Wife amebadilika ghafla naumia

Wife amebadilika ghafla naumia

Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!

Usitume pesa basi
 
Unatuma 1.4MILION??? Alafuu unaletewa jeuriii sasa wew hapo huoni tatizo?? usimtumie mwambie sababu ni yeye kubadilika na kuleta jeuri uone atasemaje akisema sawa jua ashajiwekeza kiuchumi mahali sasa anajiweza so hiyo jeuri sio ya bahati mbaya ila KUHUSUU KUCHAPIWA NI UHAKIKA 100% unafanya test kujua kama kifedha yuko vipi bila wew piga hat miezi 6 kavu.
Wife kubadilika kuna uhusiano gani na mahitaji ya watoto. Huyu mwamba alimwaga nyege.
Kuongea au kutokuongea kwake na wife lazima ahudumie watoto.
 
Brother Mimi naomba konekshen tu ya kufika ughaibuni kubeba boksi ..hayo mengine ya wanawake saiv Hadi kichwa kinaniuma kuongea masuala ya ndoawanawake ..naona ujinga tu..ila hapo watoto ndio ishu usingekua na watoto wai ungesepa zako pesa zote hizo unmpa mwanamke wa kazi Gani? Bora hizo pesa ungekua unamtumia mama yako , ili Sasa awaangalie wajukuu na kuwasaidia kwa ishu yoyote hapo nyumbani na shuleni..
 
Umeona dr mwaka na diamond waliacha kutoa matumizii... unajua kwa nini?? mwanamke jeuri myime pesaa wanao hawtaakufaa ila kama anajitambua atarudisha heshima na adabu.
 
Kuna watu wanaona masikhara inaweza kukukuta usiombe kabisa
 
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
M

Mtumie pesa mama mdogo kupitia mkeo Kisha mwambie mkeo kwamba nimeandaa ticket Kwa ajili yake nitamtumia aje kunitembelea Majuu
Hiyo pesa NILIYO mtumia ni ya matumizi NJIANI.

ILI NA YEYE AUMIE 😂😂😂
 
Umeona dr mwaka na diamond waliacha kutoa matumizii... unajua kwa nini?? mwanamke jeuri myime pesaa wanao hawtaakufaa ila kama anajitambua atarudisha heshima na adabu.
Hao sio mifano sahihi wa kuigwa.

Jamaa anaweza kukata matumizi ya mke ila ya watoto aendelee kulipa. Tena anaishi Marekani kabisa anajua sheria zinavyoenda.

Mimi kugombana na mke wangu hakuna uhusiano wowte na watoto wangu na vivyo hivyo kwa mke wangu.
 
Unatuma 1.4MILION??? Alafuu unaletewa jeuriii sasa wew hapo huoni tatizo?? usimtumie mwambie sababu ni yeye kubadilika na kuleta jeuri uone atasemaje akisema sawa jua ashajiwekeza kiuchumi mahali sasa anajiweza so hiyo jeuri sio ya bahati mbaya ila KUHUSUU KUCHAPIWA NI UHAKIKA 100% unafanya test kujua kama kifedha yuko vipi bila wew piga hat miezi 6 kavu.
Hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kutoa sh 1.4 ya matumizi halafu akawa bwege namna hii. Tena amefika America. Hii ni chai. Mwanzisha thread atakuwa anafanya mishe ndogo ndogo kama kuuza supu ya pweza etc.
 
Kuna shule za boarding kwa kindergarten tafuta hio shule,wachukue madogo peleka huko halafu ww utakua unarudi mwaka mara moja kuwaona wakikua chukua mazima,fanya mpango urudi nyumbani ufanye hayo yote,then mpotezee mama mtu km bado analeta ujinga
Ww utakua Unalipia shule moja kwa moja
Mambo mengine ni kama kumpa mitego Ke ili achepuke umuache.

Hali ilivyo sasa kuna mwanamke anaweza kutochepuka mumewe akiwa ughaibuni kwa muda mrefu namna hiyo??
Mambo mengine ni kujipa presha tu bila sababu za msingi.
 
Wife kubadilika kuna uhusiano gani na mahitaji ya watoto. Huyu mwamba alimwaga nyege.
Kuongea au kutokuongea kwake na wife lazima ahudumie watoto.
Ukisikia wanaume kama.mabinti ndio nyie Sasa. Communication ni muhim mana hizo pesa Zina kua na maelezo Sasa utakua unamtumia mtu pesa unajua zinaenda wapi , hamuongei , usenge tu kuwatetea Hawa MAMMBWA ...tunashindwa KUWAANGALIA mama zetu tunababaishwa na Hawa MANYANI tunaowaita wake asilimia kubwa zaidi ya 90% wamekengeuka ...umesikia majuzi kuhusu rate ya talaka nchini? Imepita 100% ...usenge tu..Bora upige punyeto tu ila sio kuishi na kizazi hiki kinajiita feminists ass hoes
 
Mbona unahasira mkuu? Tafuta msaada kama una anger issues.
 
