Wife amebadilika ghafla naumia

Wife amebadilika ghafla naumia

Yaaani upo America demu wako yupo Bongo na wahuni Tupooo alafu tushindwe kumkula?¿?
we wanyaturu hao hauwaoni huko?
Umeyumbaaa!!!!!!
 
Unataka akupe namba
Sawa,tulia kwanza,ni lazima utumie busara kubwa sana kutatua tatizo hili.Ushauri wangu tafuta njia ili apokee simu yako,kama unamjua kaka yake au dada yake basi mjulishe tatizo hili ili amwambie huyo mkeo apokee simu,ufumbuzi wa tatizo lenu upo kwenye kuongea,ukitaka msaada wangu karibu,nipo tayari kukusaidia
ya mke wake umsaidie kumwambia apoke simu au?
 
Sawa nifanyaje?watoto bado wadogo wataenda wapi?ukweli naumia hajui ugumu wa kutafuta pesa nataman aungie mtaani aone kama hata laki ataipata, nawaza hao watoto mimi nililelewa na bibi sitaman watoto wapitie hayo. Au nawaza nimpeleke dar wakakae nyumbani kwetu kuna nyumba ya uwani chumba kimoja , jiko na choo.
Acha ubwegee wew huyo ashajipimaa ana uwezoo ndo maana analeta jeurii.. hao watoto wanakula mil ngapi kwa siku??
 
Fukuza hiyo ng'ombe, watoto peleka kwa wazazi wako walelewe na kusoma huko huko,,,, ukute hizo 1.4m za kila mwezi kuna kahuni kanaisugua ipasavyo kanapewa na pocket mane
 
Yaseme tu chief watu wapate nondo. utakuta wapo wengi wanaokutana na hali hii.
Unajua fursakibao mimi Mungu amenipa baraka kubwa mno na napenda sana kusaidia binadamu wenzangu,nina ndoa 2 ambazo zina miaka 30,mke mmoja ni mtanzania na wa pili ni mtanzania,nimekaa nje ya nchi miaka mingi na hatimae nimerejea tanzania,kuishi kumalizia muda wangu duniani,nimekutana na mambo mengi mno kwenye ndoa,kwenye maisha,kwenye kazi na hata kwenye migogoro na magomvi ya kila aina.Itajiri huo wa maarifa huwa nafurahi kusaidiana na watu.
 
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
Tatizo sio Ulipo angukia ilaha Ulipo jikwaa
 
Badilika na wewe usipokee simu wala kutuma hiyo hela
 
Mkuu hiyo 1.4m unayompa kila mwezi ni ya kununulia nini?Chakula tu au kuna vitu vingine special?
Halafu kama ulikuwa hujui hiyo pesa unayomtumia ndio inayompa kiburi anaona maisha ameshayapatia na kingine anaona ameshakukamata yaani hufurukuti kwake akikohoa tu unatetemeka.
Ndio mara ya kwanza kuona mtu anayeishi ughaibuni anakuwa mzembe kiasi hiki
Kodi, matumiz yake na msosi .
 
Kama uwezekano wa kuishi pamoja haupo ni kheri usioe kabisa.

Pisi hata iwe mbovu namna gani itatongozwa tu, na yeye ana hisia. Mnaongea kila siku, anakumiss anamisi mijegejo na wewe upo mbali.

Hili kiukweli halijakaa sawa, kama unaweza na unampenda mpandishe ndege mbebe box wote.
 
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
Kuna shule za boarding kwa kindergarten tafuta hio shule,wachukue madogo peleka huko halafu ww utakua unarudi mwaka mara moja kuwaona wakikua chukua mazima,fanya mpango urudi nyumbani ufanye hayo yote,then mpotezee mama mtu km bado analeta ujinga
Ww utakua Unalipia shule moja kwa moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom