Pole sana, point ya muhimu hapo ni UJAUZITO period! kama mke wako ni mjamzito tena ni miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito, shida haiko kwa mkeo, ni kwa sababu ya ujauzito, wanawake huwa wengi wanabadilika sana kipindi hiki cha ujauzito kitabia,hasa miezi mitatu ya kwanza ingawa inaweza kuzidi miezi zaidi ya hapo, wanaweza kuchukia jambo bila hata sababu, wanaweza kuchukia hata chakula, na akijifungua huwa anarudi normal, hii inachangia na mabadiliko ya hormones mwilini. mfano mke wangu alikuwa anachukia sana perfume yangu, niliacha nikaanza kutumia yake, rafiki yangu mke wake alimuambia wahame nyumba wanayoishi, alikataa kulala ndani, bahati nzuri alukua anamalizia nyumba yake wakahamia, rafiki yangu mwingine alikua hamtaki mdogo wake alimchukia gafla nikamshauri amuondoe but hekima itawale,
USHAURI: Hatatulia mke wako wala hatakusikia kiurahisi, mpeleke mahali pengine house girl wako km unandugu kwa muda km bado unamkubali mpeleke hata kwa ndugu yako mwingine au mahali popote anapoweza kuishi kwa USALAMA ili udumishe urafiki wako na aliyekutafutia au kaa na aliyekuconnect kuwa mwanaume halisi, but usimpondee mke wako kuwa hamtaki, coz we dont attack our partner
MWISHO inawezekana akawa na tabia ya kukomaa kipindi hiki itazidi, cha msingi hiki ndicho kipindi unachotakiwa kuonyesha upendo wako zaidi, uvumilivu, msaidie.