Dah jamaa cha kufanya punguza fedha unayotuma kama ni watoto wanasoma lipa ada direct shule, tafuta fanya shoping ya vyakula mwenyewe kwa kutuma mtu apeleke chakula then punguza hiyo pesa unatuma ni nyingi sana jamaa inampa kiburi huyo
 
mpandishe ndege mbebe box wote.
Usiwahi jaribu kumleta mke wako America kutoka Afrika, tena kama mna ugomvi, Akifika huku utaachwa mchana kweupe.

Huku wanawake wanapewa kipaumbele sana na wanasikilizwa sana.

Ukijaribu hata kumpiga kofi, unaenda jela.
 
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
Nisikilize mimi:

Nilikwenda kusoma US. Nikaacha pisi ya Kichaga mbichi ndo tu kwanza inaanza kuitambua dunia (Mama E usicheke!). Na kabla sijaondoka nikahakikisha naipachika mimba kabisa nikidhani eti itatulia. Eee bana eeeh!

Wanawake ni viumbe wa hisia. Na kama wewe haupo basi haupo tu! Masela lazima wapige. Utatuma pesa na makorokocho kibao mpaka uchoke lakini hakuna mbadala wa wewe mwenyewe kuwepo. Siyo wanawake wote wako hivyo lakini utakuwa na bahati sana kubahatisha mwanamke ambaye hutakuwepo na bado akawa loyal kwako na kukuheshimu. Labda Mama E tu!

Pisi yangu ya Kichaga iliolewa na mimba yangu aisee...nami baadaye kibabe tu nikarudi nikachukua kibinti kimalaika changu nikasepa nacho US. Mpaka ninapoandika hapa kibinti changu hiki nilichopambana nacho tukiwa wawili tu na Mungu wetu sasa kipo mwaka wa pili Medical School John Hopkins University lengo kuu likiwa ni kuwa pediatric cardiologist mbobevu! 🙏🏿

Mamake huku Bongo nasikitika mambo hayakwenda vizuri sana. Tajiri wa madini aliyemuoa alimuungisha kwenye grid ya taifa; akaondoka na kumwachia watoto wawili. Ni mama wa binti yangu na tungali marafiki sana. Ndiyo. Kuna majuto ya hapa na pale. She was my first true love (wa pili ni Mama E); na huwa ananilaumu sana kwamba kwa nini nilimwacha nikaenda kusoma. Nami huwa namlaumu ni kwa nini hakuvumilia japo semester moja tu ili nije kumchukua kama tulivyokuwa tumeahidiana. Kwa bahati mbaya. Majuto. Ni. Mjukuu!

Angalia usije ukatumika sana. Wewe unapiga box unateseka lakini watu huku Bongo wanatanua hatari. Nilinunua kiwanja Kigamboni nikaanza ujenzi kumbe hakuna kitu. Lots of dough wasted. Usiwe kama mimi; na usimwamini mtu hata kama ni ndugu wa damu moja. Siku hizi hakuna undugu!

Na ukija kurudi Bongo bila kuwekeza sawa sawa utachekwa mno hata na huyo mkeo na ndugu zako ambao unawatumia pesa kila leo na kuwapambania. Tunza fedha zako. Wekeza kwenye miradi isiyohitaji third party mf. Bonds. Hudumia wanao lakini kwa uangalifu ili usitumike sana. Be frugal....

Mkeo likely ana baharia mwingine anaymtimizia mahitaji yake ya kihisia na kimwili. Au tu hisia kwako zimekata kutokana kutokuwepo kwako.

Kama unampenda na ni mama mwema kwa watoto wako unaweza ukamvumilia ila hakikisha unakuwa naye na wanao physically. Ama uende nao US au urudi Bongo kama umeshajilimbikiza japo $500,000. Na kama mkeo ana kichwa kidogo jiandae hata kuuliwa ili hizo hela unazozihangaikia waje wazile na mama zake wadogo, mashangazi na huyo mwanaume wake aliyenaye.

Kwa kilichonisaidia mimi, njoo inbox nikupe datails zaidi kuhusu ambacho unaweza kufanya lakini kwanza itakulazimu uwe na Emotional Intelligence kubwa na uwe unajitambua.

Pole!
 
Mle tiGo
 
Ukiona manyoya ......

Screenshot 2025-05-12 075739.png
 
Mkuu, wewe wakati upo masomoni huko mambele hukutafuta mpango wa kando? Winter kali sana.
 
Wanawake ni viumbe wa hisia. Na kama wewe haupo basi haupo tu! Masela lazima wapige. Utatuma pesa na makorokocho kibao mpaka uchoke lakini hakuna mbadala wa wewe mwenyewe kuwepo. Siyo wanawake wote wako hivyo lakini utakuwa na bahati sana kubahatisha mwanamke ambaye hutakuwepo na bado akawa loyal kwako na kukuheshimu. Labda Mama E tu!
Kama mchepuko wangu tunavyotumbua hela inayotumwa kutoka Canada! Kazi kweli kweli! Kuna msemo huku kwetu wamama huwa wanasema kwani nimepewa ugali hapo kwako? Maana hata kwetu kama ni ugali upo! Sasa akili Mgichwa jamani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom