Unapambana sana mkuu.Habari za weekend wadau,
Leo sikupanga kutoka kabisa nikaonelea nitulie tu home nimalizie mwisho-juma na familia
Basi siku ikaanza vizuti tu kifungua kinywa story nyingi kucheka furaha kama kawaida
Mambo yamebadilika muda wa lunch
Wife katengeneza pilao fresh kabisa msosi umekuja mezani kila mtu ajihudumie kiasi chake anachokitaka
Sasa binti yetu wa Kwanza yupo kidato Cha 2 shue ya bweni Longido huko na kama mnavyojua kwa Sasa shule zimefungwa so yupo likizo nyumbani mpaka January Basi nikamwambia biti yangu nichotee msosi hapo
Eti mama yake kamind ile mbaya mpaka kazira kula, nauliza tatizo ni Nini anasema kwa Nini akiwa shuleni najichotea chakula mwenyewe
Nimekasirika mno na nimeondoka kwa hasira Niko zangu bar napiga gambe Kama vile sitajakaa ninywe Tena napiga maji mpaka usiku mkubwaaa nikirudi home ni kitandani halafu alfajiri mm huyoooo kwa mishe zangu na nitafanya hivi wiki nzima sitaki stress zisizokua na maana Mimi
Eti wadau kwani kosa langu ni Nini hapo
Wanawake ni viumbe tata/wagumu kuwaelewa.Habari za weekend wadau,

Huna baya mkuu lkn usinywe kupita kiasi bado binti yetu mdogoHabari za weekend wadau,

Alikuwa na ahadi na mchepuko Akawa anatafuta sababu ya kukupa kisogo na kaipata nawe umeingia kwenye mfumo.Habari za weekend wadau,
Leo sikupanga kutoka kabisa nikaonelea nitulie tu home nimalizie mwisho-juma na familia
Basi siku ikaanza vizuti tu kifungua kinywa story nyingi kucheka furaha kama kawaida
Mambo yamebadilika muda wa lunch
Wife katengeneza pilao fresh kabisa msosi umekuja mezani kila mtu ajihudumie kiasi chake anachokitaka
Sasa binti yetu wa Kwanza yupo kidato Cha 2 shue ya bweni Longido huko na kama mnavyojua kwa Sasa shule zimefungwa so yupo likizo nyumbani mpaka January Basi nikamwambia biti yangu nichotee msosi hapo
Eti mama yake kamind ile mbaya mpaka kazira kula, nauliza tatizo ni Nini anasema kwa Nini akiwa shuleni najichotea chakula mwenyewe
Nimekasirika mno na nimeondoka kwa hasira Niko zangu bar napiga gambe Kama vile sitajakaa ninywe Tena napiga maji mpaka usiku mkubwaaa nikirudi home ni kitandani halafu alfajiri mm huyoooo kwa mishe zangu na nitafanya hivi wiki nzima sitaki stress zisizokua na maana Mimi
Eti wadau kwani kosa langu ni Nini hapo
Hahaha pole mkuu, usiwe unakaa sana home, we unadhani wanakufurahia wenzio wanaona unabana.. uwe unasepa ata kucheki mpira bar za jirani ukinywq majiHabari za weekend wadau,
Leo sikupanga kutoka kabisa nikaonelea nitulie tu home nimalizie mwisho-juma na familia
Basi siku ikaanza vizuti tu kifungua kinywa story nyingi kucheka furaha kama kawaida
Mambo yamebadilika muda wa lunch
Wife katengeneza pilao fresh kabisa msosi umekuja mezani kila mtu ajihudumie kiasi chake anachokitaka
Sasa binti yetu wa Kwanza yupo kidato Cha 2 shue ya bweni Longido huko na kama mnavyojua kwa Sasa shule zimefungwa so yupo likizo nyumbani mpaka January Basi nikamwambia biti yangu nichotee msosi hapo
Eti mama yake kamind ile mbaya mpaka kazira kula, nauliza tatizo ni Nini anasema kwa Nini akiwa shuleni najichotea chakula mwenyewe
Nimekasirika mno na nimeondoka kwa hasira Niko zangu bar napiga gambe Kama vile sitajakaa ninywe Tena napiga maji mpaka usiku mkubwaaa nikirudi home ni kitandani halafu alfajiri mm huyoooo kwa mishe zangu na nitafanya hivi wiki nzima sitaki stress zisizokua na maana Mimi
Eti wadau kwani kosa langu ni Nini hapo
ποΈKATAA NDOA
NDOA NI UHARIBIFU
NDOA NI UBINAFSI
NDOA NI HASIRA
NDOA NI CHUKI
NDOA NI UKOROFI
NDOA NI KIFO
Mimi ninayo ingawa yakwako ni malaini kama ya huyo mke wako.Wewe huna hayo matako mkuu?
Yaani awe mgeni nyumbani kwake!πKosa lilianzia hapo ulipoamua kukaa nyumbani "kwake"na yeye anataka atawale
We Kila ukiamka nenda mishe hata kama hazipo we nenda ukiona namna gani kachukue chumba mahali pumzika hadi jioni sana unarudi
Na kama ana wivu hadi na binti yake ina maana ni dhahiri jamaa yetu sio baba halisi wa mtoto, so mama subconsciously anajua lolote laweza kutokea kati ya binti na mwanetu.π€Mkuu, kwanza kabisa... Inaonekana huyo mkeo ana wivu mkubwa sana na binti ye, yaani haziivi kabisa..
Na alitaka hilo jukumu la kukupakulia chakula afanye yeye..
So anaonesha hivyo ili wewe upunguze ukaribu na binti yako, mate dogo ongea nae kuhusu ukaribu wake na mkeo. (mama ake).
Tafuta mbinu ya kuwa weka karibu..
πποΈ
Duuh!Na kama ana wivu hadi na binti yake ina maana ni dhahiri jamaa yetu sio baba halisi wa mtoto, so mama subconsciously anajua lolote laweza kutokea kati ya binti na mwanetu.π€