Wife alivyoniharibia siku yangu

Haa Niwaalike Sasa Kugonga "Like"
πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ŠπŸ“ŒπŸ”¨πŸš€β›½οΈ
watu tuwe tunaambizana ukweli bayana hakuna kuficha ficha upuuzi unaofichwa nyuma kwa kigezo Cha ndoa
 
WEWE SI MWANAUME.
 
Oyaa kunywa konyagi kubwa 3 mwambie muhudumu bill utalipa mwenyewe na ukilewa wakuache ulale hapo hapo hadi kukuche
 
Sinaga hizo pigo boss hata wao wananijua ni mtu wa gambe tu
Kula 5 mpwa kumbe tuko wengi

M wakizinguaga hata singing

Naita bolt chap huku kanyamakangu nshaagiza mapema

Wasikupe pressure hao
 
Huna baya mkuu lkn usinywe kupita kiasi bado binti yetu mdogo

Kwa kweli binti yetu na wadogo zake nawazingatia mno lazima mahitaji yao yatekelezwe na malezi Niko Malini mno

Nilitoka kwenye mishe zangu ni home Maxima nijue hitaji na changamoto zao Kwanza dhen ndo nikapate mbili tatu

Sasa mama yao anataka wamweleze yeye ndo anieleze nimpe yeye hela akawatafutie yeye mahitaji yaoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na kama ana wivu hadi na binti yake ina maana ni dhahiri jamaa yetu sio baba halisi wa mtoto, so mama subconsciously anajua lolote laweza kutokea kati ya binti na mwanetu.πŸ€—

Huyu no binti yangu 100% kamfanania mama yangu asee acheni kuwaza ujinga
 
Mrejesho

Baada ya gambe la kutosha hasira zikaisha kucheki sim missed calls na sms za kuomba radhi basi nikamtuma kijana wangu mtiifu kawaleta hapa wamepiga kinywaji wakafurahi Sana hapa tuko kwa gari kijana anaturudisha home

Nimelewa mwili tu Ila akili ipo active 100%

Caroline ananinong'oneza eti "baba toka ulivyoondoka mama alikua Analia tu ila Sasa hivi anacheka tuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa mama yao anataka wamweleze yeye ndo anieleze nimpe yeye hela akawatafutie yeye mahitaji yaoπŸ˜‚
Hiyo kataa mkuu, hata mimi nikiacha hela mama yao madogo wakinunuliwa vitu nakuanza kufurahi huwa nawaita mbele ya mama yao ili asibishe nawambia kuwa mimi ndiye niliempa hela mama yenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…