Wife amebadilika ghafla naumia

Wife amebadilika ghafla naumia

Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
Acha fix mkuu!!
 
Kabisa mkuu, sema huyo ni mama watoto wake inabidi afanye maamuzi magumu , au avunge tu kwa sababu kama ni kuchapiwa atachapiwa tu na inaweza fika mbali hata hela anazotuma vijana wakahongwa.
Huyu mwanamke anaonekana anaujua udhaifu wa mshikaji, na huyu mshikaji anaonekana ni dhaifu pakubwa sana, hilo la kuhonga washikaji ni lazima

Mimi hapa nasubilia tu ndugu yangu mmoja kutoka rombo yuko mambele aliko huyu jamaa, huyo jamaa siku tu akiamka akafanya kitu, aisee itakuwa ni shangwe na vigele gele sana, maana na mimi nitaaza kumake stape flan maishan
 
Hii njia akiitumia yaani hilo kosa atarudia tena na tena,Mwanamke akishajua hupindui kuhusu yeye Mwanaume utapata tabu sana bila kusimama kiume atalea watoto ambao si wake.
Kusimama kiume ndio kukoje?
Kumbuka kuwa huyo ni mkewe,mke ni mwenza wake na panapotokea dosari ni lazima waongee na watatue hayo matatizo,msimdanganye eti apambane na mkewe na kwamba ajali kazi na mke ni wa kuburuza tu
 
Mimi niliwahi kufanya ujinga huo kwa baba watoto tuligombana kidogo baadae akanirudia kwa kupiga simu nikakata jamanii nilijuta alikaa miezi bila kupiga simu na nikipiga anakata nilikuwa natembea nimetoa ulimi njiani kama mbwa sirudii tena kutopokea simu yake nilijifunza kuna Mwanaume ukim bipu anakupigia😁😁😁😁.
 
Mkuu mtoa mada atachagua ni ushauri upi utamfaa.
 
Mimi niliwahi kufanya ujinga huo kwa baba watoto tuligombana kidogo baadae akanirudia kwa kupiga simu nikakata jamanii nilijuta alikaa miezi bila kupiga simu na nikipiga anakata nilikuwa natembea nimetoa ulimi njiani kama mbwa sirudii tena kutopokea simu yake nilijifunza kuna Mwanaume ukim bipu anakupigia😁😁😁😁.
Ndio mwanaume unatakiwa kuwa hivyo sasa😅😅😅
 
Umenikumbusha stori ya BICHWA KOMWE, alizamia mamtoni halafu akamuacha mumewe KINONDONI.

Baadaye lile jamaa la KINONDONI likakata mirija yote ya fedha kwa BICHWA KOMWE, basi ikabidi BICHWA aolewe na VIKONGWE wa marekani ili kujikimu kimaisha.

Baadaye akatimuliwa akarudi kwao KIMANZICHANA.

Kitu pekee anachojitapa nacho ni kukutana na Nyani Ngabu Los Angeles na kupewa ofa ya BIA na MIGUU YA KUKU.

Cc: Lamomy Mbaga Jr secretarybird Extrovert cocastic
We jamaa jau😹
 
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
Badilisha hiyo ID mkuu maana Boli haLitembei tena!
 
Umenikumbusha stori ya BICHWA KOMWE, alizamia mamtoni halafu akamuacha mumewe KINONDONI.

Baadaye lile jamaa la KINONDONI likakata mirija yote ya fedha kwa BICHWA KOMWE, basi ikabidi BICHWA aolewe na VIKONGWE wa marekani ili kujikimu kimaisha.

Baadaye akatimuliwa akarudi kwao KIMANZICHANA.

Kitu pekee anachojitapa nacho ni kukutana na Nyani Ngabu Los Angeles na kupewa ofa ya BIA na MIGUU YA KUKU.

Cc: Lamomy Mbaga Jr secretarybird Extrovert cocastic
Bwana Nyani hujamtunuku tunda la katikati?
 
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
Au ndio huu mchepuko wangu unaniambia mmewe yuko Canada?
 
Sawa nifanyaje?watoto bado wadogo wataenda wapi?ukweli naumia hajui ugumu wa kutafuta pesa nataman aungie mtaani aone kama hata laki ataipata, nawaza hao watoto mimi nililelewa na bibi sitaman watoto wapitie hayo. Au nawaza nimpeleke dar wakakae nyumbani kwetu kuna nyumba ya uwani chumba kimoja , jiko na choo.
Mkuu hiyo 1.4m unayompa kila mwezi ni ya kununulia nini?Chakula tu au kuna vitu vingine special?
Halafu kama ulikuwa hujui hiyo pesa unayomtumia ndio inayompa kiburi anaona maisha ameshayapatia na kingine anaona ameshakukamata yaani hufurukuti kwake akikohoa tu unatetemeka.
Ndio mara ya kwanza kuona mtu anayeishi ughaibuni anakuwa mzembe kiasi hiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom