Wife amebadilika ghafla naumia

Wife amebadilika ghafla naumia

Mkuu, wewe wakati upo masomoni huko mambele hukutafuta mpango wa kando? Winter kali sana.
Semester ya kwanza pale UC Berkeley ilikuwa na misukosuko tosha. Kitabu kigumu hatari. Ugali hakuna. Najitahidi kuzoea nipate apartment nzuri niilete pisi yangu (Nilikuwa na full scholarship everything covered !) Hata wazo la kutafuta mbususu hakuna. Bado nahangaika ku-adjust napata habari pisi imeolewa...na mimba yangu. Kilikuwa kipindi kigumu sana aisee. Wanawake we waone tu hivi hivi 😡😡😡🚮
 
Familia zenye migogoro hazina hata umuhimu kabisa kwa mtoto,ni ujinga tupu hata awe mkubwa ni yale yale ,kuna kipindi anapitia changamoto...Mambo ya familia hasa watoto siyataki kwa sababu nayaelewa maisha ya kijinga niliyopitia .. Wazazi ni wabinafsi sana ,nawachukia sana watu wabinafsi ...Nimeshangaa kuona watu bado wanasherekea hayo mambo ya Mother's day ni ujinga kabisa.
naunga mkono hoja
 
Umenikumbusha stori ya BICHWA KOMWE, alizamia mamtoni halafu akamuacha mumewe KINONDONI.

Baadaye lile jamaa la KINONDONI likakata mirija yote ya fedha kwa BICHWA KOMWE, basi ikabidi BICHWA aolewe na VIKONGWE wa marekani ili kujikimu kimaisha.

Baadaye akatimuliwa akarudi kwao KIMANZICHANA.

Kitu pekee anachojitapa nacho ni kukutana na Nyani Ngabu Los Angeles na kupewa ofa ya BIA na MIGUU YA KUKU.

Cc: Lamomy Mbaga Jr secretarybird Extrovert cocastic
😂😂😂😂😂 ila Wizzoo. Lol
 
We jamaa hovyo sana sijui upo america gani? Yawezekana wew mwenyew unawatafuna wamarekani Kila week, halafu unategemea huyo mkeo aliwe na nani? Unafkiri nyumba na hela ndo atatulia?
 
Semester ya kwanza pale UC Berkeley ilikuwa na misukosuko tosha. Kitabu kigumu hatari. Ugali hakuna. Najitahidi kuzoea nipate apartment nzuri niilete pisi yangu (Nilikuwa na full scholarship everything covered !) Hata wazo la kutafuta mbususu hakuna. Bado nahangaika ku-adjust napata habari pisi imeolewa...na mimba yangu. Kilikuwa kipindi kigumu sana aisee. Wanawake we waone tu hivi hivi 😡😡😡🚮
Poleeee gran pah.
 
Nyie wakuu mnataka jamaa hasihudumie familia yake,. Kumbuka ana watoto wawili.
Dawa ya jeuri nikukata mrija unao mpa jeuri watoto waende kwa bibi yao kwa muda fln kama ni wakubwa afanye mpango waende boading tu shule nzuri hata ya m6 kwa mwaka uwezo huo anao mkuu

Kama kwa mwezi anatuma m1.4 atashindwe m12 kwa mwaka?
 
Kanuni ya ndoa mkiishi mbali mbali tu mnampa nafasi Shetani kuivuruga ndoa.
 
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
Punguza Hela ya kutuma Kwanza....alafu kuna kanuni tunaita"Follow,unfollow" yaani usitabirike Ndio mtawezana ...
 
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
Unachohisi ww kipo sahihi kabisa kwa mke wako kuwa anamegwa si unajua mtu akianza kumpumulia kisogoni lazima Upendo na Heshima uelekee kwa hilo jamaa asilimia 100
 
Sawa nifanyaje?watoto bado wadogo wataenda wapi?ukweli naumia hajui ugumu wa kutafuta pesa nataman aungie mtaani aone kama hata laki ataipata, nawaza hao watoto mimi nililelewa na bibi sitaman watoto wapitie hayo. Au nawaza nimpeleke dar wakakae nyumbani kwetu kuna nyumba ya uwani chumba kimoja , jiko na choo.
Zamani nilikuwa na mawazo kama yako ila sasa hivi ikitokea akasema kila mtu achukue njia yake niko tayari.

Hivi ukipoteza uhai lwa sababu ya stress za mke hao watoto watakula nini? Utulivu wako wa akili ndio maisha bora ya watoto. Hakikisha wewe kwanza unakuwa na furaha wengine wafuate.

Ukiweza tuma pesa ila nawewe badirika. Hakuna kupetipeti mtu. Hakikisha wanakula mengine usiulize achana nayo. Mimi nikirofishana na huyu tunayeonana ana kwa ana natimiza wajibu kwa familia ila kwa mke nafunga.

Hiyo pesa kama unamtumia kila mwezi ni nyingi sana unamspoil. Punguza zingine Save kwa ajili yako man.
 
Kwa akili za wanawake hili ni kosa kubwa
Nahitaji msaada, tuliishi vizur pamoja nikaondoka kwa maamuz yangu ingawa nilimshirikisha mwishoni kabisa baada ya kupata visa sitaki tuachane juu kwa juu nahitaji kweli nitulize akili.
 
Kodi, matumiz yake na msosi .
Uko na hela za kuchezea mkuu na mwaka utakapoachishwa kazi jiandae kufa na presha maana hatoweza kukaa na wewe bila hela ndefu atakukimbia ndani ya mwezi mmoja wa kwanza kwenda kwa wanaume wengine wenye pesa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom