Wife amebadilika ghafla naumia

Wife amebadilika ghafla naumia

Nyie mnawaoaga wanawake ambao hawajitambui mkilizwa mnakuja kuomba msaada hatuna huo msaada wapigie wazazi wake .
 
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
Tatizo unajali sana hawa viumbe ukitaka kuishi nao kwa amni kuwa neutral Yani asikuelewe harafu kipindi upo huku bongo Kwa mwezi mlikuwa mnatumia hela kama hiyo unayomtumia au ni baridi la ulaya linakuchanganya
Maana kwa hela hiyo ya matumizi juwa kabisa umefukuza mdogo mtu umekiacha kibenten kinacho msaidia mke wako kutumia hiyo 1.4 mpka anakusahau
 
Usiwahi jaribu kumleta mke wako America kutoka Afrika, tena kama mna ugomvi, Akifika huku utaachwa mchana kweupe.

Huku wanawake wanapewa kipaumbele sana na wanasikilizwa sana.

Ukijaribu hata kumpiga kofi, unaenda jela.
Mimi wangu hata dar simleti
 
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
Habari mpendwa
 
Acha kutuma Pesa Kwa muda wa miezi miwili.
 
Kua makini sana, Utarudi ,ukute KWEUPE .

Keshaanza kugongwa nje.

Pesa zako unazotuma zinatumika Kujenga Au biashara binafsi ya Mwanamke.

Baadae ATAKUACHA TU.

DHIBITI PESA YAKO KUMPA KIBURI
 
Nashukuru Mungu sijaacha mke wala mpenzi huko Tanzania , sijui ingekuwaje stress zake, nna Amani.
Wake zangu huko walikuwa ma barmaids, mke tuliachana kitambo na sioi tena.
Ningekuwa na mke nisingekuja huku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom