Wife kakuta 5,000 mfukoni wakati anafua, mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015

Siwezi kufua nguo za mtu mimi. Mkeo ana moyo. Huo muda si angefanya mambo ya maana

Mwanamke unapumzika wkend badala ugegedwe unaanza kujifulisha mwanaume anaenda zake nje kutafuta k

Watu wa kufua mtaani hata buku 2 unapata toeni ajira msave ndoa
Duh, yani nguo zangu zifuliwe mtaani sio? Utafua tu, na K italiwa kwa muda wake.
 
Duh, yani nguo zangu zifuliwe mtaani sio? Utafua tu, na K italiwa kwa muda wake.
Sifui kweli wkend Ni siku ya kupata raha
Nguo zako utakuta safi zimenyooshwa fresh tu.kwamba zimefuliwaje wewe hayakuhusu
Wanawake wengi wanapoteza wanaume kwa matumizi mabaya ya wkend
Mara kufua,mara vicoba ,mara saluni Sasa muda was kumkanda mume atapata wapi??
 
Angalau ukiondoa hili janga la covid III mama kwakweli anakwenda vizuri na mitaani zimeanza kuonekana kidogokidogo na juzi niliona anarudisha leseni za wenye maduka ya kubadili fedha.

Hakika huyu tumuombee kwa mwenyezi mungu azidi kumuongoza ktk majukumu yake mazito na hasa katika kuturudisha kwenya maisha
Isingekuwa corona miaka 2 ingekuwa mingi kufanya uchumi u rebound

Ni hivi kwenye sekta ya ukandarasi niliko mm Kazi zimeshatuzidia,kama una mtaji nunua mitambo ya ujenzi ukodishage
 
Tusishangilie sana soon maisha yataanza kubadilika.Kwa hii bei ya mafuta iliyoongezeka kila kitu kitapanda bei, bado makato ya kwenye miamala ya simu hajaanza nasikia tarehe 15/7 ndo yanaanza, bado kodi za nyumba kwenye luku mbona maji tutaita " maa"
Kwani simu ni lazima kununua? Kila siku unasafiri kwenda wapi? Bajaji na daladala nauli iko pale pale.

Ni hivi mataga mnahangaika sana ,nilikwambia kwamba Uchumi uta offset na uta rebound fasta hayo maumivu hayatakuwa makubwa.

Na kwa taarifa yako serikali inakusudia kushusha viwango vya kodi hasa VAT,PAYE na kupunguza utitiri wa kodi , inamaana ndani ya miaka 4 ijayo ukwasi utaongezeka kwenye uchumi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom