Wife kakuta 5,000 mfukoni wakati anafua, mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015

Tusishangilie sana soon maisha yataanza kubadilika.Kwa hii bei ya mafuta iliyoongezeka kila kitu kitapanda bei, bado makato ya kwenye miamala ya simu hajaanza nasikia tarehe 15/7 ndo yanaanza, bado kodi za nyumba kwenye luku mbona maji tutaita " maa"
 
Siwezi kufua nguo za mtu mimi. Mkeo ana moyo. Huo muda si angefanya mambo ya maana

Mwanamke unapumzika wkend badala ugegedwe unaanza kujifulisha mwanaume anaenda zake nje kutafuta k

Watu wa kufua mtaani hata buku 2 unapata toeni ajira msave ndoa
Wakati anafua nilikuwepo na wakati anatoa 5000 niliiyona. Acha wivu, afu pia vingine tunashea cha kwako ni pekee ni kaburi
 
Dadekii maisha yamekuwa magumu siku hizi wenzangu karibia wote tuliojiajiri kwenye kazi yetu ya unyang'anyi wamechomwa moto


Itabidi nitafute alternative
 
Ni kweli kabisa. Mimi jana kutoka kituo cha dalaladala hadi mtaani nimeokota kama 200,000 na ushee! Maisha yamekuwa rahisi sana huku mtaani kwetu kila mtu tajiri sasa hivi.
 
Siwezi kufua nguo za mtu mimi.mkeo ana moyo .huo muda si angefanya mambo ya maana. Mwanamke unapumzika wkend badala ugegedwe unaanza kujifulisha mwanaume anaenda zake nje kutafuta k
Watu wa kufua mtaani hata buku 2 unapata toeni ajira msave ndoa
huwezi olewa milele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom