raha ya kupakwa kucha rangi
sasa hapa huyu kidume akichukuliwa wife na mpaka rangi kucha atalalamika?
Maana huwa inaanza hivi hivi