Wife Anazingua

Wife Anazingua

Imekaa hivi
  • Nina mtoto mmoja wa ujanani (5) Sikuzaa na mke wang
  • Wife mjamzito (Mimba ya 1)
  • Wife ni mama wa nyumbani
Sasa kumbe kama ni mama wa nyumbani huyo house girl ni wa nini wkt mimba yenyewe ni ya mwezi mmoja? mrudishe huyo house girl then usijihusishe tena katika mambo ya kutafuta atakapohitaji,yawezekana mimba inamuendesha so hajui anataka nini!
 
Kumbe mkeo ni mama wa nyumbani...

Basi hakuna pressure; kazi si anaweza fanya mwenyewe; na ndio maana analeta mbwembwe
 
Mkuu inaonyesha humjui vizuri mkeo. Kama ungemjua usingejisumbua kumtafutia hg , kuna baadhi ya wanawake wanapaswa kutafuta hg wao wenyewe na mume akijichanganya kutafuta basi lazima yamkute haya ambayo yamekukuta wewe. Huyo hg hata ufanyeje hataweza kukaa kwa amani hapo nyumbani ni bora kumrudisha au kumtafutia sehemu nyingine ya kufanya kazi. Usijikie vibaya mweleze huyo aliyekutafutia na umwambie umeamua nini. Ikiwezekana msimrudishe kijijini huyo dada kwani amekuja kutafuta riziki ili aweze kuwasaidia wakwao.
 
Strength na weakness gani wakati unaambiwa Hg hata hajakaa

Na kama kweli ana weakness si angejenga hoja tu kwa mumewe thru discussion; siyo kutoa amri tu arudishwe kwao; ndoa ni communication bana.

Hapo ni wivu na kutojiamini at work.

Kwa lugha nyingine mkeo ndo anashinda na hg

Na anajua streghth na weakness wa huyo binti......
 
Mkuu mkubalie tu kwa hili, tafuta tu hekima yakuelezea juu ya jambo hilo, na usikubali HG ndoa itapotea mwache tu afanye hizo kazi ni wajibu wake hasa kama hafanyi kazi za ofisini. kama ni mfanyakazi basi mwambie atafute yule anayetaka yeye aca kng'ang'ana et tu kwa sababu ewe ni mwanaume
Habari MMU.

Jumanne jioni tulipata mgeni nyumbani kwetu (Housegirl). J5 asubihi nkamuacha wife na hsg home nkaenda kazini. Kabla ya kumleta yeye ndiyo alikuwa anamtaka na kusistiza ni muhimu atusaidie shughuli za hapa Home anachoka sana. Alionyeshwa picha tuliyotumiwa kwa email na kumhoji maswali kwa simu kabla sijatuma nauli (100,000) aje. Hsg katoka mbali sana Bukoba tulimpata kutokana ya kuwa ni mdogo wa Hsg wa rafiki yangu.

Cha ajabu ni kuwa toka alhamis wife aliniomba tumrudishe kwao eti hamtaki, mi nkamsihi ampe mda amzoee. Aliendelea kusema hamtaki mpaka jana usiku ukazuka ugomvi mkubwa kati ya mimi na yeye. Mwanamke haelewi kasimama kidedea Hsg aondoke. Hakuna kosa alilofanya mdada wa watu tena mpole sana. Namuuliza mke wang tatizo ama kosa lake hana hata moja anachojua yeye binti arudi kwao. Eti jamani utamfukuzaje mtu bila Kosa?

Mpaka sasa sababu kubwa ni kuwa roho yake inamchukia na anahisi si mtu mzuri. Kwa kuwa namtetea na sioni mantiki ya Hsg kufukuzwa jana kazusha kuwa nimempenda na nataka nitembee nae. Kila ninalomwambia aelewi mpaka sasa yeye kang'ang'ania Hsg lazma aondoke. Naona aibu kwa rafiki yangu aliyotutafutia kumrudisha tena kwako huyu bint tena bila kosa. Pia sitaki wanaume wenzangu ambao wananikubali waone kuwa naburuzwa na mwanamke.

Kilichonifanya niandike hapa ni kuwa kasema kama Hsg haondoki mpaka kesho basi ataondoka yeye aniache naye. Mimi nafikiria kukomaa kama anaenda na aende sitaki anipande kichwani au nakosea? Nishaurini jamani maana tatizo ni kwa nini analotaka lake na ni lazma liwe?
 
mzee mwanaume ni lazima uwe na msimamo wakiume aswa wakati mwingine siyo kila asemalo mkeo basi ulifwate leo amtaki hg kesho atamtaka ndugu yako kesho mzazi wako atakwambia kama utaki anaenda yy so mwambie aende kama niiyo mimba inamzingua imzingue kabisa muda ukifika atarejesha miguu nyumbani kamanda awa watu pasua kichwaa kaa makini
 
Ni fedhea kwao(hg),kwa rafiki yako na hg,kwanza hata wiki2 hana toka afike,pili unamfukuza bila kujua kosa huo sio ubinadamu kama mkeo hakupenda yatokee asingekupa jukumu la kumtafuta tena tokea mbali na kwa gharama,kama anahisi kuzidiwa aboreshe mazingira na kuongeza vivutio,huo sio mpango kumtendea uyo binti hivyo bora mumtafutie sehem nyingine
 
Merudishe hg na uongee na mkeo kwa amani na usijihusishe tena na maswala hayo acha atafute mwenyewe anaemtaka yeye ni kweli sisi wa dada huws inatokea unapewa hg ukiongea naye tu mambo mawili matatu unajua kabisa huyu atanifaa au hanifai Mungu ametupa uwezi huo
 
Nipasie mm Huyo msaidizi...mke wangu anahitaji wa kumsaidia kazi.
 
