Wife Anazingua

Wife Anazingua

Mkalishe mkeo kitako muongee. Hasa tafuta chanzo cha hisia mbaya juu ya hg. Ktk kufanya hvyo kuwa MPOLE na MAJI. Kwan dawa ya MOTO n maji na c moto. Kumbuka mkeo n MJAMZITO. Kila la kheri.
 
hapo kwenye bold...tafakari...chukua hatua

Hakuna kitu kama hicho..hakuna kazi ngumu kama mama wa nyumbani..asikwambie mtu kulea watoto na kusafisha nyumba,kupika na vinginevyo..inabidi tuwaheshimu sana hawa wanaobaki nyumbani kama uhamini..jaribu
 
Usafi wa nyumba, usafi wa nguo, upishi na usafi wa vyombo ni department iliyo chini ya mke. Hivyo recruitment yake mama ndiye muhusika mkuu, kuanzia interview (oral) na physical appearance assessment.

Head wa Finance (baba) unahusika linapokuja swala la malipo tuuu! Hivyo Head wa Department husika anaweza kumfire mwajiriwa aliyeko chini yake wakati wowote anapoona inafaa na Head - Finance Department anafanya kuratify hayo maamuzi na sio ku-object.

Take Note.
 
Usafi wa nyumba, usafi wa nguo, upishi na usafi wa vyombo ni department iliyo chini ya mke. Hivyo recruitment yake mama ndiye muhusika mkuu, kuanzia interview (oral) na physical appearance assessment.

Head wa Finance (baba) unahusika linapokuja swala la malipo tuuu! Hivyo Head wa Department husika anaweza kumfire mwajiriwa aliyeko chini yake wakati wowote anapoona inafaa na Head - Finance Department anafanya kuratify hayo maamuzi na sio ku-object.

Take Note.

Well said Mkuu!
 
chezea toto la kihaya....wife kaona mapinduzi yanakuja muda si mrefu .....
 
Nafikiri bado ni muhimu kujenga amani ndani ya familia yako, usijali wengine wataonaje au kukufikiria unabuluzwa, wao wajue ya familia zao. Wewe mwondoe huyo bint, ILA, KAMWE usifanye tena hiyo kazi ya kutafuta 'mabint wa kazi' mwache afanye mwenyewe. Asije akakuletea "house boy"!
 
Kwa hili la Hgirl wala usivuruge ndoa kwa ajili ya Hgirl! Itakubidi uwe mpole na kuwaelimisha wale wote waliohusika wewe kumpata huyo Hgirl, waeleweshe wataelewa tu! Kingine jitoe rasmi ktk michakato ya kutafuta ma-Hgirl, wewe ibaki kuwalipa tu! Hapo ktk blue inaonyesha shemeji ana shida kidogo! Nafahamu wapo wanawake wa sample hiyo, hupenda kuwa juu ya wanaume, nimeshawaona sana hawa! Hilo litafutie dawa yake taratibu!

sasa mwanamke kumwambia mume hajaridhika na hausigel ndo kumpanda mumewe kichwani?
 
Kwanini unajitesa nafsi yako mkuu? yeye ndio alietaka na yeye ndio anasema hataki sawa muondoshe, wapo wengi wanaotaka HG, sasa subiri pale atakapo kubania pua tena mumewangu nataka HG hapo lakujibu am sure utakua nalo.
 
Mkuu ukitaka amani ya roho yako hayo mambo achana nayo weee tafuta chapaa hakikisha supplies zipo hayo ya msaidizi achana nayo kabisaaaaa!!!!!!!

Akimfukuza akimuacha wewe ndio iwe mwanzo na mwisho kushiriki katika hilo utapata amani la sivyo utakuwa HR manager hapo wa kuajiri na kutimua!!!!!
Ni kweli kabisa mambo ya housegirl liwe ni jukumu la mkeo jitahidi ukae mbali nao hata wakitaka chochote waambie wamfuate mkeo.
 
Wanawake wengine yani utadhani huwa wana wadudu vichwani mwao. Ila cha kufanya mkuu ni kujaribu kuongea nae vizuri huyo my wife wako, jaribu kushuka chini akuelezee ni nn haswa sabau ya kutaka huyo HG aondoke
Sio madudu jaman.Mungu amewapa wanawake macho ya kuona vitu ambavyo wewe kama mume huwezi kuona kwa haraka.huwenda kuna vitu ameviona.
 
fikiria ukilazimisha abaki ataishije na mwanamke asiye muelewa kiasi hicho?
 
Mkuu next time usirudie, ishu za kutafuta housegirl ni majukumu ya mama na yeye ndo anakuja kuwa supervisor wake so umeruka mpaka kumtafuta huyo housegirl. Angemtafuta mkeo kadhia hii yote ungekuwa unaangalia tu wanavyopelekana. Wee ungevuta tu walet na kuchomoa nauli
 
aiseeeee
kuna wanawake wasumbufu balaa
ss km yy yupo hom tu hg wa nn saiv, unless akishajifungua.

btw huyo ana wivu na hivi ni mama wa nyumbani ndo kabisaaaa.

isimrudishe kwao , haitaleta picha nzuri lazima tuwe na ubinadamu jamani mpeleke kwa wengine wanaomhitaji

Mkuu mbona unaongea kama wee sio mwanamke? Hufahamu ujauzito wa miaka hii inavyowasumbua wenzako? Wengi huambiwa wasifanye kazi kabisa, na wengine total bed rest
 
Msikilize mkeo huenda huyo binti mkali anahofiaa kuibiwaa si unajua nanyi hua hamkawiiiiii
 
Back
Top Bottom