prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
kama hakupi. Unyumba mshitaki kwa balozi na mwambie akae kwaIlikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!
Kumbuka kuwa ana date na denti (sio mke wa ndoa), kwa mujibu wa post yake hapo juu! Utamshtakije skonga? Unataka kesi?kama hakupi. Unyumba mshitaki kwa balozi na mwambie akae kwa
balozi mpaka nywele ziote
mie nakupa ushauri wa ubwete! Achana na huyo denti, tafuta wa size yako, anayeelewa majukum ya utu uzima!Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!
Sababu za kunyoa kipara ni zipi?? na kwa nini ulishindwa kuacha nywele japo kidogo maana kuna uwezekano kichwa chako ni kama tofali la kwenye kona ndio maana mchumba wako akakushauri usitoe nywele zote maana utachekesha walionuna...
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!
Umenyoa kipara au UME PIGWA KIPARA ?