Huwezi kupewa sababu. Wote wachawi. Ugomvi upo kwingine!!.maskini mwanaume wewe.
Haya nikupe plan B.
Chukua house boy na amtafute mkeo na sio wewe.
Unajifanya huoni sababu?
 
Kaka komaa, Mimi nikipata kazi ktk ofisi moja hapa mjini alafu nkaanza kuifanya baadaye boss akaja na kusema wewe toka hapa hunifai sababu ni kuwa nakuhisi si mtu mzuri na roho yangu inakuchukia bila sababu yoyote, aisee ntajiskia vibaya sana. Naweza jihisi labda nanuka au hata kumuuliza Mungu kwa nini uliniumba masikini. Ni manyanyaso ya hali ya juu. Binti atanung'unika na kujiona ana Mikosi. Lazma atajiuliza kwanini mimi?

Mwambie mkeo bk3 atakaa mpaka utakapopata kwa kumpeleka alafu wakishinda pamoja kwa mwezi mmoja watazoeana.
 
usimrudishe aisee, msaidie tuko ana shida sana na mdada wa kazi. Mgawe halafu siku mkeo akihitaji tena mdada mwambie atafute mwenyewe
namashaka housegirl
mnatumiwa email....loh! ina onyesha housegirl NI Mzuri sana, mpaka WIFE
Anaogopa
 
Strength na weakness gani wakati unaambiwa Hg hata hajakaa

Na kama kweli ana weakness si angejenga hoja tu kwa mumewe thru discussion; siyo kutoa amri tu arudishwe kwao; ndoa ni communication bana.

Hapo ni wivu na kutojiamini at work.
nyumba kubwa

Kwa maelezo ya mume(mleta mada) huoni kuwa nyumba yao inaenda kibabe babe tu???

Inawezekana binti mvivu au hafanyi kaZi au mrs kakuta tunguli au ndo binti kamwambia kachoka kama sio mdokozi, au ana udhaifu tusiouju au kuna yaliyojificha nyuma ya pazia, sema wahusika ndo wanafanyiana ubabe

Wacha warudishane kwao
 
Last edited by a moderator:
Habari MMU.

Jumanne jioni tulipata mgeni nyumbani kwetu (Housegirl). J5 asubihi nkamuacha wife na hsg home nkaenda kazini. Kabla ya kumleta yeye ndiyo alikuwa anamtaka na kusistiza ni muhimu atusaidie shughuli za hapa Home anachoka sana. Alionyeshwa picha tuliyotumiwa kwa email na kumhoji maswali kwa simu kabla sijatuma nauli (100,000) aje. Hsg katoka mbali sana Bukoba tulimpata kutokana ya kuwa ni mdogo wa Hsg wa rafiki yangu.

Cha ajabu ni kuwa toka alhamis wife aliniomba tumrudishe kwao eti hamtaki, mi nkamsihi ampe mda amzoee. Aliendelea kusema hamtaki mpaka jana usiku ukazuka ugomvi mkubwa kati ya mimi na yeye. Mwanamke haelewi kasimama kidedea Hsg aondoke. Hakuna kosa alilofanya mdada wa watu tena mpole sana. Namuuliza mke wang tatizo ama kosa lake hana hata moja anachojua yeye binti arudi kwao. Eti jamani utamfukuzaje mtu bila Kosa?

Mpaka sasa sababu kubwa ni kuwa roho yake inamchukia na anahisi si mtu mzuri. Kwa kuwa namtetea na sioni mantiki ya Hsg kufukuzwa jana kazusha kuwa nimempenda na nataka nitembee nae. Kila ninalomwambia aelewi mpaka sasa yeye kang'ang'ania Hsg lazma aondoke. Naona aibu kwa rafiki yangu aliyotutafutia kumrudisha tena kwako huyu bint tena bila kosa. Pia sitaki wanaume wenzangu ambao wananikubali waone kuwa naburuzwa na mwanamke.

Kilichonifanya niandike hapa ni kuwa kasema kama Hsg haondoki mpaka kesho basi ataondoka yeye aniache naye. Mimi nafikiria kukomaa kama anaenda na aende sitaki anipande kichwani au nakosea? Nishaurini jamani maana tatizo ni kwa nini analotaka lake na ni lazma liwe?

Kama una uhakika kabisa kuwa mkeo siyo mkorofi na kwamba hana roho mbaya hata chembe, muulize pengine tatizo analoliona kwa House Girl laweza kuwa la kiroho zaidi kuliko kimwili, sababu mtu akishashuhudiwa tatizo la mtu mwingine kiroho kutoa ushahidi wa kum-convice mtu katika ulimwengu wa mwili is almost impossible, so hawezi kukupa sababu ya kukuridhisha hata afanye vipi. Otherwise kama sivyo basi atakuwa anafanya ujinga ambao hutakiwi kuu-entertain hata siku moja. Leo kaanza na HG kesho atahamia kwa mama mzazi au shangazi, pls call a spade a spade and do not try to meander!.
 
Jamani hsg wana matatizo!!! Nna rafiki yangu hsg wake ananuna mchana kutwa,mpaka sometimes anaogopa kula chakula coz ye hsg akipika hali,ila sasa akirudi mumewe, hsg anajichekeshaje?? Utasema jini
 
Analipa?

Kama kwa mfano ukikomaa, na mke akaondoka, HG analipa?
 
Back
Top Bottom