dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,193
- 4,306
basi acha malalamiko endelea kufa na tai shingoni au kwa lugha nyingine usiombe ushauri ikiwa maamuzi ulishayafanya.Akikosa pesa si ndo atato***mbeka kisawa sawa?
basi acha malalamiko endelea kufa na tai shingoni au kwa lugha nyingine usiombe ushauri ikiwa maamuzi ulishayafanya.Akikosa pesa si ndo atato***mbeka kisawa sawa?
Niko na stress na depression na hasira sana sijui nifanyeje?hapokei simu kabisaKilichobaki ufe tu
Anashangaza sana huyu jamaaUpo US ila una stress za mke umatumbini🤔 nan alikuambia fimbo ya mbali inaua nyoka bwashee? Piga kazi tengeneza credit score yako nzuri maisha mengine yasonge.
Kabisa , inashangaza mno .Anashangaza sana huyu jamaa
Kuanzia lini stress zikaletwa na mwanamke badala ya kuletwa na uchumi?
Yaan mtu una uchumi tena unaishi na mambele unaanza kuteswa na mapenzi!!
We mkuu hebu nyoosha maelezo vizuri mkeo pia ndugu zake huwajui mliona vipi msituni ama huyo si hata akikutapeli hana lawama🤨a na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?
Yaan Mimi hapa nilipo hata demu mwenyewe sitaki hata kumsikiaKabisa , inashangaza mno .
Hii ndo inaniuma sana kazi za viwandani ni ngumu aisee.Anapigwa pipe....
Yaani umekubali kumtunza mkeo ambae ni manzi wa msela.
Sio wote nawajua kakaWe mkuu hebu nyoosha maelezo vizuri mkeo pia ndugu zake huwajui mliona vipi msituni ama huyo si hata akikutapeli hana lawama🤨
Pole sana mtumish wewe ni kabila gan kwanza mkuu ?Ngoja niongee na Mama yake hawa nawahamisha watoke Zanzibar wahamie kwetu Dar , hivi Wazanzibar wanaweza vipi? Manake wanaacha wake zao hata miaka mi5
Ukiwahamisha tatizo litaisha 😁😁Ngoja niongee na Mama yake hawa nawahamisha watoke Zanzibar wahamie kwetu Dar , hivi Wazanzibar wanaweza vipi? Manake wanaacha wake zao hata miaka mi5
Sawa,tulia kwanza,ni lazima utumie busara kubwa sana kutatua tatizo hili.Ushauri wangu tafuta njia ili apokee simu yako,kama unamjua kaka yake au dada yake basi mjulishe tatizo hili ili amwambie huyo mkeo apokee simu,ufumbuzi wa tatizo lenu upo kwenye kuongea,ukitaka msaada wangu karibu,nipo tayari kukusaidiaSalaam,
Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.
Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?
Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.
Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.
Ushauri please!!
Simama kama Mwanaume,Wanawake sisi hatutaki Mwanaume legelege huyo mkaushie ili siku nyingine asirudie ujinga wake.Sio wote nawajua kaka
Kaka focus uzichange hizo Doo achana na mambo ya mapenzi kwa maana mshika mawili siku zote moja humponyoka so chagua moja unataka mapenzi au unataka pesa?Salaam,
Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.
Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?
Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.
Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.
Ushauri please!!
Nahitaji msaada, tuliishi vizur pamoja nikaondoka kwa maamuz yangu ingawa nilimshirikisha mwishoni kabisa baada ya kupata visa sitaki tuachane juu kwa juu nahitaji kweli nitulize akili.Sawa,tulia kwanza,ni lazima utumie busara kubwa sana kutatua tatizo hili.Ushauri wangu tafuta njia ili apokee simu yako,kama unamjua kaka yake au dada yake basi mjulishe tatizo hili ili amwambie huyo mkeo apokee simu,ufumbuzi wa tatizo lenu upo kwenye kuongea,ukitaka msaada wangu karibu,nipo tayari kukusaidia
Kabisa mkuu, sema huyo ni mama watoto wake inabidi afanye maamuzi magumu , au avunge tu kwa sababu kama ni kuchapiwa atachapiwa tu na inaweza fika mbali hata hela anazotuma vijana wakahongwa.Yaan Mimi hapa nilipo hata demu mwenyewe sitaki hata kumsikia
Nimekaa nafanya bidii kujikwamua kwanza kuichumi ndo mambo mengine yafuate, kumbe tena Kuna wajinga washajikwamua kuichumi bado wanaendelea na ujinga tena
Hii njia akiitumia yaani hilo kosa atarudia tena na tena,Mwanamke akishajua hupindui kuhusu yeye Mwanaume utapata tabu sana bila kusimama kiume atalea watoto ambao si wake.Sawa,tulia kwanza,ni lazima utumie busara kubwa sana kutatua tatizo hili.Ushauri wangu tafuta njia ili apokee simu yako,kama unamjua kaka yake au dada yake basi mjulishe tatizo hili ili amwambie huyo mkeo apokee simu,ufumbuzi wa tatizo lenu upo kwenye kuongea,ukitaka msaada wangu karibu,nipo tayari kukusaidia
Tulia mkuu ukiendelea kujisimp utakufa na wanao ndio wazidi kuteseka, kama kaamua kukaa kimya tulia muda ukifika ataongea ila hicho kiasi unamtumia kwa mwezi punguza.Niko na stress na depression na hasira sana sijui nifanyeje?hapokei simu kabisa